mwanadome
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 5,008
- 5,413
Hajakaa karibia na reli hawezi jua kua treni haigongwi
Sent using Jamii Forums mobile app
Treni haigongi mtu bali inagogwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Treni haigongi mtu bali inagogwa
Pia ameshawahi kuwa MC miaka ile ya mwanzo ya miss Tanzania. Kilichomkuta anakijua mwenyewe. Kila alipokuwa akijaribu bahati yake kumfariji miss mrembo aliyeshindwa kuwa mshindi au alipojaribu kumtafuta yule aliyeshinda ili ampongeze, aliambulia patupu baada ya kuambiwa kuna kijana mmoja mtaratibu sana ameshatoa pongezi/ameshafariji.( huyo kijana kwa bahati mbaya ametutoka siku chache zilizopita)
Pascal Mayalla amejaliwa vipaji vingi sana.Ipo siku tu nitamuibukia kwenye vile vipindi vyake vya saba saba.
Unamzungumzia musibaHana fikra kubwa wala nini njaa tu inamsumbua ngoja akutane na teuzi uone atakavyobadirika kama kinyonga.... Njaa mbaya sana hufanya wasio na akili kuwa na akili na wasio werevu kuwa werevu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kusoma au kuuza duka la shule?Ilboru moja....

Ndio maana nikakwambia ni communication specialist,ukimuona kama Ndezi bado hujampa sifa stahiki
Huwa anapiga sehemu kwa wakati sahihi,halafu anarudi baada ya siku mbili kufanya assessment,na hata thread iwe na page 100,ana uwezo wa kupitia kila comment na hajui kutukana mtu
Pia Paskali huwa hanywi bia, hili alinihakikishia.
Huo ndio ujinga pekee wa paskali;kutokunywa bia
Sent from my iPhone using JamiiForums
wewe na paskali nani muoga?Paskali ni muoga
wewe na paskali nani muoga?
ungekua sio muoga ungetumia jina lako halisi kama paskali
uoga uliotukukaKwahiyo kutumia anony ndio uoga?
Ni mlevi anakunywa ma-wine kuna thread alishaweka humu akaongelea ulevi wake...
Nadhani hata hujamuelewa kiivyo hapa jukwaaani!



Mkuu Tate Mkuu, kwanza ni kweli kabisa kuna watu wana vipaji lukuki, yaani multi talented, ila kutokana na kutegemea fani moja tuu, vipaji vyao vingine vinakuwa havionekani, mimi ni mtangazaji wa redio, yaani radio announcer, enzi nikiwa mtangazaji wa RTD, sikufahamika sana, kwasababu nilikuwa ni mtangazaji wa External Service, idhaa ya Kiingereza, matangazo yake wali ya beamed nchi za Kusini mwa Africa kusaidia ukombozi wa nchi za Kusini mwa Africa hivyo sii wengi wananijua kama mtangazaji mzuri tuu wa redio.Pascal Mayalla amejaliwa vipaji vingi sana.Ipo siku tu nitamuibukia kwenye vile vipindi vyake vya saba saba.
Mkuu guzman_ , kwanza asante kunianzishia thread.Ndg wana JF. Wasalamu.
Hivi karibuni nimejaribu kupitia michango/thread zilizoletwa na mtajwa hapo juu.
Pascal Mayalla ni mwana JF mwenzenu mtu wa kawaida sana.Kwa namna ya uandishi wake na mawazo yake imenilazimu kutaka kujua Pascal Mayala ni nani hasa?
Kiwango changu rasmi cha elimu ni darasa la 7, ila baada ya hapo nikaanza kuungaunga mara usome hiki mara kile, nikaungaunga hadi nikawa mwandishi wa habari na mtangazaji, nikaendelea kujisomea kwa kujisomesha kwa elimu ya kuunga unga hadi kuhitimu shahada ya sheria ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, UDSM, ambapo ilinichukua miaka 15 kukabidhiwa LL.B yangu na ikanichukua miaka 5 mingine kukubaliwa kuwa wakili.Kiwango chake cha elimu?
Professional yangu ni Mwandishi wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea na sasa ni Wakili wa kujitegemea kwa kujitolea kutetea haki kwa watu na uwezo wa kuajiri wakili.professional yake ni nini?
Niliwahi pata ajali mbaya ya Piki Piki nikadhaniwa nimekufa kumbe nilizimia tuu nikafufukia baridi la mortuary, kwa muda niliozimia madaktari wakasema nitakuwa confined to a wheelchair!, nilikuja kusimama and here I'm.Historia yake ya kiafya ikoje (Hasa ya kiakili)
Sio tuu ni Mtanzania, bali ni Mtanzania original halisi na Mzalendo wa kweli wa taifa hili.?Na kama mtanzania au la! n.k
AsanteNB: Naamini hamna mtu anaweza kuwa na fikra kubwa kama huyu jamaa.
Mimi naandikia watu watatu humuKitendo cha kuleta mada ya mkuu wetu wa mkoa kuwa Raisi wa JMT baada ya JPM binafsi nimeona ni suala zuri ila nani kaleta mawazo hayo ndo nataka kujua profile yake.