Cyberbullying

Cyberbullying

Umeona eeeeeee.
Yaani tulianzia hospital, tukaingia kwenye upenzi....ghafla kupigana mapicha, then nayakuta mtandaoni....goshhhhh!!!!!

Hahaha!!!!!
Mm inabidi nikucheke tu.....
Saiv ndo muda fresh wa kumfanyizia , wamefungiwa kazi.
 
Hakuna cyber bullying Tz. Mtu anaekua bullied online can always pull him/herself out. Kama ni picha za utupu kuachiwa online they shouldn't have taken them in the first place. Mambo mengine ni utoto na skendo zingine za kijinga ambazo wanaoanzisha na victims wote wanataka attention.

Punguzeni uzungu tuna matatizo mengi ya kushughulikia kabla ya kudiscuss cyber bullying. Tena, sijaona na hakuna cyber bullying Tz so far

Bufa ebu nisaidie yule manager wa Bank alie jiua kisa kuanikwa utupu wake ile ni nini? Naweza kuwa sijui sana mkuu.
 
Kama yule mwanaharamu daktari wa IMTU, aliyenisambazia picha zangu za utupu, kwa kweli kila nikifikiria nakosa la kufanya.
Yote namuachia Mungu....ila ipo siku.

picha zipi hzo embu nitumie kule nizione
 
Kwa hiyo mnataka wote tuwe na ideas sawa? Wengine wataleta utoto, masikhara, ujinga na upuuzi. Ndivyo maisha yalivyo, hata huko mitaani, kazini, misikitini na makanisani ndivyo watu walivyo..!

Mtu kwenye busara anachanganua kipi cha kuchangia na kipi sio cha kuchangia. Ajabu Ni kuwa tunalalamika lakini ikija thread ya kipuuzi sie ndio wa kwanza kuipa traffic.

Kuwa bullied mtandaoni ni kujitakia tu. Ukishea na mtu privacy zako, humjui-hakujui, akija kukugeuka unamlaumu nani. It's simple, don't share your privacy with everyone. Mnatuma picha za uchi au mnatongozana mtandaoni...unategemea mkikosana itakuwaje?
Sio lazima mtu anayekusambaza uwe umeongea nae au unajuana nae!Mwengine humjui na hakujui na anakutafuta ubaya.Mtu anayekaa na kubully wenzake ni mgonjwa na ni mkosaji tatizo anakuwa hana vithibitisho na vigezo vya kutosha vya kukutake down ndo anakuzushia vitu vya kipuuzi.Ila sikatai wengine wanajitakia wasambazwe na inakuwa somo kwao.
 
Kweli, humu mtu uatakiwa kuwa makini, kuna ngoma zinapigwa chini chini, unaweza kujikuta unacheza ngoma usiyoijua...

ndo maana mishe mishe umbea pm sizipendi kabisa kama una deal la pesa hapo sawa njoo pm au kutongoza pia twende pm ila sio upuuzi wa maumbeya
 
Umeona eeeeeee.
Yaani tulianzia hospital, tukaingia kwenye upenzi....ghafla kupigana mapicha, then nayakuta mtandaoni....goshhhhh!!!!!

Picha kabisa mkapiga na wewe ukawa unaangalia tu unajichekesha!!?...kweli akili zikianza kutumika za kiunoni ni kazi kweli kweli, pole mkuu.
 
ndo maana mishe mishe umbea pm sizipendi kabisa kama una deal la pesa hapo sawa njoo pm au kutongoza pia twende pm ila sio upuuzi wa maumbeya
Hahaha pachaa siku hizi hata pm za mitongozo zinasambazwa..... Wenyewe wanaziita screen shots.
Khatari kabisa shekh.
Khatari ya screen shots muulize Vicky Kamata , ilimuharibia ndoa shekh.
 
Hahaha pachaa siku hizi hata pm za mitongozo zinasambazwa..... Wenyewe wanaziita screen shots.
Khatari kabisa shekh.
Khatari ya screen shots muulize Vicky Kamata , ilimuharibia ndoa shekh.

dih kimeo chief hadi hizo wanasambaziana kweli screen shots noma pachaa sasa na huyu Madame B shemeji kaenda mpa mtoa mimba kanogewa kapigwa picha leo anamaind
 
Last edited by a moderator:
Sio lazima mtu anayekusambaza uwe umeongea nae au unajuana nae!Mwengine humjui na hakujui na anakuyafuta ubaya.Mtu anayekaa na kubully wenzake ni mgonjwa na ni mkosaji tatizo anakuwa hana vithibitisho na vigezo vya kutosha vya kukutake down ndo anakuzushia vitu vya kipuuzi.Ila sikatai wengine wanajitakia wasambazwe na inakuwa somo kwao.
ha ha ha ha acha nicheke japo si mazuri, huo nao unaweza kuwa ni ugonjwa wa akili kwakweli kuna vitu ukiviwaza hata huwa havina majibu HOW! HOW! mtu hakujui hata chembe ila anshika kibendera kabisa kuongea uongo tena anajitutumua kabisa kuconvince watu wamuamini...ni kautahira nadhani!!!!
 
dih kimeo chief hadi hizo wanasambaziana kweli screen shots noma pachaa sasa na huyu Madame B shemeji kaenda mpa mtoa mimba kanogewa kapigwa picha leo anamaind

Pachaa za Madame B zingekuwepo ningeshaziona , huwa napitia blogs na website nyingi sana.
Siku hizi pm ni noma sana.
 
