peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 12,927
- 21,588
Nimefurahishwa CWT kukubalika Kwa zaidi ya wilaya 110 nchi kukubali wazo la uanzishwaji wa bodi ya kitaalamu ya walimu. Walimu wengi ambao ni wanachama wa CWT wametoa maoni yao kuwa asilimia 2 wanachama wanayokwatwa kwenye mishahara yao Kila mwezi ni kubwa kulinganisha na kiwango watakacholipia mara moja kwa mwaka.
Pili CWT sio chombo chenye uwezo wa kuwakagua kiutendaji na iwapo walimu wanaohitaji kuja kufanya kazi ya ualimu Tanzania kutokea nchi zingine hakuna chombo Cha kuwasajili ili weze kujulikana uwezo wao kiutendaji.
Tatu walimu wengi wangeweza kuchangia Kwa kuseme kuwa, CWT imekuwa kama chombo Cha kisiasa zaidi na sio chombo Cha utendaji.
Nne, CWT imekuwa ikiongozwa na viongozi wenye uwezo mdogo kitaaluma hivyo kufanya chombo hicho kuwa hafifu.
Na mwisho CWT wameshauri kiwe chama Cha hiari mwalimu kujiunga au kutokujiunga na wamekwenda mbali kunishauri TSC ivunjwe ili bodi iweze kuwa chombo imara.