Inocensia,Tuanze na huyu SABRINA MLASI SUNGURA. Mwenye CV yake tafadhali aiweke ili tuanze kuupima uwezo wake na umuhimu wao kwetu mjengoni na sio kuvaa viremba tu.
Mkuu anza na kuweka cv ya Profesa maji marefu kwanza!why unataka cv ya specific person?utakua umetumwa wewe!tumekustukia.
wala siihitaji kuijua CV ya profesa maji marefu sababu kwangu mimi kuwa tu mwana CCM ni zaidi ya janga la kitaifa.Mkuu anza na kuweka cv ya Profesa maji marefu kwanza!why unataka cv ya specific person?utakua umetumwa wewe!tumekustukia.
Naona hauna hela ya kula kwa leo, omba tukusaidie kwa M-PESA!
Inocensia,
Ukimtongoza mwanamke akakukataa kubali maana ni sehemu ya maisha ya Mwanaume. Sasa hii tabia ya kukasirika then unakurupukia kwenye mitandao ili umkomoe haitakusaidia. Wanawake wapo wengi. Kama hujui wanapopatikana niPM nikuelekeze
TUMBIRI wa JF
mkuu,
mimi mwenyewe ni mwanamke. nimtongoze mwanamke mwenzangu ili iweje?. mimi siuwezi u CAMEROUN bwana...sungura yeye ni miongoni mwa wabunge wa viti maalum kwenye chama chetu ambao ni mzigo wa miba.
Naona umeingia vibaya.
nataka kujua ni kipi kilizingatiwa mpaka tukawa na aina ya wabunge kama wa huyu binti SUNGURA?. nataka kujua tu ni kwanini mpaka sasa pale bungeni dodoma ni wabunge wale wale wa bunge la tisa wa chadema yetu ukiondoa kamanda mbowe, lisu na mnyika ndio wanaochangia kikamilifu.
Wakuu, nimeona kwa pamoja tujadiliane juu ya CV na uwepo wa wabunge wa viti maalum wa chadema. chama ambacho ama kwa hakika tunakitegemea sana kama chama mkombozi wetu, japokuwa kwa sasa kina wabunge 26 wa viti maalum lakini sijawahi kuuona umuhimu wao pale bungeni kiasi cha kushindwa kuwatofautisha na wabunge wa CCM waliozoea kusema ndio kwa kila kitu.
naomba leo nianze kuwajadili mmoja mmoja katika jukwaa hili.
Tuanze na huyu SABRINA MLASI SUNGURA. Mwenye CV yake tafadhali aiweke ili tuanze kuupima uwezo wake na umuhimu wao kwetu mjengoni na sio kuvaa viremba tu.
Kwa nini iwe Sabrina Sungura.Let us stop gossip
Naona umeingia vibaya.
nataka kujua ni kipi kilizingatiwa mpaka tukawa na aina ya wabunge kama wa huyu binti SUNGURA?. nataka kujua tu ni kwanini mpaka sasa pale bungeni dodoma ni wabunge wale wale wa bunge la tisa wa chadema yetu ukiondoa kamanda mbowe, lisu na mnyika ndio wanaochangia kikamilifu.
upo sahihi sana speedy.binti anahoja jamani. Mimi mwenyewe sijawahi kumsikia. Hii itatusaidia baadae wakat wa kura za maoni ili kuteua wagombea ubunge sio tuteue ilimradi tu. Pia itamsaidia yeye mwenyewe na wengineo kujirekebisha sio kukaa na kupiga makofi tu. Mbona halima ana fight sana bungen wakat watu kama kina sungura wamekaa tu. Tubadilike sio kila mtu anaetoa hoja kukosoa mwanachadema ni fisadi
Hilo ni pigo kwa GENDER kwa na nashawishika kuwa wanawake wanataka usawa lakini wao wenyeeewe hawapendani ....... Je komu alikuwa mumeo ....... Nonsense kabisa ..... unasema alikuwa amefeli darasa la saba ...... Zanzibar University kaenda kusoma ....... Jina siyo isssue ..... Muulize Dr. Kingwangwala Hamisi atakufafanulia vizuri..... kama hajaenda shule hiyo issue nyingine ..... issue ya jina waweza kwenda kula kiapo Mahakamani (John kwenda Said.. Buzz kwenda tigo,,,, celtel kwenda zain to Airtel
CHADEMA walitengeza formula ya kupata wabunge wa viti maalum. Na wahusika wakuu walikuwa Prof Beregu, Dr Kitila Mkumbo. Wapo baadhi ya wabunge wa CHADEMA ambao si waongeaji sana (kwa kusimama bungeni) lakini kwenye wazuri kwa kutoa michango kwenye mikakati na utekelazaji. Mmojawapo ni Mchungaji Natse.
BEN;
ungejua!.
SABRINA NI MWANZO TU. hii ni operesheni tetea maslahi ya uuma. tukimalizana na huyu binti tutaingia kwa MUHONGA, OWENYA, MASHISHANGA, MTURANO, REBECCA na wengine wote.
haujui kwamba wabunge wa viti maalum posho na mishahara yao vinatosha kokomesha UKIMWI TANZANIA.
kwa hiyo hatupaswi kuwa na wabunge wa chama makini kama CHADEMA wanaofanana na akili za wabunge wa CCM za kufunga VIREMBA TU na kuvaa mikufu miguuni.
hapa ni KAAZI TU.
VUA GAMBA VAA GWANDA.