Cyberbullying

Cyberbullying

Hahaha pachaa siku hizi hata pm za mitongozo zinasambazwa..... Wenyewe wanaziita screen shots.
Khatari kabisa shekh.
Khatari ya screen shots muulize Vicky Kamata , ilimuharibia ndoa shekh.

si bora liwe tongozo, ogopa hata pm ya "hi" itapikwa sumu hautamini
 
watu wanafiki sana humu
mi ndo maana naogopa kujuana na watu kiuhalisia
sio kwa sababu sijiamini
hapana ila sipendi ugomvi ugomvi na visasi vya ajabu ndo maana sina adui wa kudumu humu
nimejiunga ili niongezee maarifa na ufahamu wangu

Yes dear...humu kichefuchefu....nilijaribu kujuana na asakuta same hata masaa hayakupita alinitibua...nikaamini ya ngoswe aachiwe ngoswe mwenyewe...pm nakausha..tujuane hapahapa kwa uzi yatosha
 
Last edited by a moderator:
Sio lazima mtu anayekusambaza uwe umeongea nae au unajuana nae!Mwengine humjui na hakujui na anakutafuta ubaya
Sasa mtu asiyekujua, hamjawahi kuongea hata mara moja, anaongea ama kuzusha maneno mtandaoni unaumia? Kwa sababu gani? Mie nkifikiri anayeku bully awe anadetails zako, anakufahamu au ulimingle nae sehemu, japo ndio uumie, vinginevyo unamuweka kwenye trash can tu.
.Mtu anayekaa na kubully wenzake ni mgonjwa na ni mkosaji tatizo anakuwa hana vithibitisho na vigezo vya kutosha vya kukutake down ndo anakuzushia vitu vya kipuuzi
Anayefanya hivyo kweli ana mapungufu sana. Huwa naangalia mara nyingi hata mada zingine mtu ukisoma unaona kabisa hii inamlenga mtu, Ili iweje? Hao wanaofanya hivyo ndio wanajua sababu za kufanya hivyo, lakini ni kukosa busara tu. Ukiamua kujilipua Na mtu, uwe mtandaoni au mtaani ujiandae kwa matokeo hasi au chanya.
Ila sikatai wengine wanajitakia wasambazwe na inakuwa somo kwao.
Wengi tunajitakia tu, kuna mengi tunafanya kwa makosa. Lakini wanaofanta hivyo nao wana walakini...!
 
ha ha ha ha acha nicheke japo si mazuri, huo nao unaweza kuwa ni ugonjwa wa akili kwakweli kuna vitu ukiviwaza hata huwa havina majibu HOW! HOW! mtu hakujui hata chembe ila anshika kibendera kabisa kuongea uongo tena anajitutumua kabisa kuconvince watu wamuamini...ni kautahira nadhani!!!!
Yes kuna watu wamfyatuka kabisa kichwani ukifikiria unaona mtu ameenda menopause ya ubongo....
 
Sasa mtu asiyekujua, hamjawahi kuongea hata mara moja, anaongea ama kuzusha maneno mtandaoni unaumia? Kwa sababu gani? Mie nkifikiri anayeku bully awe anadetails zako, anakufahamu au ulimingle nae sehemu, japo ndio uumie, vinginevyo unamuweka kwenye trash can tu.

Anayefanya hivyo kweli ana mapungufu sana. Huwa naangalia mara nyingi hata mada zingine mtu ukisoma unaona kabisa hii inamlenga mtu, Ili iweje? Hao wanaofanya hivyo ndio wanajua sababu za kufanya hivyo, lakini ni kukosa busara tu. Ukiamua kujilipua Na mtu, uwe mtandaoni au mtaani ujiandae kwa matokeo hasi au chanya.

Wengi tunajitakia tu, kuna mengi tunafanya kwa makosa. Lakini wanaofanta hivyo nao wana walakini...!
Sio kuumia my dia,mimi labda nina njia za kucope na cyberbullying....since i am a matured person and i have been bullyed as a child so i have already my own defence mechanisms.Lakini mtu mwengine inaweza kumuathiri sana maisha yake psycologically kwasababu anakuwa anaona kama jamii imemgeuka na kumuangusha.Kwahio hapa tunajadili cyberbullying in general and how to avoid it or stop it.If the are any techniques that someone used and they have worked share it for the sake of others!
NB:Nanukuu si kila mtu anayekuwa bullyed anajitakia wengine wanazushiwaaa tu na ndio maana ikaitwa BULLYING!!
 
Mshenga wangu kuna mambo zaidi ya hayo uliosema hapo.....mfano unakuwa unaelewana na a lady huku mpaka mnafika pm...mazoea yanazidi mpaka huyo dada anakutongoza wewe sasa unamkaushia hapo ndo ugomvi unaanza...unashangaa bidada anafungua nyuzi kuhusu wewe na uwongo anauongezea mpaka mlengwa unakwazika ndo anachoongelea mwanzisha thread hapa...ila kuna mifano mingi tu ya mambo yanayoendelea humu
Thow I agree 80% ni ya mtu mwenyewe kujitakia
Lakini bado hujanipa mrejesho mshenga..!
Ukiamua kuingia kwenye mahusiano lazima ujiandae kwa matokeo yoyote. Lakini pia ukiwa kwenye mahusiano kuna vitu lazima uchukue tahadhari, kwani lazima mpigani mapicha ya utupu? Vijana wenyewe hawa, mkigombana kidogo kakupeleka live mtandaoni...aah!
 
