CV ya Pascal Mayalla

CV ya Pascal Mayalla

Kukaa nje ya nchi tu ni sawa na degree ya kwanza; hivi unaweza linganisha mtu ambae hajawahi fika hata Nairobi na huyo wa jiji la dar.. exposure mkuu.
 
Mkuu ungeongeza pia Pascal ana exposure ya kuishi nje ya nchi kama 3 years both UK n' US. Nimejazia jazia nyama hio CV. Kiufupi jamaa ni nguli kwenye tasnia ya habari.
Kwani kuishi us na uk ni cv. Kweli wajinga tz hawawezi kuisha
 
Jf tukitaka kusulubu mtu tunaomba cv!!
Haya,kiufupi Mayalla ni
Communication specialist wa hatari sana na ni bobezi katika habari haswa utangazaji
Ana degree ya sheria,amesomea uandishi Tsj
Amefanya kazi Rtd,Dtv,Ctn
Amesafiri sana na viongozi,anajua mengi ya nje na ndani
Kwa sasa ni mfanyabiashara katika mambo ya habari na matangazo akiwa na kampuni yake mwenyewe
Unasemaje mleta mada
Zamani akijificha kwa jina la bandia la Pasco,lakini tulimjua ni yeye mzee mwanzilishi wa Kitimoto ITV ,ana kuwa na maswali magumu si ajabu kipindi chake kilitwa Kitimoto na kweli kilikuwa kitimoto
 
Mimi nimesikia jina la Paskal Mayala kitambo sana, kila nimefurahi kumona mitandsoni, tvni. Kimsingi ni MTU safi kwa vipimo vyangu na kanizidi kilasekta kwa kweli. Mbishi sometime mtata, lkn Mdada kwa wengi. Namchukulia km member mwenye uelewa mkubwa Ie exposure humu jf. Kifupi namkubali sana. Nilikutana naye siku yoyote la IMA nimwombe tujisefie nami kusafisha na kuweka picha hiyo muhimu sebuleni kwangu.
 
Ndg wana JF. Wasalamu.
Hivi karibuni nimejaribu kupitia michango/thread zilizoletwa na mtajwa hapo juu.

Kwa namna ya uandishi wake na mawazo yake imenilazimu kutaka kujua Pascal Mayala ni nani hasa? Kiwango chake cha elimu? professional yake ni nini?Historia yake ya kiafya ikoje (Hasa ya kiakili)?Na kama mtanzania au la! n.k

NB: Naamini hamna mtu anaweza kuwa na fikra kubwa kama huyu jamaa. Kitendo cha kuleta mada ya mkuu wetu wa mkoa kuwa Raisi wa JMT baada ya JPM binafsi nimeona ni suala zuri ila nani kaleta mawazo hayo ndo nataka kujua profile yake.
Kuhusu historia yake kiafya , hasa afya ya akili naomba nikucheki PM au ngoja nishauriane na Mwanasheria wangu Kibatala , ili nione kama naweza kumwaga hapa moja kwa moja
 
Ndg wana JF. Wasalamu.
Hivi karibuni nimejaribu kupitia michango/thread zilizoletwa na mtajwa hapo juu.

Kwa namna ya uandishi wake na mawazo yake imenilazimu kutaka kujua Pascal Mayala ni nani hasa? Kiwango chake cha elimu? professional yake ni nini?Historia yake ya kiafya ikoje (Hasa ya kiakili)?Na kama mtanzania au la! n.k

NB: Naamini hamna mtu anaweza kuwa na fikra kubwa kama huyu jamaa. Kitendo cha kuleta mada ya mkuu wetu wa mkoa kuwa Raisi wa JMT baada ya JPM binafsi nimeona ni suala zuri ila nani kaleta mawazo hayo ndo nataka kujua profile yake.
Anza nawewe uweke yako tuone upstairs ukoje na ww?
 
Thanks mkuu. Sikutaka kujua lama zinacharge au la! Hata ivo nashukuru kumfahamu najaribu kumcheck hata youtube nione sura yake lakini wapi. Good for him lakini aache undezi
Check avatar yake utamfahamu kwa sura mkuu.
 
Back
Top Bottom