saede mbondela
JF-Expert Member
- Feb 28, 2013
- 368
- 237
Wadau wa elimu nipeni ushauri khusu hii facult mpya nchini kwetu TZ mambo ya usalama wa kimtandao(cyber security) kwa ambae labda anilewa vzuri.je inasoko?
kuna ndugu ananiambia facult kama hizi hua zinakuja kwa mbwembwe kisha baada ya muda hufifia na wataalamu hubaki mtaa bila kazi ni kweli? kwa wale wenye uzoefu fungukeni