Masulupwete
JF-Expert Member
- Feb 15, 2012
- 2,366
- 2,397
Huyu bwana ndiye aliyoongoza nzima ya mazishi ya Mzee Madiba kama mc wa shughuli nzima toka pale uwanjani FNB mbele ya akina Obama na wageni wengine chungu nzima hadi kijijini Qunu.
Kwa mtazamo wangu alifanya kazi nzuri, kwa umahiri na kujiamini sana.
Wadau mnaweza kutudadavulia historia ya huyu mtu.
Kwa mtazamo wangu alifanya kazi nzuri, kwa umahiri na kujiamini sana.
Wadau mnaweza kutudadavulia historia ya huyu mtu.