Habari za saa hizi waungwana….Tuanze na kama title ya uzi huu inavyowakilisha.Cyberbullying ni nini?Kama tunavyojua kuna wambea,wasengenyaji,wazushi na wanafiki kwenye kila jamii.Cyber bullying ni uzushi wa kwenye internet kupitia kwenye mitandao.Uzushi huo unaweza kuwa wa aina tofauti,unaweza kuwa kama mtu anakufatilia maisha yako na kuzusha vitu visivyo na ukweli au hata vyenye ukweli lakini aongeze pilipili na chumvi ili apate attention.

Kwenye cyber bullying kuna victim na kuna buller.Buller/mzushi ni mtu ambaye kwa lugha ya rahisi anayependa "ATTENTION", au tumuite "ATTENTION SEEKER"mtu huyo anakuwa na character ya kutokujiamini,kuwa na low-self esteem na mpweke.Anakuwa mpweke kiasi cha kwamba anaona njia pekee ya yeye kuonekana ni kuzusha vitu visivyo na ukweli.Ni mtu ambae muda wote anataka aonekane na yeye yumo anavuma na hajachacha.Mtu huyo huyo hajali maslahi ya athari atazozipata victim,kwasababu kwake yeye akipata attention ni furaha,anaona furaha watu wakifanya masikhara.

Buller ni mtu ambae anakuwa anafikiri na kufatilia sana maisha ya wengine baadala ya kutumia muda wake kufikiri vitu vyenye maendeleo na manufaa kwenye maisha yake.Nimeshashuhudia kesi tofauti ambazo watu wamekuwa bullyed kama kupelekea kifo,ni kitu kinachosikitisha mno.Wanasema njia pekee ya kuepuka kuwa bullyed ni kuwa na nguvu za kukabiliana na mzushi na kumueleza kuwa hutovumilia upuuzi wake tena.Lakini swali linakuja tutazuia vipi cyberbullying wakati hali hio inatokea kwenye mitando na kuna uwezekano mkubwa humfahamu muhusika.Naelewa kuna wahanga wengi walopitia cyber bullying au hata bullying katika jamii tunazoishi.

Je mlichukua hatua gani hali hio ilipowakuta?Kuna kitu ambacho ulikifanya ungekifanya tofauti?Unadhani ni jukumu la nani kuhakikisha hali hio haitokei tena?Wahusika wa mitandao?Je kama umewajulisha kuhusu hali hio na hawakuchukua hatua zozote utakuwa na imani nao na mtandao wanaowakilisha?Karibuni mtoe michango yenu.Gorgeousmimi

sio buller,ni bully....cyberbullying sio uzushi tu inaweza kuwa vitu vya kweli ila kwa mtindo wa kashfa na kejeli,na hizi zinapelekea hata victims kujiua au kupata athari nyingine kisaikolojia.
 
Yes dear...humu kichefuchefu....nilijaribu kujuana na asakuta same hata masaa hayakupita alinitibua...nikaamini ya ngoswe aachiwe ngoswe mwenyewe...pm nakausha..tujuane hapahapa kwa uzi yatosha

mi ndo staki kabisa kwa kweli tena sie mabinti nshaona humu wanavyochafuana watu basda ya kujuana hamu sina
naogopa sana mimi
kwa kweli hapa stori tu...!!
 
Last edited by a moderator:
Sio kuumia my dia,mimi labda nina njia za kucope na cyberbullying....since i am a matured person and i have been bullyed as a child so i have already my own defence mechanisms.Lakini mtu mwengine inaweza kumuathiri sana maisha yake psycologically kwasababu anakuwa anaona kama jamii imemgeuka na kumuangusha.Kwahio hapa tunajadili cyberbullying in general and how to avoid it or stop it.If the are any techniques that someone used and they have worked share it for the sake of others!
NB:Nanukuu si kila mtu anayekuwa bullyed anajitakia wengine wanazushiwaaa tu na ndio maana ikaitwa BULLYING!!
So, how do you avoid or stop cyber bullying?
As long as you use internet and share information with people, don't think you can stop it 100% lakini you can avoid it by sharing ONLY what you think is supposed to be seen/shared with friends. Stop interacting with anonymous people. Labda kwa njia hiyo twaweza kupunguza machungu ya kuteswa kisaikolojia kwenye mitandao.
 
ole wake mtu aje kunizunguka mbuyu uwiiii ntanyooka nae afu ni ushamba wa hali ya juu
 
ole wake mtu aje kunizunguka mbuyu uwiiii ntanyooka nae afu ni ushamba wa hali ya juu

Hahahaa una bahati sikujui nje ya hapa ningekusambaza interview ya jana umepata 20% lol
 
Hivi cyberbullying inainclude misuto ambayo mara nyingi huanzia mmu na kuhamishiwa chitchat? Au hiyo ni.counter cyberbullying?
 
Umemaliza, ugumu wa maisha mtaani unachangia sana. Likes mitandaoni zinakuwa njia ya ku 'escape from reality'.

Kuna wengine wana stress za maisha, unawaonea huruma unawasamehe tuu..
Huko mitaani maisha yashawapiga vibao basi wanahaha kusaka umaarufu wa kwenye mitandao....

Mara nyingi huwa ni watu ambao jamii haiwapi attention either ni wabaya kwa muonekano au wanatabia mbaya nk...so huwa hawajiamini hivyo likes za kwenye mitandao ndo zinawafariji.

Dawa yao ni kuwadharau kama walivyodharauliwa huko walikotoka, ukiwafuatilia ndo unakuwa umewapa attention wanayotaka....!
 
Umemaliza, ugumu wa maisha mtaani unachangia sana. Likes mitandaoni zinakuwa njia ya ku 'escape from reality'.

Sasa mtu anatafuta likes kwa kukashifu na kuzusha....??? Si aandike vitu vya maana apate hizo likes
 
Back
Top Bottom