CV ya Pascal Mayalla

CV ya Pascal Mayalla

Kuna sifa moja ya Paschal Mayalla ambayo haijaandikwa humu ni kwamba kabla hajawa mtangazaji wa radio na TV alikuwa ni askari wa JWTZ (Airwing) kilichopo Majumba sita Ukonga D'Salaam ambacho kwa sasa kinaitwa Air Transport Station, na Kozi ya awali ya Uanajeshi aliifanyia Kunduchi. Mimi binafsi nilikuwa naye Kikosi kimoja wakati huo Wanajeshi walikuwa na maslahi duni sana.
 
Kwanini aliacha?

Muda ulifika?

Alifukuzwa utumishi?

Aligomea mkataba?

Unampa asilimia ngapi kua anaweza kua TISS?
 
Kuna sifa moja ya Paschal Mayalla ambayo haijaandikwa humu ni kwamba kabla hajawa mtangazaji wa radio na TV alikuwa ni askari wa JWTZ (Airwing) kilichopo Majumba sita Ukonga D'Salaam ambacho kwa sasa kinaitwa Air Transport Station, na Kozi ya awali ya Uanajeshi aliifanyia Kunduchi. Mimi binafsi nilikuwa naye Kikosi kimoja wakati huo Wanajeshi walikuwa na maslahi duni sana.
Vizuri kumfahamu
 
Duh !Kumbe naye ni miongoni?
 
Ukiachana na Elimu ya makaratasi na ya kusomea tumbo, Tunamtunuku degree za heshima humu Jf,
Ana PhD in Tactical questions, hii aliipata banda ya kumuuliza Swahili Taita wa magogoni akashindwa kujibu

Ana PhD in Future forecast and Political analysis hii alipewa baada ya kusema magufuli atakuwa Rais 1 year before uchaguzi

Ana PhD in property management hasa enzi hizo akiripoti sabasaba hajawahi report ameibiwa kitu kwa umati ule unaokuwepo au kureport ule waya wake wa mike umepata default

Mkuu elimu yake ni kubwa kuliko Wale ambao wamejaza makaratasi kichwani hata furaha hawana

Hebu mfananishe Le poropesa au le profesel lipumba na Pascal, Pascal is the best

Pascal naona amekengeuka sana siku hizi, amebaki kusifia CCM kwa umakini na kuiponda Chadema kwa usiri wanaomsoma toka zamani wataungana na mimi
 
Pamoja na mambo mengine aliwahi kuwa mtangazaji rtd enzi zile za akina rosemary mkangala na halima mchuka.
Aliwahi pia kuendesha kipindi maarufu cha tv cha kuwahoji wanasiasa kiitwacho kitimoto, kilichopelekea baa moja sinza kuitwa kitimoto bar. Hatimaye nyama iliyokuwa inauzwa katika baa hiyo ikaitwa kitimoto na kupata umaarufu nchi nzima.
Kwa hiyo yeye ndo mvumbuzi wa jina la kitoweo pendwa cha kitimoto?
 
Huyu jamaa zimo na zina-charge sana. Huwezi kumfananisha Pascal na mtu kama Bashite, never.
Huyu jamaa nilmjua ile siku JPM alipokutana na Waandishi wa Habari kwa mara ya kwanza kuelezea mafanikio yake swali lake ndilo pekee lilionekana kumtikisa JPM mpaka akapotezea kwa kumwambia jamaa kazaliwa siku ya NJAA(Mayala in Sukumaland ni njaa nyingi).

Ikumbukwe kwamba JPM, Bashite na Mayalla they're of the same Origin....!!Ingawa kuna mashaka mashaka na origin ya Mkulu...!!!
Bila shaka ni pamoja na Rev. Gwajima, nabii Tito, Dr. Shika nk.
 
Binafsi namkubali sana, hasa ukizingatia katika sekta ya habari waandishi wengi ni Empty set. Wengi walienda baada ya kufeli maeneo mengine. Huyu huwa namwona mwenye vitu vyenye maana. Wengi wa waandishi wetu huuliza maswali ya kujibu ndio au hapana, yasiyo maana au kuandika habari zisizo tija. Huyu wakati akiwa kwenye hizi shughuli moja kwa moja alijitahidi. Level nyingine.
Tatizo LA NYUZI zake humu JF hatoi ONYO.
Kwenye bia wameandika haiuzwi kwa walio chini ya 18 years na Sigara wanasema ni hatari kwa afya yako. Nyuzi zake nyingi huwa ngumu kuelewa kwa majority ndio maana povu huwa linatoka, angekuwa anatoa onyo, haifai kwa ........ Aaaaaah. Mimi namkubali. Kila Uzi wake hata kama heading haivutii nausoma tu.
 
hahaaa sasa hapo nimekuelewa ..alipaswa kutoa onyo kwa watu wenye upeo mdogo wakufikiri ..maana Hawa huwa wanasifa yakuto tambua/kuelewa jambo lolote lile ambalo linapaswa kutazamwa kwa jicho LA tatu nabahati mbaya taifa hili linawatu wachache wenye maono ya jicho la tatu ndio maana wanaompinga wamekuwa wengi kuliko wanaomuelewa ...

asante
 
Kwa sasa huyu jamaa anasimamia taaluma yake vizuri, nitaitafuta CV yake pale tu atakapoteuliwa na mkulu. Maana wengi baada ya teuzi taaluma zao hazina msaada kwa taifa. Je atakua miongoni mwao?
 
Back
Top Bottom