CV ya Pascal Mayalla

CV ya Pascal Mayalla

Ukiachana na Elimu ya makaratasi na ya kusomea tumbo, Tunamtunuku degree za heshima humu Jf,
Ana PhD in Tactical questions, hii aliipata banda ya kumuuliza Swahili Taita wa magogoni akashindwa kujibu

Ana PhD in Future forecast and Political analysis hii alipewa baada ya kusema magufuli atakuwa Rais 1 year before uchaguzi

Ana PhD in property management hasa enzi hizo akiripoti sabasaba hajawahi report ameibiwa kitu kwa umati ule unaokuwepo au kureport ule waya wake wa mike umepata default

Mkuu elimu yake ni kubwa kuliko Wale ambao wamejaza makaratasi kichwani hata furaha hawana

Hebu mfananishe Le poropesa au le profesel lipumba na Pascal, Pascal is the best
Ha ha haaa, we jamaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pia ameshawahi kuwa MC miaka ile ya mwanzo ya miss Tanzania. Kilichomkuta anakijua mwenyewe. Kila alipokuwa akijaribu bahati yake kumfariji miss mrembo aliyeshindwa kuwa mshindi au alipojaribu kumtafuta yule aliyeshinda ili ampongeze, aliambulia patupu baada ya kuambiwa kuna kijana mmoja mtaratibu sana ameshatoa pongezi/ameshafariji.( huyo kijana kwa bahati mbaya ametutoka siku chache zilizopita)

Pascal Mayalla amejaliwa vipaji vingi sana.Ipo siku tu nitamuibukia kwenye vile vipindi vyake vya saba saba.
 
Hahahhaha. Daah!!
 
Pascal naona amekengeuka sana siku hizi, amebaki kusifia CCM kwa umakini na kuiponda Chadema kwa usiri wanaomsoma toka zamani wataungana na mimi
Ni kweli kabisa. Mayalla anaiponda CHADEMA kwa akili ya juu sana na kumbain mpaka usome na utafakari. Kuna siku aliibua hoja kua LISSU "mbona Lissu haeleweki ni aina gan ya silaha iliomshambulia..mara aseme A.K. A 47 mara aseme mashine gun".
Member mmoja anaemjua Mayalla akasema technically Mayalla ameondoa neno Sub-machine gun (SMG) na kuweka Machine gun ambayo ni mtambo mkubwa wa silaha. Lengo likiwa ni kumtoa Lissu kwenye right wing.

So Mayalla ni mtu anaesifia sana kijani na kuwaponda upinzani technically.
 
Ndg wana JF. Wasalamu.
Hivi karibuni nimejaribu kupitia michango/thread zilizoletwa na mtajwa hapo juu.

Kwa namna ya uandishi wake na mawazo yake imenilazimu kutaka kujua Pascal Mayala ni nani hasa? Kiwango chake cha elimu? professional yake ni nini?Historia yake ya kiafya ikoje (Hasa ya kiakili)?Na kama mtanzania au la! n.k

NB: Naamini hamna mtu anaweza kuwa na fikra kubwa kama huyu jamaa. Kitendo cha kuleta mada ya mkuu wetu wa mkoa kuwa Raisi wa JMT baada ya JPM binafsi nimeona ni suala zuri ila nani kaleta mawazo hayo ndo nataka kujua profile yake.
Hana fikra kubwa wala nini njaa tu inamsumbua ngoja akutane na teuzi uone atakavyobadirika kama kinyonga.... Njaa mbaya sana hufanya wasio na akili kuwa na akili na wasio werevu kuwa werevu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakenya kwa Ushamba nao!!
Mimi nimesikia jina la Paskal Mayala kitambo sana, kila nimefurahi kumona mitandsoni, tvni. Kimsingi ni MTU safi kwa vipimo vyangu na kanizidi kilasekta kwa kweli. Mbishi sometime mtata, lkn Mdada kwa wengi. Namchukulia km member mwenye uelewa mkubwa Ie exposure humu jf. Kifupi namkubali sana. Nilikutana naye siku yoyote la IMA nimwombe tujisefie nami kusafisha na kuweka picha hiyo muhimu sebuleni kwangu.
 
Ni kweli kabisa. Mayalla anaiponda CHADEMA kwa akili ya juu sana na kumbain mpaka usome na utafakari. Kuna siku aliibua hoja kua LISSU "mbona Lissu haeleweki ni aina gan ya silaha iliomshambulia..mara aseme A.K. A 47 mara aseme mashine gun".
Member mmoja anaemjua Mayalla akasema technically Mayalla ameondoa neno Sub-machine gun (SMG) na kuweka Machine gun ambayo ni mtambo mkubwa wa silaha. Lengo likiwa ni kumtoa Lissu kwenye right wing.

So Mayalla ni mtu anaesifia sana kijani na kuwaponda upinzani technically.
Tangu amuulize magu swali la kizushi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja na mambo mengine aliwahi kuwa mtangazaji rtd enzi zile za akina rosemary mkangala na halima mchuka.
Aliwahi pia kuendesha kipindi maarufu cha tv cha kuwahoji wanasiasa kiitwacho kitimoto, kilichopelekea baa moja sinza kuitwa kitimoto bar. Hatimaye nyama iliyokuwa inauzwa katika baa hiyo ikaitwa kitimoto na kupata umaarufu nchi nzima.
Kumbe Pascal Mayalla ndio muasisi wa neno "kitimoto".
 
Pia ameshawahi kuwa MC miaka ile ya mwanzo ya miss Tanzania. Kilichomkuta anakijua mwenyewe. Kila alipokuwa akijaribu bahati yake kumfariji miss mrembo aliyeshindwa kuwa mshindi au alipojaribu kumtafuta yule aliyeshinda ili ampongeze, aliambulia patupu baada ya kuambiwa kuna kijana mmoja mtaratibu sana ameshatoa pongezi/ameshafariji.( huyo kijana kwa bahati mbaya ametutoka siku chache zilizopita)

Pascal Mayalla amejaliwa vipaji vingi sana.Ipo siku tu nitamuibukia kwenye vile vipindi vyake vya saba saba.
Kila akijaribu bahati ya mkumfariji miss aliyeshindwa anasema alikuta manyoya tu, bwana fursa ya kufungulia watu dunia alishafanya yake
 
Huyu jamaa zimo na zina-charge sana. Huwezi kumfananisha Pascal na mtu kama Bashite, never.
Huyu jamaa nilmjua ile siku JPM alipokutana na Waandishi wa Habari kwa mara ya kwanza kuelezea mafanikio yake swali lake ndilo pekee lilionekana kumtikisa JPM mpaka akapotezea kwa kumwambia jamaa kazaliwa siku ya NJAA(Mayala in Sukumaland ni njaa nyingi).

Ikumbukwe kwamba JPM, Bashite na Mayalla they're of the same Origin....!!Ingawa kuna mashaka mashaka na origin ya Mkulu...!!!
Wenyewe twawaita wananzengo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom