D.B. Cooper: Tukio halisi la kusisimua lililogeuka hadithi ya 'Alfu lela ulela'

Mkuu kuna kitu kinanichanganya kuhusu huyo D.B copper wa kwnye prison break ndo yule alificha hela chini ya ardhi baadae ikaja kujengwa nyumba ya yule mama na walipotoka mission yao ikawa kuzisaka hela si ndio?
 
Yes ndio yeye! Yule Mzee mwenye paka kule ndani gerezani fox river..
 
Sasa mbna ye aliingia jela kwa kosa la kusababisha ajali ya gari makusudi ili aibe fedha maan ye alkua transporter wa pesa za serikali na baad ya kuiba fedha zile alzokua anasafirisha ndo akazificha kwenye ile nyumba au we hukuona stor kama hyo
 
Ile ni movie hiki nilichoeleza hapa ni tukio halisi!

Ukitengeneza movie kutoka kwenye historia ya kweli unatakiwa uongeza visa vya fiction ili kunogesha movie..

Alafu yule Mzee Charles Wildmore walitumia tu Identity ya Cooper lakini movie haikiwa na haja ya stori yake ya Cooper halisi kwasababu story yao haikuwa inarevolve around cooper bali ilikuwa inamuhusu Michael na kaka yake..

I hope nimekujibu..
 
"If freedom of speech is taken away, then dumb and silent we may be led, like sheep to the slaughter."
- George Washington

# FreeMaxenceMelo
#TheBold'sForMelo
 
Back
Top Bottom