Kuna sifa moja ya Paschal Mayalla ambayo haijaandikwa humu ni kwamba kabla hajawa mtangazaji wa radio na TV alikuwa ni askari wa JWTZ (Airwing) kilichopo Majumba sita Ukonga D'Salaam ambacho kwa sasa kinaitwa Air Transport Station, na Kozi ya awali ya Uanajeshi aliifanyia Kunduchi. Mimi binafsi nilikuwa naye Kikosi kimoja wakati huo Wanajeshi walikuwa na maslahi duni sana.
Inawezekana kwa sababu hata alipoletwa JWTZ Airwing aliondoka kulikuwa na malalamiko fulani pale baada ya muda akapotea akaibukia kwenye Uandishi na Utangazaji wa habari ambako nako amekuwa mahiri na mbunifu mkubwa. Kwa wale watoto wa jana mliomo humu JF Paschal Mayalla ndiye muasisi wa neno Kitimoto.Duh anaweza kuwa TISS maana sio kwa kujua nondo za kila sekta
Im not yet convinced..how smart he is..unless mnajaribu kumpa title ambazo ha deserve kabisa kupewa..
wewe utakuwa ni ndezi, kama unashindwa kuelewa unacho ambiwa. Kimsingi namfatilia sana Pascal Mayalla kimya kimya kwenye thread zake nyingi anazo anzisha hapa JF, ni jamaa ambaye ana upeo mkubwa kwa mtazamo wangu na unahitaji uwe na akili ya ziada kuweza kuelewa anacho kisimamia katika post zake. Nimejifunza mengi kupitia yeye na nitaendelea kujifunza zaidi.Im not yet convinced..how smart he is..unless mnajaribu kumpa title ambazo ha deserve kabisa kupewa..
Treni haigongi mtu bali inagogwaaliwahi kugongwa na treni pale dodoma karibia na dodoma hotel
basi aliigonga treni akarukaTreni haigongi mtu bali inagogwa
Maswali yako nimeyapendaKwanini aliacha?
Muda ulifika?
Alifukuzwa utumishi?
Aligomea mkataba?
Unampa asilimia ngapi kua anaweza kua TISS?
ni mwandishi wa habariNdg wana JF. Wasalamu.
Hivi karibuni nimejaribu kupitia michango/thread zilizoletwa na mtajwa hapo juu.
Kwa namna ya uandishi wake na mawazo yake imenilazimu kutaka kujua Pascal Mayala ni nani hasa? Kiwango chake cha elimu? professional yake ni nini?Historia yake ya kiafya ikoje (Hasa ya kiakili)?Na kama mtanzania au la! n.k
NB: Naamini hamna mtu anaweza kuwa na fikra kubwa kama huyu jamaa. Kitendo cha kuleta mada ya mkuu wetu wa mkoa kuwa Raisi wa JMT baada ya JPM binafsi nimeona ni suala zuri ila nani kaleta mawazo hayo ndo nataka kujua profile yake.
Kumbe alikuwa askari wa JWTZ!!!Kuna sifa moja ya Paschal Mayalla ambayo haijaandikwa humu ni kwamba kabla hajawa mtangazaji wa radio na TV alikuwa ni askari wa JWTZ (Airwing) kilichopo Majumba sita Ukonga D'Salaam ambacho kwa sasa kinaitwa Air Transport Station, na Kozi ya awali ya Uanajeshi aliifanyia Kunduchi. Mimi binafsi nilikuwa naye Kikosi kimoja wakati huo Wanajeshi walikuwa na maslahi duni sana.