CV ya mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde (Kibajaji)

CV ya mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde (Kibajaji)

Status
Not open for further replies.
huyu dogo namjua vizuri sana hakumaliza darasa la saba aliishia la nne, akajitosa ndani ya jiji la Dar alifikia maeneo ya Ukonga Mazizini. Maeneo hayo kuna wagogo wengi hivyo alipofika mara moja akaingia katika shughuli za kusafisha machinjio na kukamua(kusafisha) utumbo machinjioni ambayo alikuwa na uzoefu nayo toka kwao Mvumi. Hakukaa sana mazizini akahamia maeneo ya msasani ambako pia aliendelea na shughuli hizo hizo za machinjioni. Nitaendelea!
School Name/Location
Mbigili Primary School
CCM College Ihemi

[TH="width: 27%"] Course/Degree/Award
[/TH]
[TH="width: 15%, align: center"] Start Date
[/TH]
[TH="width: 13%, align: center"] End Date
[/TH]
[TH="width: 10%, align: center"] Level
[/TH]

[TD="align: center"]Primary Education
[/TD]
[TD="align: center"]1980
[/TD]
[TD="align: center"]1987
[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY
[/TD]

[TD="align: center"]Certificate
[/TD]
[TD="align: center"]2007
[/TD]
[TD="align: center"]2008
[/TD]
[TD="align: center"]CERTIFICATE
[/TD]
Company Name
The Parliament of Tanzania
Member - Mtera Constituency

[TH="colspan: 4, align: left"] EMPLOYMENT HISTORY
[/TH]

[TH="align: center"] Position
[/TH]
[TH="align: center"] From Date
[/TH]
[TH="align: center"] To Date
[/TH]

[TD="align: center"]2010
[/TD]
[TD="align: center"]2015
[/TD]
Chama Cha Mapinduzi, CCM
Secretary - Tarime District
Chama Cha Mapinduzi, CCM
Assistant Secretary/Accountant
CHADEMA
Member - National Executive Board
Civic United Front, CUF
Secretary - Kawe Constituency
Chama Cha Mapinduzi, CCM
Secretary

[TH="colspan: 4, align: left"] POLITICAL EXPERIENCE
[/TH]

[TH="class: text_menu"]Ministry/Political Party/Location
[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 31%, align: center"]Position
[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 12%, align: center"]From
[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 10%, align: center"]To
[/TH]

[TD="align: center"]2006
[/TD]
[TD="align: center"]2010
[/TD]

[TD="align: center"]2006
[/TD]
[TD="align: center"]2007
[/TD]

[TD="align: center"]1995
[/TD]
[TD="align: center"][/TD]

[TD="align: center"]1992
[/TD]
[TD="align: center"]1995
[/TD]

[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]


speakerz.png


members.png
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Comitee-email.png

searchmp.png
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Enter your MP name or constituent
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]Search
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD="width: 75"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]

event.png

««
«
»
»»
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
8
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30

[TH="colspan: 3"]October 2012
[/TH]

[TH="class: date, bgcolor: #FFF794"]Sun
[/TH]
[TH="class: date, bgcolor: #FFF794"]Mon
[/TH]
[TH="class: date, bgcolor: #FFF794"]Tue
[/TH]
[TH="class: date, bgcolor: #FFF794"]Wed
[/TH]
[TH="class: date, bgcolor: #FFF794"]Thu
[/TH]
[TH="class: date, bgcolor: #FFF794"]Fri
[/TH]
[TH="class: date, bgcolor: #FFF794"]Sat
[/TH]

[TD="class: padding"][/TD]

[TD="class: padding"][/TD]
[TD="class: padding"][/TD]
[TD="class: padding"][/TD]
 
Huyu dogo mnayemwita Mhe. Lusinde namjua vizuri sana hakumaliza darasa la saba aliishia la nne, akajitosa ndani ya jiji la Dar alifikia maeneo ya Ukonga Mazizini. Maeneo hayo kuna wagogo wengi hivyo alipofika mara moja akaingia katika shughuli za kusafisha machinjio na kukamua(kusafisha) utumbo machinjioni ambayo alikuwa na uzoefu nayo toka kwao Mvumi. Hakukaa sana mazizini akahamia maeneo ya msasani ambako pia aliendelea na shughuli hizo hizo za machinjioni. Nitaendelea
 
Naombwa kujuzwa. Mbunge ni mwakilishi wa jimbo la uchaguzi katika bunge; je anahitajika awe na elimu kubwa au ndogo kwa kiasi gani? Kama sikosei katika jimbo husika kuna watendaji wengine kibao ambao wapo kwa ajili ya kusimamia utekelezaji wa miradi ya maendeleo.

Ukijua kusoma na kuandika tu ni sifa tosha ya kuwa mbunge (nadhani inatakiwa tubadilishe ujue kusoma, kuandika na kuzungumza vizuri lugha ya kiswahili na Kiingereza (basic) maana bungenu kiswanglish mpaka inakera, Ni kweli system inatakiwa ifanye hivyo kama unavyosema kuna wataalamu wa kusimamia maendeleo tena mbunge anatakiwa asie msemaji mkuu kwa mambo ya kitaalamu mpaka pale atakapoitisha mkutano na wananchi kisha kupata majibu kutoka kwa wataalamu na ndipo sasa anajenga hoja based on kero za wananchi na kile alichokipata kwa wataalamu. Tatizo linakuja pale wabunge wanapojifanya wao ndio kila kitu (wanaleta barabara, maji, umeme, na siku hizi mpaka minara ya simu ya makampuni binafsi wanatuambia wanaleta wakati vyote hivyo ili vipatikane ni juhudi ya watu mbalimbali kwenye system ila kutokana na mbunge kujituma amefanikisha ku-link wadau mbalimbali mpaka support ikatoka tatizo wao wanasema wameleta wao bila acknowledge efforts za watu wengine ambao alishirikiana nao na ndio maana WANANCHI WENGI TUNAAMINI KWENYE ELIMU ZAIDI NA CV ZAIDI THOUGH KUNA UKWELI HAPA MAANA KUNA MIJADALA MINGINE UKIONDOA ZA UWAKILISHI WA MATATIZO YA WANANCHI INAHITAJI UELEWA WA ZAIDI YA STD 7 HATA ZAIDI YA ELIMU YA SECONDARY UKICHANGANYA PIA WABUNGE WETU HAWAPENDI KUONEKANA VILAZA hivyo zoezi la kushirikisha wataalamu linakuwa ni gumu though kuna ambao wanajitahidi kushirikisha)
 
Huyu dogo mnayemwita Mhe. Lusinde namjua vizuri sana hakumaliza darasa la saba aliishia la nne, akajitosa ndani ya jiji la Dar alifikia maeneo ya Ukonga Mazizini. Maeneo hayo kuna wagogo wengi hivyo alipofika mara moja akaingia katika shughuli za kusafisha machinjio na kukamua(kusafisha) utumbo machinjioni ambayo alikuwa na uzoefu nayo toka kwao Mvumi. Hakukaa sana mazizini akahamia maeneo ya msasani ambako pia aliendelea na shughuli hizo hizo za machinjioni. Nitaendelea

Hadi tunakwenda mitamboni hukuendelea tena kutiririka
 
[h=2]Waliozaliwa miaka 1960s kushuka chini wamefaidi maana mtu anamaliza STD 7 anachukua Diploma tena ya mwaka mmoja wakati aliemaliza form 6 anapiga miaka 2 (sijui inatambulika na NACTE hii?), lakini tusilaumu kinachotakiwa ni kuchukua hatua kwa wale wenye shule ya kutosha wajitokeze kwa wingi kwenye siasa though kama system haikukubali huwezi kuinuka kidedea

Member of Parliament CV[/h]
SalutationHonourable
First Name: Abia
Middle Name: Nyabakari
Last Name:Muhama
Constituent: No Constituency
Political Party: CCM
Office Location: Box 4, Rukwa
Office Phone: +255 757 979727/+255 715 500770
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: amuhama@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth 6 March 1963

[TH="colspan: 3, align: left"] GENERAL [/TH]

[TD="width: 42%, align: center"] Member picture
1565.jpg
[/TD]

[TD="width: 20%"] Member Type: [/TD]
[TD="width: 38%"]Special Seat[/TD]
Nyamasovu Primary School, Manyovu - Kasulu
-
Rukwa

[TH="colspan: 5, align: left"] EDUCATION [/TH]

[TH="width: 35%"] School Name/Location [/TH]
[TH="width: 27%"] Course/Degree/Award [/TH]
[TH="width: 15%, align: center"] Start Date [/TH]
[TH="width: 13%, align: center"] End Date [/TH]
[TH="width: 10%, align: center"] Level [/TH]

[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]1971[/TD]
[TD="align: center"]1977[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]

[TD="align: center"]Nurse Assistant[/TD]
[TD="align: center"]1981[/TD]
[TD="align: center"]1982[/TD]
[TD="align: center"]DIPLOMA[/TD]

[TD="align: center"]Medicine (Clinical) Course[/TD]
[TD="align: center"]2004[/TD]
[TD="align: center"]2004[/TD]
[TD="align: center"]CERTIFICATE[/TD]
Company Name
The Parliament of TanzaniaMember - Special Seat
Private SectorEnterpreneur (Mining Assistant)
Private SectorEnterpreneur (Assistant Cooker)
Lotus Company Ltd.Sore Keeper & Sales Clerk
Private SectorEnterpreneur (Fishing & Livestock Keeping)
Maweni HospitalRural Medical Aids
Heri Mission HospitalNurse Assistant

[TH="colspan: 4, align: left"] EMPLOYMENT HISTORY [/TH]

[TH="align: center"] Position [/TH]
[TH="align: center"] From Date [/TH]
[TH="align: center"] To Date [/TH]

[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"]2015[/TD]

[TD="align: center"]2001[/TD]
[TD="align: center"]2009[/TD]

[TD="align: center"]1991[/TD]
[TD="align: center"]2007[/TD]

[TD="align: center"]1990[/TD]
[TD="align: center"]1994[/TD]

[TD="align: center"]1990[/TD]
[TD="align: center"]1996[/TD]

[TD="align: center"]1984[/TD]
[TD="align: center"]1986[/TD]

[TD="align: center"]1981[/TD]
[TD="align: center"]1982[/TD]
Chama Cha Mapinduzi, CCMMember - National General Council
Chama Cha Mapinduzi, CCMMember - UVCCM
Chama Cha Mapinduzi, CCMTen Cells Leader

[TH="colspan: 4, align: left"] POLITICAL EXPERIENCE [/TH]

[TH="class: text_menu, width: 47%"]Ministry/Political Party/Location [/TH]
[TH="class: text_menu, width: 31%, align: center"]Position [/TH]
[TH="class: text_menu, width: 12%, align: center"]From[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 10%, align: center"]To[/TH]

[TD="align: center"]2007[/TD]
[TD="align: center"][/TD]

[TD="align: center"]2007[/TD]
[TD="align: center"][/TD]

[TD="align: center"]1986[/TD]
[TD="align: center"][/TD]




speakerz.png


members.png
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]Hon.Khamis Haji Yussuf
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]
1721.jpg
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"] Nungwi Constituency[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]CUF[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]Questions(5) [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]Supplementary Questions(5)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]Contributions(30)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]All members[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Comitee-email.png

searchmp.png
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Enter your MP name or constituent[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 113"] [/TD]
[TD="width: 75"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]

event.png

«««»»»
1 2 3 4 5 6
7 8 9 10 11 12 13
14 15 16 17 18 19 20
21 22 23 24 25 26 27
28 29 30 31

[TH="colspan: 3"]October 2012[/TH]

[TH="class: date, bgcolor: #FFF794"]Sun[/TH]
[TH="class: date, bgcolor: #FFF794"]Mon[/TH]
[TH="class: date, bgcolor: #FFF794"]Tue[/TH]
[TH="class: date, bgcolor: #FFF794"]Wed[/TH]
[TH="class: date, bgcolor: #FFF794"]Thu[/TH]
[TH="class: date, bgcolor: #FFF794"]Fri[/TH]
[TH="class: date, bgcolor: #FFF794"]Sat[/TH]

[TD="class: padding"] [/TD]

[TD="class: padding"] [/TD]
[TD="class: padding"] [/TD]
[TD="class: padding"] [/TD]
 
School Name/Location
Mbigili Primary School
CCM College Ihemi

[TH="width: 27%"] Course/Degree/Award [/TH]
[TH="width: 15%, align: center"] Start Date [/TH]
[TH="width: 13%, align: center"] End Date [/TH]
[TH="width: 10%, align: center"] Level [/TH]

[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"] 1980
[/TD]
[TD="align: center"] 1987 [/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]

[TD="align: center"]Certificate[/TD]
[TD="align: center"]2007
[/TD]
[TD="align: center"]2008[/TD]
[TD="align: center"]CERTIFICATE[/TD]
Company Name
The Parliament of TanzaniaMember - Mtera Constituency

[TH="colspan: 4, align: left"] EMPLOYMENT HISTORY [/TH]

[TH="align: center"] Position [/TH]
[TH="align: center"] From Date [/TH]
[TH="align: center"] To Date [/TH]

[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"]2015[/TD]
Chama Cha Mapinduzi, CCMSecretary - Tarime District
Chama Cha Mapinduzi, CCMAssistant Secretary/Accountant
CHADEMAMember - National Executive Board
Civic United Front, CUFSecretary - Kawe Constituency
Chama Cha Mapinduzi, CCMSecretary

[TH="colspan: 4, align: left"] POLITICAL EXPERIENCE [/TH]

[TH="class: text_menu"]Ministry/Political Party/Location[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 31%, align: center"]Position[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 12%, align: center"]From[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 10%, align: center"]To[/TH]

[TD="align: center"]2006[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]

[TD="align: center"]2006[/TD]
[TD="align: center"]2007[/TD]

[TD="align: center"]1995[/TD]
[TD="align: center"][/TD]

[TD="align: center"]1992[/TD]
[TD="align: center"]1995[/TD]

[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]


speakerz.png


members.png
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Comitee-email.png

searchmp.png
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Enter your MP name or constituent[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]Search[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD="width: 75"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]

event.png

«««»»»
1 2 3 4 5 6
7 8 9 10 11 12 13
14 15 16 17 8 19 20
21 22 23 24 25 26 27
28 29 30

[TH="colspan: 3"]October 2012[/TH]

[TH="class: date, bgcolor: #fff794"]Sun[/TH]
[TH="class: date, bgcolor: #fff794"]Mon[/TH]
[TH="class: date, bgcolor: #fff794"]Tue[/TH]
[TH="class: date, bgcolor: #fff794"]Wed[/TH]
[TH="class: date, bgcolor: #fff794"]Thu[/TH]
[TH="class: date, bgcolor: #fff794"]Fri[/TH]
[TH="class: date, bgcolor: #fff794"]Sat[/TH]

[TD="class: padding"][/TD]

[TD="class: padding"][/TD]
[TD="class: padding"][/TD]
[TD="class: padding"][/TD]

Shule ya Msingi inaitwa Mbigiri na Sio Mbigili..,alafu alisoma Mpaka Darasa la Sita..,Hakumaliza mpaka la Saba..,details zipo..mi naifahamu shule hiyo ipo Mkoa wa Morogoro..,Wilaya ya Kilosa, kata ya Magole..,kijiji cha Mbigiri..,mwende mkaulize......
and Kwenye RED....
Elimu ya Msingi ni Miaka 8..,au alikuwa kilaza akarudia darasa...
 
Naomba nianze iv, Education in its general sense is a form of learning in which knowledge, skills, and habits of a group of people are transferred from one generation to the next through teaching, training, research, or simply through autodidacticism.Generally, it occurs through any experience that has a formative effect on the way one thinks, feels, or acts.
Mmi binafsi sio muhumuni sana wa kile kinachoakuwa kimeandkwa kwenye CV most esp abt schools and academic perfomance ..i ussually try to gauge the work perfomance and deliverance of the learned discpline to bring a positive impact to the society in general.lakin kama ukirudia defn hapo juu elimu ina imapact kubwa sana katika uwezi wa mtu kufikir na kujenga hoja katka mambo muhimu ya jamiii katka nyanja zote, hasa zaid kwa viongoz coz uwa wankutana na changamoto mbalmbal katka shughul zao kimaendeleo hasa ktk karne hii ya ICT...Vilevile uwezo wa elimu utasaidia sana katka kuhamasisha na kutetea hoja ya kila kinacholetwa mbele za jamii.isije kuwa wimbo ambao tumeshaozea katka tawala zetu za sasa kwamba WATAALAMU WANGU WAMENISHAUR VIBAYA...Ivyo kiongoz kilaza ni obvious atapokei ushaur mbovu kwa sababu awez ku-challeng wataalam wake.Nawasilisha




Naombwa kujuzwa. Mbunge ni mwakilishi wa jimbo la uchaguzi katika bunge; je anahitajika awe na elimu kubwa au ndogo kwa kiasi gani? Kama sikosei katika jimbo husika kuna watendaji wengine kibao ambao wapo kwa ajili ya kusimamia utekelezaji wa miradi ya maendeleo.
 