Last edited by a moderator:
Umeongea ukweli, kuna thread kama mbili nilizisoma umu niliishia kusoma nakuchoka tu. Yani mmetofautiana na mtu kitaa alafu unakuja kumwanzishia mada ni zaidi ya ushamba ila ni unyama.

Mimi siku moja namzingua member mmoja umu kimasihara tu nashangaa eh pm zina miminika napewa big up napewa mpaka taarifa nisizoomba kwa kweli nilishtuka nikaona kumbe kuna mambo sio kama tunavyoyachukulia wengine unaweza kucheza muzki usioujua.

watu wanafiki sana humu
mi ndo maana naogopa kujuana na watu kiuhalisia
sio kwa sababu sijiamini
hapana ila sipendi ugomvi ugomvi na visasi vya ajabu ndo maana sina adui wa kudumu humu
nimejiunga ili niongezee maarifa na ufahamu wangu
 
Hakuna cyber bullying Tz. Mtu anaekua bullied online can always pull him/herself out. Kama ni picha za utupu kuachiwa online they shouldn't have taken them in the first place. Mambo mengine ni utoto na skendo zingine za kijinga ambazo wanaoanzisha na victims wote wanataka attention.

Punguzeni uzungu tuna matatizo mengi ya kushughulikia kabla ya kudiscuss cyber bullying. Tena, sijaona na hakuna cyber bullying Tz so far
Kwanini isiwepo cyber bullying Tz?Hakuna mawasiliano kwa njia ya mitandao?Hivi hata unajua unasema nini lakini?Mpaka hapa JF ipo cyber bullying au huu sio mtandao wa watz?
 
Kwa hiyo mnataka wote tuwe na ideas sawa? Wengine wataleta utoto, masikhara, ujinga na upuuzi. Ndivyo maisha yalivyo, hata huko mitaani, kazini, misikitini na makanisani ndivyo watu walivyo..!

Mtu kwenye busara anachanganua kipi cha kuchangia na kipi sio cha kuchangia. Ajabu Ni kuwa tunalalamika lakini ikija thread ya kipuuzi sie ndio wa kwanza kuipa traffic.

Kuwa bullied mtandaoni ni kujitakia tu. Ukishea na mtu privacy zako, humjui-hakujui, akija kukugeuka unamlaumu nani. It's simple, don't share your privacy with everyone. Mnatuma picha za uchi au mnatongozana mtandaoni...unategemea mkikosana itakuwaje?

Mshenga wangu kuna mambo zaidi ya hayo uliosema hapo.....mfano unakuwa unaelewana na a lady huku mpaka mnafika pm...mazoea yanazidi mpaka huyo dada anakutongoza wewe sasa unamkaushia hapo ndo ugomvi unaanza...unashangaa bidada anafungua nyuzi kuhusu wewe na uwongo anauongezea mpaka mlengwa unakwazika ndo anachoongelea mwanzisha thread hapa...ila kuna mifano mingi tu ya mambo yanayoendelea humu
Thow I agree 80% ni ya mtu mwenyewe kujitakia
 
ha ha ha ha acha nicheke japo si mazuri, huo nao unaweza kuwa ni ugonjwa wa akili kwakweli kuna vitu ukiviwaza hata huwa havina majibu HOW! HOW! mtu hakujui hata chembe ila anshika kibendera kabisa kuongea uongo tena anajitutumua kabisa kuconvince watu wamuamini...ni kautahira nadhani!!!!
Indigo awareness ribbon
Cyberbullying is the use of information technology to repeatedly harm or harass other people in a deliberate manner.[1] According to U.S. Legal Definitions, Cyber-bullying could be limited to posting rumors or gossips about a person in the internet bringing about hatred in other's minds; or it may go to the extent of personally identifying victims and publishing materials severely defaming and humiliating them.[2]

With the increase in use of these technologies, cyberbullying has become increasingly common, especially among teenagers.[3] Awareness has also risen, due in part to high-profile cases like the suicide of Tyler Clementi.[4
 
Kama yule mwanaharamu daktari wa IMTU, aliyenisambazia picha zangu za utupu, kwa kweli kila nikifikiria nakosa la kufanya.
Yote namuachia Mungu....ila ipo siku.

pole sana
yaani kuna watu washenzi humu sijui wamekulia wapi
unaweza hisi ni watu wenye buasar kumbe zero kabisa
mi hvyo ndo vinaniogopesha hata kujuana na watu humu
maana mi binafsi ikitokea hvyo ntakachokufanya sijui yaani km utanisahau
 
Hakuna cyber bullying Tz. Mtu anaekua bullied online can always pull him/herself out. Kama ni picha za utupu kuachiwa online they shouldn't have taken them in the first place. Mambo mengine ni utoto na skendo zingine za kijinga ambazo wanaoanzisha na victims wote wanataka attention.

Punguzeni uzungu tuna matatizo mengi ya kushughulikia kabla ya kudiscuss cyber bullying. Tena, sijaona na hakuna cyber bullying Tz so far
Cyberbullying is the use of information technology to repeatedly harm or harass other people in a deliberate manner.[1] According to U.S. Legal Definitions, Cyber-bullying could be limited to posting rumors or gossips about a person in the internet bringing about hatred in other’s minds; or it may go to the extent of personally identifying victims and publishing materials severely defaming and humiliating them.[2]

With the increase in use of these technologies, cyberbullying has become increasingly common, especially among teenagers.[3] Awareness has also risen, due in part to high-profile cases like the suicide of Tyler Clementi.
 
Back
Top Bottom