Cyril Ramaphosa ni nani..?

Masulupwete

JF-Expert Member
Feb 15, 2012
2,243
2,000
Huyu bwana ndiye aliyoongoza nzima ya mazishi ya Mzee Madiba kama mc wa shughuli nzima toka pale uwanjani FNB mbele ya akina Obama na wageni wengine chungu nzima hadi kijijini Qunu.

Kwa mtazamo wangu alifanya kazi nzuri, kwa umahiri na kujiamini sana.

Wadau mnaweza kutudadavulia historia ya huyu mtu.
 
Masulupwete

JF-Expert Member
Feb 15, 2012
2,243
2,000
Short and clear!
Watu wengine wazembe sana utadhani vichwa vyao wamepewa kufugia nywele tu!

Hiki kizazi ni majanga makubwa hakiendi bila madesa yaani mtu anafikiri kila kitu ni mteremko kiasi hicho. km hujui kaa kimya.
google sio kila kitu kuna historia na habari nyingi tunazisoma hapa JF na huwezi kuzikuta huko google.

mburula mkubwa we....
 
Balantanda

JF-Expert Member
Jul 13, 2008
12,422

Hapa mkuu wewe ndio unaonekana Mburura....

Wenzio wanakueleza njia sahihi ya kumfahamu Cyril Ramaphosa ni kumtafuta kupitia Google...Wewe badala ya kushukuru unawaita wenzio Mburura....Ukimtafuta Ramaphosa kupitia Google ama Wikipedia utaupata wasifu wake vizuri tu...
 
Mwana Mpotevu

Platinum Member
Sep 7, 2011
3,295
1,500

Asante Masulupwete but remember to shake your head before use!
 
Last edited by a moderator:

Mwana Mpotevu

Platinum Member
Sep 7, 2011
3,295
1,500
Hapa mkuu wewe ndio unaonekana Mburura....

Wenzio wanakueleza njia sahihi ya kumfahamu Cyril Ramaphosa ni kumtafuta kupitia Google...Wewe badala ya kushukuru unawaita wenzio Mburura....Ukimtafuta Ramaphosa kupitia Google ama Wikipedia utaupata wasifu wake vizuri tu...

Mkuu watu kama Masulupwete ni wa kuwaacha maana wakisaidiwa wanajiona wao ndio wajuaji sana. tatizo hawataki kushughulisha vichwa vyao na badala yake kila kitu wanataka kuambiwa. Angeenda Google akakuta taarifa shallow akaja hapa na kuomba msaada zaidi angeeleweka, lakini hataki kujishughulisha. Ndio maana hadi sasa hajapata jibu kila mtu kampuuza na uzembe wake wa kutumia kichwa kufugia nywele!
 
Last edited by a moderator:

HUGO CHAVES

JF-Expert Member
Mar 25, 2011
2,045
1,500
cyril ramaphosa huyu ni mpambanaji wa chama cha anc kwa madiba dhidi ya utawala wa makaburu
 
Bijou

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
1,192
1,500
Hapa mkuu wewe ndio unaonekana Mburura....

Wenzio wanakueleza njia sahihi ya kumfahamu Cyril Ramaphosa ni kumtafuta kupitia Google...Wewe badala ya kushukuru unawaita wenzio Mburura....Ukimtafuta Ramaphosa kupitia Google ama Wikipedia utaupata wasifu wake vizuri tu...

Jina lenyewe masulupwete! What do you expect?
 
Balantanda

JF-Expert Member
Jul 13, 2008
12,422
2,000
Hapa mkuu wewe ndio unaonekana Mburura....

Wenzio wanakueleza njia sahihi ya kumfahamu Cyril Ramaphosa ni kumtafuta kupitia Google...Wewe badala ya kushukuru unawaita wenzio Mburura....Ukimtafuta Ramaphosa kupitia Google ama Wikipedia utaupata wasifu wake vizuri tu...
Dah.......

Masulupwete..............

Ngoja nikupuuze na kukusaidia pia....

Cyril Ramaphosa - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom