CV ya mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde (Kibajaji)

Status
Not open for further replies.
Siamini kama ni kweli, siamini uliyeweka cv hii kama hujatenda dhambi ya uchakachuaji, ila ukisikiliza kauli zake wanaendana. Mpaka unatoka duniani hutasaidia nchi hii isipokuwa matusi ambayo ni kinyume na matakwa ya Mungu
 
Mhhhhhhh!Kuna watu ni darasa la saba lakini wanauelewa mzuri sana wa mambo na busara yao unaweza kuwaomba hata ushauri huyu jamaa yangu kwa kukosa elimu, angalau angekuwa hata na busara lakini hata hilo hana.Amebaki kutumiwa kama robot kazi yake kuropoka bila kushughulisha ubongo.Kazi kweli kweli.

Usishangae kwani viongozi kama huyu huwa ndio ccm inawapenda saana kwani linapokuja swala la muswada au bajeti au kupitisha maazimio yoyote watu kama Lusinde hutumiwa kama daraja kwani watatoa wapi ubavu wa kupinga kwa hoja?
Sasa jiulize Lusinde apinge bajeti mbovu ya ccm wakati mwenyewe anajua kuwa anabebwa na chama inawezekana? Naunga mkono hoja kwa asilimia mia tatu (300%) huwa nadhani ni mbwembwe tu kumbe masikini hajui hata kuwa asilimia huwa mwisho ni mia moja tu (100%). Mtera hamkuitendea haki Tanzania kwa kuchagua mwakilishi kama huyu. Ndio wale wale ukimuuliza kwanini nchi yetu ni masikini atakujibu hata mimi sijui.
 
Usishangae kwani viongozi kama huyu huwa ndio ccm inawapenda saana kwani linapokuja swala la muswada au bajeti au kupitisha maazimio yoyote watu kama Lusinde hutumiwa kama daraja kwani watatoa wapi ubavu wa kupinga kwa hoja?
Sasa jiulize Lusinde apinge bajeti mbovu ya ccm wakati mwenyewe anajua kuwa anabebwa na chama inawezekana? Naunga mkono hoja kwa asilimia mia tatu (300%) huwa nadhani ni mbwembwe tu kumbe masikini hajui hata kuwa asilimia huwa mwisho ni mia moja tu (100%). Mtera hamkuitendea haki Tanzania kwa kuchagua mwakilishi kama huyu. Ndio wale wale ukimuuliza kwanini nchi yetu ni masikini atakujibu hata mimi sijui.

Umenena mkuu, mijitu kama Lusinde iko mle bora liende
 
Huyu jamaa Darasa la 7.

Ukiona hivyo ujue na wakazi wengi wa mtera jimbo lake ni darasa la 7.

Msomi jimbo la Mtera ni mzee Malecela na wanawe tu. Ilikuwaje msiniulize, ulizeni William Malecela! ha ha ha ha ha
 
Mie nadhani vyeti havina umuhimu sana.......na kusoma si lazima uende darasani kwani hata uzoefu wa maisha ni shule tosha kabisa..........kuna watu wengi tu wan ujuzi na maarifa makubwa wakati elimu ni ya chini kabisa lakini hao wenye zao ndio wanachukua ushauri kutoka kwao...................Hata hivyo ubunge ni kazi ya kisiasa haihitaji elimu kubwa sana kwani maamuzi yake mengi ni ya kisiasa...... cha msingi uwape wapigakura wanachopenda hata kama hicho kitu hakina manufaa kwao.........ukienda jimbo la wavuta bangi ukijinadi kwa sera ya kuhalalisha bangi utapata ubunge........ukienda kwa walevi ukawaambia kwamba utahalalisha gongo utapata ubunge...... hivyo naona sifa ya kusoma na kuandika ni tosha kwa mbunge......labda wangeongeza kuwa awe na uwezo wa kupiga majungu, fitna na vijembe kidogo

Kama ni hivyo kazi ya kutunga sheria na kupitia bajeti yetu wasifanye!
Haya yanahitaji wasomi wenye akili. Lakini ukipata wasomi waliokuwa wanakariri darasani kama wakini Mwigulu hapo pia bado ni tatizo kabisa.
Shida nyingine ya ccm ni kwamba wana ugomvi na watu waliosoma na kupata maarifa maana ni threat kwa position zao. Hivyo watu kama Lusinde ni size yao.... biblia inasema kipofu akimuongoza kipofu watatumbukia wote shimoni.
usishangae jinga hili linapewa hata ukuu wa wilaya!!! Hiyo ndio ccm aka sisimauaji bhana!
 
Lusinde sio mwanasiasa ni mganga njaa tu nashangaa sijui kaingiaje bungeni.


Usishangae Ritz!

Hao ndio wabunge wa chama dhaifu!!! mleta uzi tunashukuru, hebu weka na ile ya yule wa kule kwetu mara pamoja na yule wa korogwe
 
Karaha tupu! Ni lazima tuweke standards kwa ajili ya wanaotakiwa kuwa viongozi nchini. Huu ni upuuzi mkubwa. Ndio maana hatuna maendeleo. Huyu hafai hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi
 
Sina la kusema ninapoona cv kama hizi bungeni!!!

Member of Parliament CV


GENERAL
Salutation
Honourable
Member picture
1694.jpg

First Name:
Livingstone
Middle Name:
Joseph
Last Name:
Lusinde
Member Type:
Constituency Member
Constituent:
Mtera
Political Party:
CCM
Office Location:
Box 50, Dodoma
Office Phone:
+255 755 453327/+255 785 679927
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail:
llusinde@parliament.go.tz
Member Status:
Current Member
Date of Birth
4 March 1972
EDUCATION
School Name/Location
Course/Degree/Award
Start Date
End Date
Level
Mbigili Primary School
Primary Education
1980
1987
PRIMARY
CCM College Ihemi
Certificate
2007
2008
CERTIFICATE
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name
Position
From Date
To Date
The Parliament of Tanzania
Member - Mtera Constituency
2010
2015
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location
Position
From
To
Chama Cha Mapinduzi, CCM
Secretary - Tarime District
2006
2010
Chama Cha Mapinduzi, CCM
Assistant Secretary/Accountant
2006
2007
CHADEMA
Member - National Executive Board
1995
Civic United Front, CUF
Secretary - Kawe Constituency
1992
1995
Chama Cha Mapinduzi, CCM
Secretary







source:Parliament of Tanzania
Kumbe ndo maana akakimbilia CCM kutoka chama makini CDM kwani asingeweza kuendana na kasi ya CDM kielimu na kimawazo, nimeamini CCM vilaza wengi (lakairo, Maji marefu, Lusinde na wengeneo wengi ni STD 7) lo kazi tunayo WaTZ.
 
Kumbe vilaza tunao. CCM imejaza vilaza katika safu yake. Mitusi yote na tambo St. 7!!!!!! Mijadala bungeni inaenda kisomi sijui anaambua nini!! Ali-graduate Matusi katika CCM College Ihami. Twafa.
 
kama sijaona vizuri naombeni mnisahihishe... HIVI MUHESHIMIWA NA MBWEMBWE ZOTE ZILE NI DARASA LA SABA LA ZAMANI??

Acha kumpaisha bana...mwaka 1972 ndo kazaliwa..so hiyo zamani unayoiona wewe ni ipi...Huyo ni darasa la saba la kawaida..sio la zamani bana ambalo ni tofauti na la sasa...
 
Mimi naamini CV yake imechakachuliwa CV kama izi nizawaganga wa KIENYEJI na si kwa mh.mbunge wa mtera kwa tiketi ya CCM,tafadhali mwenye CV yakweli atuwekee.NDOVU BARIDIIIIIIIIIIIIIIII !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

we vipi, hiyo ndo CV yake na Matusi ni kipaji chake.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom