ni Mwanafalsafa hata akienda chuo chochote atakuwa idara ya phyilosophy kwa sababu ya dharau ulizozaliwa nazo haya huwezi kutambua amekuambia mengi kwenye waraka wake hapo juu, anaweza pia kufundisha sociologia,bila wasiwasi,hata speach writters,na oratory ,vyote ni fani zakekwa hiyo slaa ukiacha elimu ya dini ni mtaalam wa nini?
Nyerere alikua kilaza ndiyo maana akaweka misingi?Huwezi kujenga taifa kubwa bila kutumia akili kubwa.Marais wengi waliochangia kuijenga America ni smart,walioijenga Roma ni Smart,Pharaoh walikua smart kule Egypty.Mzee we are talking about transformation here!
Tukiachia mbumbu waongoze transformation tutaandaa taifa la ovyo.Adolf Hitler na Mawenge yake lakini bado alikua smart leader aliyeandaa kuiinua tena Germany bada ya kuzama kwenye tope hatari la vita ya kwanza ya Dunia.Mkataba wa Vetsailess ulikua kitanzi kibaya kwa Germany...
Niambie ni taifa gani ambalo limejengwa bila kuwa na Smart people likasimama na kuwa na Misingi imara?
Heeh,Hilo siwezi kukubishia.Tangu lini mganga wa kienyeji akabishiwa?
On a seriou note,
Kumbe kuzunguka koote ulikua unakuja huku?I had to trap you na umekuja.
Tumetoka kujadili Elimu yake sasa tumeanza kujadili kama atakua Rais ama La?ni lini tutaacha mijadala ya aina hii.Let's grow up.
Huyu alie kaa darasani ma kuandika thesis na huyu wa kutunukiwa ni yupi anafaa kuwa rais?? Kuwa wazi fastjet au real Dr?? Cm ni chama cha zamani.Aiseee, kweli hata mimi sikujua kuwa Dr. Slaa ni Msomi wa hali ya juu kiasi hiki kweli masuala ya Uraia na Dini.
Weakness.
It is absolutely very wrong to select polictics as your career...!!! pole sana mzee.
I don't think this is true, labda hapa Africa. Kwa nchi za wenzetu, education and good brain matter a lot. Kwa mfano, USA, Clinton alikuwa professor wa University, Condeliza Rice the same na sasa Obama just to mention a few. UK, the same strory. Hapa tunaona watu wajinga ndio wakutuongoza. By the way nilikuwa Italy mwaka jana na kubahatika kwenda pale Urbaniana University just for curiosity to see what is there. Nilikutana na prof. mmoja mzee na alipogundua mimi ni M-TZ akaniuliza, unamjua Dr. Slaa, nikamwambia ndio. Akaniulizia na watu wengine baadhi nimewasikia pia. Akaniambia, Slaa was one of our best students. Nilipojaribu kudadisi, nikagundua huyu bwana alitoka pale na distinction. Anyway, tuendelee kujenga nchi as I am not a politician.Ben Saa8, I can assure you politics does not need smart people of that level... fanya utafiti utaona! Wa2 wazuri wanafanyiwa Zengwe.....
kilaza kwako ni smart kwa mwingine na smart kwako ni kilaza kwa mwingine, Intellectuals believe 'nothing is good or bad but your Feeling make it so!'
Wale watakuambia wana maprofesa wa kufuga majini.Umaarufu wao unatosha.
Vijana wengi ambao shule zao zinatia mashaka ili kupiga kazi ni lazima wajisalimishe CCM.Huoni kuna wale walioacha kufundisha wanatumika majukwaani kama mtambo maalumu wa kumwaga matusi?Knowledge wanayo-impart ni matusi!
wewe zero kabisa. Nimekuuliza nini maana ya falsafa wewe unakuja na habari za theology. what a shame. yaaani hujui hata unachoongea.
elimu ya mtu haitetewi kwa thread wala haihitaji wachangiaji wengi kuifafanua, tembelea wasifu wa elimu wa mwesiga baregu, shivji, mwandosya, kimei dau, kigoda, mkumbo,mwakyembe, lipumba,dkt magufuli,tibaijuka na prof Palamagamba uone kama utahitaji matusi na kufungua thread ili ieleweke, elimu ya kanisani au misikitini sio hitajio la Ikulu!
Ungekua na busara hii (sijui umeikariri wapi) usingeandika post zote hizo.Unafiki mbaya sana.Mbona watu mnajichanganya hivi?
Goodnight @All!
Pole nime relaxed hapa mzee unajua muda ambao napumzika ndio wakufanya haya ninayofanya sasa... pole mkuu najua nimekamata ajira yako hapo... anyway one simple thing nakupenda ndio maana nakueleza ukweli na pia napenda pia kumwambia mzee wa watu ukweli.
I don't think this is true, labda hapa Africa. Kwa nchi za wenzetu, education and good brain matter a lot. Kwa mfano, USA, Clinton alikuwa professor wa University, Condeliza Rice the same na sasa Obama just to mention a few. UK, the same strory. Hapa tunaona watu wajinga ndio wakutuongoza. By the way nilikuwa Italy mwaka jana na kubahatika kwenda pale Urbaniana University just for curiosity to see what is there. Nilikutana na prof. mmoja mzee na alipogundua mimi ni M-TZ akaniuliza, unamjua Dr. Slaa, nikamwambia ndio. Akaniulizia na watu wengine baadhi nimewasikia pia. Akaniambia, Slaa was one of our best students. Nilipojaribu kudadisi, nikagundua huyu bwana alitoka pale na distinction. Anyway, tuendelee kujenga nchi as I am not a politician.
SLAAA! NAONA UPOO! umetiririka na divinity hadi dakika ya mwisho! kazi kwelikweli............duh! nimecheka sana! hujasoma chochote hapo mzee.
sumu ni Mbaya kuliko unafki!
huyu babu akalee wajukuu hizi zama za vijana
Umekamata ajira yangu? Yaani hizo adrenalin ulizomwaga hapo zinaweza kweli kuniletea madhara makubwa kiasi hicho?Hofu iliyokutawala itathibitishwa,time will tell.Relax
What is your point Madam ?