Cv za wabunge viti maalum chadema;- sabrina mrasi sungura .

Status
Not open for further replies.
Please usinihusishe kwenye huu udaku wako.....

This question needs an urgent answer. Rumour mongers seems to be highly paid and recognized than the ordinary guys who work hard to earn a living- why is this so?
Hapana udaku hapo BEN. nimesikitika tu kuona jinsi gani umeshiriki kutaka kumtetea mtu ambaye JOSEPH KONI amesema hapa kuwa ameshiriki kugawa uroda kwenye gari.
duh. BEN nasikia huyu SUNGURA ni mjumbe wa BAVICHA, baraza ulilokuwa unataka KULIONGOZA?.
kama ndivyo hivyo basi mshukuru mungu sana walikuengua manake ni kichefuchefu kuwa na vijana wa aina ya mbunge huyu....any way samahani kama nimekukwaza.
 
Wakuu, nimeona kwa pamoja tujadiliane juu ya CV na uwepo wa wabunge wa viti maalum wa chadema. chama ambacho ama kwa hakika tunakitegemea sana kama chama mkombozi wetu, japokuwa kwa sasa kina wabunge 26 wa viti maalum lakini sijawahi kuuona umuhimu wao pale bungeni kiasi cha kushindwa kuwatofautisha na wabunge wa CCM waliozoea kusema ndio kwa kila kitu.
naomba leo nianze kuwajadili mmoja mmoja katika jukwaa hili.
Tuanze na huyu SABRINA MLASI SUNGURA. Mwenye CV yake tafadhali aiweke ili tuanze kuupima uwezo wake na umuhimu wao kwetu mjengoni na sio kuvaa viremba tu.

Sisi tunaomfahamu huyo binti. tunafamu ni jinsi gani alivyo KILAZA.
 
Tutatumikiwa na watu wenye moyo CV haina uhusiano wowote na utumishi wa haki

ndugu yangu. CV maana yake ni pamoja na huo moyo unaousema, CV maana yake sio vyeti mtu anavyomiliki. ninasema hivi mleta mada ametugusa patamu, ni lazima hawa mabinti wanaoupatia ubunge vichochoroni wawajibike ipasavyo.
 
Wee umetumwa na waliomwagwa vitu malaam yawezekana nawe pia ulifanya hivyo lakini hukufika bei ...... kajipange dada/ mama......... Swala mapenzi hiyo ni hisia tu .... ..... kafanye research hata hao waliopata viti maalum kwenye vyama vingine (CCM.CUF... wamepataje.... Nenda mbali zaidi hata ofisini kina mama huwa wanatumia sana mbinu hizo.
 
yaani wewe haufai hata kuwa dereva wa bodaboda. unawezaje kuhalalisha ujinga kwa upuuzi kama huu?.
sasa kama ndivyo hivyo manaake nini?. INOCENSIA amesema hapa, huyu binti hana uwezo, sasa wewe badala ya kuichambua hoja yake umerukia madudu yasiyo na kichwa wala miguu?.
kwa hiyo kama wewe ulifanya mapenzi chini ya miaka 15 hata mwanao akifanya hivyo haina shida kwako?.
jenga hoja kama alivyofanya INO. na sio Bla bla kama hizi.
mungu atakulaani.
 
Wee umetumwa na waliomwagwa vitu malaam yawezekana nawe pia ulifanya hivyo lakini hukufika bei ...... kajipange dada/ mama......... Swala mapenzi hiyo ni hisia tu .... ..... kafanye research hata hao waliopata viti maalum kwenye vyama vingine (CCM.CUF... wamepataje.... Nenda mbali zaidi hata ofisini kina mama huwa wanatumia sana mbinu hizo.

Tanzania ni nchi ya ajabu sana. sasa kwa majibu haya kweli utamlaumu waziri mpya wa fedha akifanya madudu kisha aseme hata mkulo alifanya hivi hivi?.
mbona tunajidhalilisha kirahisi rahisi hivi ndugu zangu?.
soma post ua JOSEPH KONI hapo juu
 
Narrow mind always attack personality instead of issues/events.
inamaana wewe haujui kama a good personality drive proper events?.
kama ulipata ubunge bila kujiandaa utawezaje kusimamia usichokiamini?
nawewe soma vizuri alichokiandika JOSEPH KONI.

SIO KILA KITU KINAWEZA KUTETEWA.
 
Tangu aingie bungeni.
Ameulizwa maswali ya msingi matatu.(3)
Maswali ya nyongeza manne.(4)
Mchango kwa maandishi mara kumi na nne (14)
Kwahiyo mama amejikita zaidi kuchangia kwa maandishi, ndio maana hamumsikii sana.
 
Tutatumikiwa na watu wenye moyo CV haina uhusiano wowote na utumishi wa haki

Utumishi upi jamani hivi unamjua binti mwenyewe hata ukimuuliza we ni mbunge unaewakilisha mkoa gani anaona aibu kujibu ukimuuliza ni kwa nini uligombea ubunge viti maalum anasema komu aliniambia nigombee na yeye ataongea na wakubwa kwani hata mbowe huwa anampa demu wake ubunge grace kiwelu so nitamalizana nae shaka ondoa ndio maana hajui anachokifanya!
 
Namfahamu vizuri sana huyo binti.
jina lake sahihi nio MRASI na hilo sabrina alianza kulitumia baada ya kufeli darasa la saba.
alisomeshwa na AIDAN NDOLWA kinondoni MUSLIM na baadae zanzibar university.
alianza uhusiano wa kimapenzi na ANTHONY KOMU mkurugenzi wa fedha wa CHADEMA mwaka 2008 mpaka sasa.
Mwaka 2010 alizawadiwa UBUNGE wa viti maalum

GOOD analysis
 
Supose it is true, that isn't a new phenomenon in Tz. Do you know that WILLIAM MGANGA NGEREJA IS NOT THE ONE YOU KNOW? YOU MAY AS WELL RECALL THAT MOST OF THE "Doctors" I mean SO CALLED PHD HOLDERSin political position are bogus and not rel scholarly honors? Haya endeleeni
 
two wrongs doest make one right
 
Tangu aingie bungeni.
Ameulizwa maswali ya msingi matatu.(3)
Maswali ya nyongeza manne.(4)
Mchango kwa maandishi mara kumi na nne (14)
Kwahiyo mama amejikita zaidi kuchangia kwa maandishi, ndio maana hamumsikii sana.

Hivi kamanda lema amechangia mala ngapi na ameuliza maswali ya msingi mangapi?
 
mkuu,
mimi mwenyewe ni mwanamke. nimtongoze mwanamke mwenzangu ili iweje?. mimi siuwezi u CAMEROUN bwana...sungura yeye ni miongoni mwa wabunge wa viti maalum kwenye chama chetu ambao ni mzigo wa miba.

Ha ha haaaaa! Au ndo yale Msekwa alisema ni wivu wa kike? Au kakunyanganya?
 
Aisee kazi ipo,na hawa ndo wapewe dola 2015,hata maadili hawana,huyo komu hajaoa?
 
Mawazo binafsi niwe radhi kwa hilo ,,, mapenzi ni maisha binafsi... Isshue ilikuwa cv baadaye mpaka mmerukia personal issues ..... mimi namwogopa Mungu lakini tuwe wakweli tu,,,,,, Mwanakwe kuwa mpiganaji au front line hasa kwenye siasa ni nadra sana ...... hao walioko upinzani ni waliojitoa muhanga hasa kwa nchi ambayo elimu ya uraia level ya elimu ya uraia iko very low..... ( Kwetu huwezi kumwambia Mwanamke awe upinzani maana wanaamini kuwa upinzani VITA na hakuna chama kama ccm) mind that wanawake ni jamii ambaye iko katika harakati ya kuwezeshwa (GENDER BALANCE) sina comment kuhusu personal issues plz Mugopeni Mungu maana ndiye wetu sote wakosefu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom