Kama hii story ni ya kweli pole sana mkuu,nahisi kuna walakini?je wewe ni mbinafsi?je ni msiri,je ni mtu usiependa kujichanganya na wengine?maana nadhani una marafiki nao wangekueleza au kukusaidia maana wao si wameshaajiriwa?mm nina ushahidi wa marafiki ambao kapata kazi akisikia nafas anamtonya na mwenzie,au ana ndugu yake bossi anamwambia nina rafiki yangu ana passmark nzuri kama ukisikia nafasi muite plz,na uhakika ukifanya hivo utafanikiwa,uwe pia mtu wa maombi,usijitegemee mwenyewe km ulivokuwa shule kwenye chumba cha pepa,naamini kwa haya mwezi uu utaitwa usaili zaidi na utapata kazi