D.B. Cooper: Tukio halisi la kusisimua lililogeuka hadithi ya 'Alfu lela ulela'

Kama Cooper yupo hai hadi Leo basi atakuwa ni mzee sana. Kipindi cha tukio alikuwa na miaka mingapi? (Nahisi pia hakuna anaejua)

Ila ye nae,si angepiga hata cm kuprove yu hai ili aondoe utata then ndo akatokomea jumla

hahahaha unataka apige simu kesi ianze upya.....waache waendelee kusheherekea Cooper day
 
DB cooper anaweza kuwa ni yule mzazi wa mtoto aliyechimba noti....akatafuta upenyo wa kupoteza zaidi ushahidi ....na kutengeneza mazingira ya fedha aliyoiba kutumika ....tunaambiwa mwanae aligawiwa fungu na FBI
 
Back
Top Bottom