Huenda ikawa ni 'genius'. Hata Bill Gates hakumaliza masomo (Havard University) kwa sababu aliona wanamchelewesha. Angalia mambo anayofanya sasa hivi. Tumsubiru huyu 'genius' Lusinde, tutaona mengi makubwa.
 
Naam, Lusinde aliwahi kuwa Chadema kabla ya kurudi CCM na kupewa ukatibu wa CCM wilaya ya Tarime na kurudi kumng'oa aliyempa hicho cheo Mzee/Dr John Samuel Malecela. Ni kweli pia aliishia darasa la sita. Ila kwa kuongea ana PhD.
 
ndo maana ashazoea matusi kumbe alipitia hadi machinjioni.Aibu tupu!
 
Hakika, kimantiki hana cheti cha shule. Haiwezekani uanze masomo (std 1) 1980 umalize 1987 (std 7). Pia hicho cha kutoka CCM College ni kwa fani zipi?
 
Si shangai kwani ukilinganisha michango yake bungeni au kwenye kampeni za chaguzi mbalimbali, nilikuwa napata shida sana na elimu yake.hata kama aliye wepa hii cv yake amekosea lakini kwenye hili la elimu sina mashaka nalo
 
Angalieni asije akawaporomoshea matusi hii njemba haina simile.
 
Huyu dogo mnayemwita Mhe. Lusinde namjua vizuri sana hakumaliza darasa la saba aliishia la nne, akajitosa ndani ya jiji la Dar alifikia maeneo ya Ukonga Mazizini. Maeneo hayo kuna wagogo wengi hivyo alipofika mara moja akaingia katika shughuli za kusafisha machinjio na kukamua(kusafisha) utumbo machinjioni ambayo alikuwa na uzoefu nayo toka kwao Mvumi. Hakukaa sana mazizini akahamia maeneo ya msasani ambako pia aliendelea na shughuli hizo hizo za machinjioni. Nitaendelea

Uko sahihi mkuu, ila kwenye elimu umemuongezea madarasa, ukweli ni kwamba aliacha shule akiwa darasa la nne.hapa tatizo siyo elimu yake tatizo ni kudanganya Watanzania kwamba kafika std 7. Inatisha sana kwa muwakilishi wetu ktk chombo nyeti cha kutunga sheria kisha yeye anakuwa wakwanza kuvunja sheria kwa kughushi cheti.
 
Uko sahihi mkuu, ila kwenye elimu umemuongezea madarasa, ukweli ni kwamba aliacha shule akiwa darasa la nne.hapa tatizo siyo elimu yake tatizo ni kudanganya Watanzania kwamba kafika std 7. Inatisha sana kwa muwakilishi wetu ktk chombo nyeti cha kutunga sheria kisha yeye anakuwa wakwanza kuvunja sheria kwa kughushi cheti.

Huyu ambae anagushi mpaka cheti cha darasa la saba ni KIBOKO anatakiwa aingie kwenye maajabu ya dunia maana cheti cha STD 7 ukihudhuria tu shule miaka saba hata kama hujaelewa unakipata (ni sawa na vile vyetu vyetu vya semina "certificate of attendance")
 
Kumbe ni msomi namna hiyo?..Elimu ya msingi ni kubwa sana ila mtu akiishia katika elimu hiyo anakuwa amejipunja ufahamu wa mambo muhimu sana..kwa mfano uwezo wa kuwaongoza watu wake, n.k (ingawa sio wote)

Halafu hiyo elimu ya msingi kasoma MIAKA 8! Kweli CCM inaongoza kwa wasomi wa kila kada.
 
Ndiyo maana jamaa ni kilaza sana, kweli kama ni uamsho basi wale jamaa wa Zenji wangepelekwa dodoma kuwatoa matongotongo wagogo.
 
Haki ya nani! Ndio maana kuongozwa na ccm ni kuzidi kudidimia kifikra na kimaendeleo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom