Cyprian Musiba atolewa nje ya ukumbi wa Bunge kwa kujifanya mwandishi kumbe siyo mwandishi wa habari

Kwa macho.
Akiwa mtangazaji na kiongozi wa redio free afrika, alikuwa padri au ukiacha na uandishi wa habari unakoma hapo??
Njooni na hoja nzito, sio hii ya AKIJIFANYA NI MWANDISHI WA HABARI WAKATI INAJULIKANA NI MWANDISHI WA HABARI.
Sema hao watakuwa bavicha ndio wamemzuia asikae karibu nao.
Kama kweli ni mwandishi wa habari, ina maana hao wote hawajui kama ni mwandishi wa habari?

Ndio mara yao ya kwanza kukutana naye hapo?

Kwa nini hajaonesha utambulisho kuwa yeye ni mwandishi wa habari?

Kwa nini kakubali kuondoka kama anasingiziwa?

Huoni kuwa kushutumiwa ilihali ni mwandishi halali ni kudhalilishwa mbele ya Bunge?
 
mkuu huyo unayemwambia ndio musiba mwenyewe amebakiza kuanuliwa matanga tu
 
Kwa macho.
Akiwa mtangazaji na kiongozi wa redio free afrika, alikuwa padri au ukiacha na uandishi wa habari unakoma hapo??
Njooni na hoja nzito, sio hii ya AKIJIFANYA NI MWANDISHI WA HABARI WAKATI INAJULIKANA NI MWANDISHI WA HABARI.
Sema hao watakuwa bavicha ndio wamemzuia asikae karibu nao.
Mbona umeumia hivo, ndio ulikuwa umemtuma? Huwezi kuwini kila siku, kuna siku unapoteza na maisha yanaenda.
 
Alitakiwa apigwe makofi huyo sio kumsindikiza kama bwana harusi,ilitakiwa apigwe kipigo cha MBWA KOKO kwa kuvamia issue zisizomuhusu.
 
Ndio ujiulize maswali sasa sio kufikirishwa tu. Cyprian Musiba ni mwandishi wa habari by profession.
Hizo picha hazihusiani na yeye kutolewa sababu ya uandishi wa habari, ni picha ya jambo lingine.
Labda Professional ya Chato!
Na ww njaa inakusumbua!
 
Back
Top Bottom