TUNTEMEKE
JF-Expert Member
- Jun 15, 2009
- 4,587
- 579
Wakuu, nimeona kwa pamoja tujadiliane juu ya CV na uwepo wa wabunge wa viti maalum wa chadema. chama ambacho ama kwa hakika tunakitegemea sana kama chama mkombozi wetu, japokuwa kwa sasa kina wabunge 26 wa viti maalum lakini sijawahi kuuona umuhimu wao pale bungeni kiasi cha kushindwa kuwatofautisha na wabunge wa CCM waliozoea kusema ndio kwa kila kitu.
naomba leo nianze kuwajadili mmoja mmoja katika jukwaa hili.
Tuanze na huyu SABRINA MLASI SUNGURA. Mwenye CV yake tafadhali aiweke ili tuanze kuupima uwezo wake na umuhimu wao kwetu mjengoni na sio kuvaa viremba tu.