CHIBURABANU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 2,921
- 3,461
Kada zingine serikali inawaangalia lakini walimu inawaruka,ukisikia tafsiri ya wanyonge ni walimu.Nambie kada gani walioweza kudai haki zao
CWT ndo wanasaidiana na ccm.
Kada zingine serikali inawaangalia lakini walimu inawaruka,ukisikia tafsiri ya wanyonge ni walimu.Nambie kada gani walioweza kudai haki zao
Mzazi anamponda mwalimu kwa Ni failure ana mdharau kweli kweliI have reasons
1. Walio wengi walimu ni "failures" academically, sijawahi kumuona mtu wa Div 1 amemaliza form 4/6 kaenda ualimu, hivyo kwao kuwa pale ni favour, hawawezi kupigania haki zao maana wanajua hata kuwa kwenye ualimu ni favour
2. Kwa mtu kama huyo kupigana haki zake ni ngumu maana anajua mapungufu yake.
3. Mishahara yao ni midogo, hivyo mtu hana muda wa kutetea haki zao , anaona afdhali atumie muda kujiongezea kipato
4. Wengi wako vijijin ambako wanachofanya ni ulevi na "kuoa"........ wamekuwa damped kuozea huko.......
5 Nitaongezea baadaye
Kha!kha!,Kwa hiyo wewe ni nani??Mimi siyo Chawa
Nani kasema hawastahili heshima? Wanastahili heshima kama yeyote navyostahili heshima, lkn ukweli unabaki kuwa ONE na TWO huwezi kuzikuta kwenye ualimu, hoja yangu ni hiyo!U can't be serious walimu wanastahili heshima pia nyie msiwadharau wale watu .
Wengine tutaweza oa Walimu bwanawee, usidharau wake zetu watarajiwa.Kama kuna watu wa hovyo ni waalimu,
Wabunge bhanaAlafu Kuna wajinga wengi wanadai walimu hawawez kutetea maslah yao kisa hawana div 1 Kama kada zingine
Sasa swal langu dogo naomba nijibiwe kwa kupewa mifano ,je Ni kada ipi ambayo inajielewa na ikatetea maslah yao na maslahi yao yakapatikana kuanzia 2015-2020 maana isiwe mnarusha tu lawama kwa walimu wakat kila sekta uoga Ni ule ule .tafadhar nipen jina la sekta ambao sio waoga
Nina marafiki kibao Wana one na two wako kwenye ualimuNani kasema hawastahili heshima? Wanastahili heshima kama yeyote navyostahili heshima, lkn ukweli unabaki kuwa ONE na TWO huwezi kuzikuta kwenye ualimu, hoja yangu ni hiyo!
Mishahara sijui manini nini hukokauli mbiu ya Mei 1 inasemaje?
Sasa wawatangazie uwepo wenu. Mvuta kamba huvutia kwake..Hivi Mei mosi ni kwa ajili ya walimu tu? maana nawaona ndiyo wanahisi kama wao ni watumishi pekee nchi hii.