Cv za wabunge viti maalum chadema;- sabrina mrasi sungura .

Status
Not open for further replies.
You are getting me wrong son, I said suppose it is true. I meant you didn't come up with anything tangible to drill your point home! Go home and do your home work, son!
 
Naomba kuuliza, kwani CV ya mtu ndiyo inafanya kazi? Au kuwa na CV nzuri ndo kunakupa ccredit kuwa ww ni mzuri sana kaika uwajibikaji.

Msaad please, connection kati ya CV na tabia ya mtu inakujaje?
 
Wakuu, nimeona kwa pamoja tujadiliane juu ya CV na uwepo wa wabunge wa viti maalum wa chadema. chama ambacho ama kwa hakika tunakitegemea sana kama chama mkombozi wetu, japokuwa kwa sasa kina wabunge 26 wa viti maalum lakini sijawahi kuuona umuhimu wao pale bungeni kiasi cha kushindwa kuwatofautisha na wabunge wa CCM waliozoea kusema ndio kwa kila kitu.
naomba leo nianze kuwajadili mmoja mmoja katika jukwaa hili.
Tuanze na huyu SABRINA MLASI SUNGURA. Mwenye CV yake tafadhali aiweke ili tuanze kuupima uwezo wake na umuhimu wao kwetu mjengoni na sio kuvaa viremba tu.

mi nadhani tuanzie kwako, tujuze CV yako
 
kwa jinsi alivo mkar, nahisi uliingia kichwa kichwa ukala za uso, sasa unatafuta sympathy JF
 
Namfahamu vizuri sana huyo binti.
jina lake sahihi nio MRASI na hilo sabrina alianza kulitumia baada ya kufeli darasa la saba.
alisomeshwa na AIDAN NDOLWA kinondoni MUSLIM na baadae zanzibar university.
alianza uhusiano wa kimapenzi na ANTHONY KOMU mkurugenzi wa fedha wa CHADEMA mwaka 2008 mpaka sasa.
Mwaka 2010 alizawadiwa UBUNGE wa viti maalum

Kumbe kuna Zanzibar University, Inatoa nini yaani degree au? Kuna wapambanaji wengine wanataka kuja huko.
Ila nahisi ulinyang'anywa. Punguza munkari.
 
Mawazo binafsi niwe radhi kwa hilo ,,, mapenzi ni maisha binafsi... Isshue ilikuwa cv baadaye mpaka mmerukia personal issues ..... mimi namwogopa Mungu lakini tuwe wakweli tu,,,,,, Mwanakwe kuwa mpiganaji au front line hasa kwenye siasa ni nadra sana ...... hao walioko upinzani ni waliojitoa muhanga hasa kwa nchi ambayo elimu ya uraia level ya elimu ya uraia iko very low..... ( Kwetu huwezi kumwambia Mwanamke awe upinzani maana wanaamini kuwa upinzani VITA na hakuna chama kama ccm) mind that wanawake ni jamii ambaye iko katika harakati ya kuwezeshwa (GENDER BALANCE) sina comment kuhusu personal issues plz Mugopeni Mungu maana ndiye wetu sote wakosefu.
s
wali.
mchango wa sungura katika mageuzi ya tanzania ni yepi?. au uanamke wake?.
 
Naona umeingia vibaya.
nataka kujua ni kipi kilizingatiwa mpaka tukawa na aina ya wabunge kama wa huyu binti SUNGURA?. nataka kujua tu ni kwanini mpaka sasa pale bungeni dodoma ni wabunge wale wale wa bunge la tisa wa chadema yetu ukiondoa kamanda mbowe, lisu na mnyika ndio wanaochangia kikamilifu.

Wewe ndo janga la kitaifa, halafu muongo sana! Wabunge wa chadema karibia wote huwa wanachangia bungeni, wewe una yako!
 
Kumbe kuna Zanzibar University, Inatoa nini yaani degree au? Kuna wapambanaji wengine wanataka kuja huko.
Ila nahisi ulinyang'anywa. Punguza munkari.
ndio maana le baharia le mutuz alilalamikia wabunge wa chadema kuchukua rushwa humu. alimficha tu... NI SABRINA SUNGURA BANA..
 
Hindra gandhi, Ha n sa su chi, raisi wa malawi. Msiwadhalilishe wanawake. Wanaweza kupambana. Unakumbuka mabodiguard wa Gadafi.
 
Angalia kwenye website ya Bunge. Japo hajaongea kuchangia mada lakini michango yake kwa maandishi ni mingi Kulinganisha hata na EL. Nisichojua ni kuwa aliandika nini.
sasa miaka 2 bungeni unachangia mara 14 halafu unajivunia?...kaangalie kwa kamanda mnyika ama halima mdee sasa utalipata jibu...
 
Aisee kazi ipo,na hawa ndo wapewe dola 2015,hata maadili hawana,huyo komu hajaoa?
ameoa na ana mke mzuri kama mtutsi na anwatoto wawili mmoja anaitwa uchaguzi ..basi tu laana za dunia
 
Wakuu, nimeona kwa pamoja tujadiliane juu ya CV na uwepo wa wabunge wa viti maalum wa chadema. chama ambacho ama kwa hakika tunakitegemea sana kama chama mkombozi wetu, japokuwa kwa sasa kina wabunge 26 wa viti maalum lakini sijawahi kuuona umuhimu wao pale bungeni kiasi cha kushindwa kuwatofautisha na wabunge wa CCM waliozoea kusema ndio kwa kila kitu.
naomba leo nianze kuwajadili mmoja mmoja katika jukwaa hili.
Tuanze na huyu SABRINA MLASI SUNGURA. Mwenye CV yake tafadhali aiweke ili tuanze kuupima uwezo wake na umuhimu wao kwetu mjengoni na sio kuvaa viremba tu.

Nadhani una lako jambo against her.

Dada CV sio uwezo, ni SIFA
May be due to some circumstances beyond her control, she did not have the access to opportunities you had - like higher Education.
Usishushe hadhi ya wanawake wenzio. This is obvious and full expression and demonstration of ENVY
 
Dada kwa hoja yako nadhani Chama kitajiangalia na wanachama wataamka kuona kama kuna aina yoyote ya mambo kutoenda vizuri kwa wabunge hawa wa viti maalum. Si issue kuwepo kwao ila wamepatikanaje, kwa sifa zipi zenye maslahi kwa uhai wa chama 100-500 years to come? siyo wawekwe tu kwa kufurahisha wau fulani ndani ya chama.
Pia kwa wote wanao-attack hoja ya INNO nadhani watulize vichwa na kuatafakari nini anajaribu kulenga katika hoja yake!!!
Mawazo kama haya yakiachwa yayeyuke na kuonekana kama ni majungu yatakuwa mwiba baadaye kwa chama zaidi ya wabunge wenyewe watakavyokuwa mwiba na mizigo kwa chama hapo baadaye. Ni nadra sana kupata mawazo mbadala kama haya.
Kwa wenzetu magamba ndo kuna majungu, CDM ni ukweli na haki ahata pale maslahi ya mtu yanapohatarishwa haki lazima isimame na ukweli.
Nasema ASANTE dada INNO kwa hoja yako mabadala.
 
Status
Not open for further replies.
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom