Cv za wabunge viti maalum chadema;- sabrina mrasi sungura .

Status
Not open for further replies.
Heheheiyaaaaaaa kumekucha JF, mtupe raha sie, kwani mume anaibwa ??kimekuwa kiroba?? Mtu na akili zake na miguu miwili ataibwaje jaman??
 
Wakuu, nimeona kwa pamoja tujadiliane juu ya CV na uwepo wa wabunge wa viti maalum wa chadema. chama ambacho ama kwa hakika tunakitegemea sana kama chama mkombozi wetu, japokuwa kwa sasa kina wabunge 26 wa viti maalum lakini sijawahi kuuona umuhimu wao pale bungeni kiasi cha kushindwa kuwatofautisha na wabunge wa CCM waliozoea kusema ndio kwa kila kitu.
naomba leo nianze kuwajadili mmoja mmoja katika jukwaa hili.
Tuanze na huyu SABRINA MLASI SUNGURA. Mwenye CV yake tafadhali aiweke ili tuanze kuupima uwezo wake na umuhimu wao kwetu mjengoni na sio kuvaa viremba tu.

Japo CV yake haipo angalia mchango wake bungeni. Linganisha na hawa wakongwe

Kapuya Athumani Prof. Juma Questions(0) Supplementary Questions (0) Contributions (0)
Khatib Seif Muhammed Questions(0) Supplementary Questions (0) Contributions (0)
Komu Valerian Maulidah Anna Questions(0) Supplementary Questions (0) Contributions (0)
Lowassa Ngoyai Edward Questions(0) Supplementary Questions (0) Contributions(1)
Sungura Hamza Sabreena Questions(3) Supplementary Questions(4) Contributions(14)
 
Mimi ninamfahamu sana huyo binti.
baba ake mzazi ni mzee maarufu sana kigoma amewahi kuwa MEYA wa MANISPAA YA MJI WA KIGOMA na kwasasa yeye ndiye mwenyekiti wa kamati ya wazee wa CCM anawakilisha wazee wa mji wa kigoma katika VIKAO VYA RCC mkoa wa kigoma.
Mama yake pia ni KADA MTIIFU WA CC na amewahi kugombea uenyekiti wa wilaya wa CCM kigoma mjini akishindana na mfanya biashara maarufu wa eneo la KIBIRIZI pale kigoma japokuwa wote walimwagwa na NASHON BIDYANGUZE mtu ambaye aliyemuiba diwani wa CHADEMA kwa kutafuta UMEYA.
Nilishtuka sana niliposikia kuwa kawa mbunge, nikasema kama huyu naye mbunge basi hata mazezeta wa mirembe wanaweza kuwawabunge, manake mpaka ana maliza chuo kikuu pale kigoma anahesabiwa kama msichana aliyepoteza uelekeo wa kimaisha.

......NITAENDELEA PUNDE...

Namfahamu vizuri sana huyo binti.
jina lake sahihi nio MRASI na hilo sabrina alianza kulitumia baada ya kufeli darasa la saba.
alisomeshwa na AIDAN NDOLWA kinondoni MUSLIM na baadae zanzibar university.
alianza uhusiano wa kimapenzi na ANTHONY KOMU mkurugenzi wa fedha wa CHADEMA mwaka 2008 mpaka sasa.
Mwaka 2010 alizawadiwa UBUNGE wa viti maalum

Unajua njia ya mwongo huwa ni fupi. Hasa mwongo aliyekubuhu, anayeweza kutumika kwa lolote ili aeneze fitina. Utaitambua tu kwenye maneno yake. Huyu naye ambaye watu wameshaanza kumjua vyema sasa, fuatilia kwa makini maneno yake, mathalani hapo kwenye hayo yaliyotiwa rangi nyekundu.
 
Weka ya kwako kwanza maana wewe mwenyewe uwezo wako wa kufanya mambo unatia shaka. Mimi siwezi jadili hoja inayoletwa na mtu mwenye uwezo mdogo wa kufanya mambo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom