CV ya Dr Slaa From Certificate to PhD

CV ya Dr Slaa From Certificate to PhD

Status
Not open for further replies.
Mwl. Julius K. Nyerere alisoma 'Certificate' ya ualimu pale Makerere (hadi anaaga dunia Mwl. hakuwahi kuwa na BA), baadaye alielekea Edinburg na kuibuka na MA ya kwanza kwa WaTZ (Ingawa hatuelezwi mtu wa kwanza kupata MSc ni nani). Nini cha ajabu kwa Dr. Slaa kupata PhD bila LLB wala LLM? Kuruka shule ni dalili za kuwa kipanga!

Umenichekesha sana kwa kale kamsemo kako kwamba kuruka shule ni dalili za kuwa kipanga.
Nimekumbuka kale katoto kangu kalivyokuwa kiwembe. Kametoka la kwanza kakarukia la tatu. Kametoka la tano kakaingia form one na kakapata 10 bora kwenda vipaji maalum sekondari na form four kakapiga daraja la kwanza pointi 6. Sasa kako six mwakani. Chezea toto yangu weee!
 
Umenichekesha sana kwa kale kamsemo kako kwamba kuruka shule ni dalili za kuwa kipanga.
Nimekumbuka kale katoto kangu kalivyokuwa kiwembe. Kametoka la kwanza kakarukia la tatu. Kametoka la tano kakaingia form one na kakapata 10 bora kwenda vipaji maalum sekondari na form four kakapiga daraja la kwanza pointi 6. Sasa kako six mwakani. Chezea toto yangu weee!

Sasa je, hawa watu wapo! Dogo atapiga PhD bila Masters, endelea kumwezesha. Dr. Slaa ni wa kupongezwa kwa uwezo mkubwa kitaaluma.
 
CV yangu wewe ya nini kwani mimi mwanasiasa au nimekuambia nataka kugombea nafasi yeyote ya uongozi.

Mtu yeyote akiamua kutaka kuwaongoza wananchi lazima watu wahoji elimu yake.

CV ya Dr Slaa imekaa kidini zaidi hata mwenyewe amekiri.


Hivi ni mgombea wa chama gani yule aliyekimbia mdaharo uchaguzi uliopita?
Ni mgombea gani anayeandiliwa maswali na majibu anapokutana na waandishi wa habari?

This is very boring.
 
hapa dr slaa alivyokuwa mbunge hana ba wala ma lakini ana phd

member of parliament cv

salutationhonourable
first name: dr. Wilbrod
middle name:peter
last name:slaa
constituent:karatu
political party:chadema
office location:p.o. Box 119, karatu - arusha
office phone: +255 784 666995
ext.:
office fax: +255 22 2668866
office e-mail: wslaa@parliament.go.tz
member status: current member
date of birth 29 october 1948

[th="colspan: 3, align: Left"] general [/th]

[td="align: Center"] member picture
1253.jpg
[/td]

[td="width: 20%"] member type: [/td]
[td="width: 38%"]constituency member[/td]
school name/location course/degree/award
st. Thomas aquinas university
transworld tutorial college, london
kwermusl primary school(mbulu)
daudi primary school
karatu primary school
dung'unyi seminary school
itaga seminary school
kibosho seminary school
st. Urban university, rome
kipalapala seminary
international eye h. Centre

[th="colspan: 5, align: Left"] education [/th]

[th="align: Center"] start date [/th]
[th="width: 13%, align: Center"] end date [/th]
[th="width: 10%, align: Center"] level [/th]

[td="align: Center"]advanced diploma in rural development[/td]
[td="align: Center"]1980[/td]
[td="align: Center"]1981[/td]
[td="align: Center"]adv diploma[/td]

[td="align: Center"]certificate in management[/td]
[td="align: Center"]1985[/td]
[td="align: Center"]1985[/td]
[td="align: Center"]certificate[/td]

[td="align: Center"]primary education[/td]
[td="align: Center"]1958[/td]
[td="align: Center"]1960[/td]
[td="align: Center"]primary[/td]

[td="align: Center"]primary education[/td]
[td="align: Center"]1961[/td]
[td="align: Center"]1961[/td]
[td="align: Center"]primary[/td]

[td="align: Center"]primary education[/td]
[td="align: Center"]1962[/td]
[td="align: Center"]1965[/td]
[td="align: Center"]primary[/td]

[td="align: Center"]o-level education[/td]
[td="align: Center"]1966[/td]
[td="align: Center"]1969[/td]
[td="align: Center"]secondary[/td]

[td="align: Center"]a-level education[/td]
[td="align: Center"]1970[/td]
[td="align: Center"]1971[/td]
[td="align: Center"]high school[/td]

[td="align: Center"]certificate in philosophy[/td]
[td="align: Center"]1972[/td]
[td="align: Center"]1973[/td]
[td="align: Center"]certificate[/td]

[td="align: Center"]phd (jcd) law[/td]
[td="align: Center"]1977[/td]
[td="align: Center"]1981[/td]
[td="align: Center"] phd [/td]

[td="align: Center"]certificate in theology[/td]
[td="align: Center"]1974[/td]
[td="align: Center"]1977[/td]
[td="align: Center"]certificate[/td]

[td="align: Center"]certificate in eye health[/td]
[td="align: Center"]1993[/td]
[td="align: Center"]1993[/td]
[td="align: Center"]certificate[/td]
employment history

jf daima...😛eace:
===================
majibu ya dr. W. Slaa
===================

wenye cv za kuruka hivi wapo wengi sanaa kwenye vyuo vikuuu. Kiufupi ni kwamba mfumo waliopitia ni tofauti na huu wa shule za kata hadi university of dodoma. Pili katika vio vikuu kulikuwa na mahitaji makubwa sanaa ya walimu so ilikuwa ukiwa undergraduate ukifaulu vizuri walikuwa wanakurusha ukasome master kwanza hata kama uko second year.. Nakubaliana na wengine hii ni moja ya indicator kuwa jamaa kichwani ni mbaya
 
Hii kitaa tunaiita NDAZA! ie UZI ULISHAWAI KUWA DISCUSSED KITAMBO
Kuna mambo mazito ya kudiscuss sasa jamani kama RASIMU YA KATIBA TO MENTION BUT A FEW
 
huyu jamaa anaye itwa dr slaa kweli nikilaza yaani ana rudia mara nne shule ya msingi.yaani anafeli mwaka unaofuata anarudia shule.pila roman kumsomesha baasi hadi leo angelikua muuza mkaa yaani aliindia kwenye upandre ili aweze kusomeshwa.romani wakijua wamepata mtawa akawaacha njia panda sasa leo ndio hivyo tena kila mke wa mtu yeye ni wakwake poleni CMD

aitha mliberali au chi*zi, jaribu kusoma hata kitabu cha Philosophy cha Mwanahewa wa Makerere Uganda ujue ugumu wa hizo units!
 
msomi wa dini, sawa na wale masheikh waliosoma theology lakini wakadharauliwa humu kwa sababu wamesomea theology ya dini nyengine. Elimu ni elimu tu, hata wale masheh utakuta wana degree kutoka sudan, Egypt nk tatizo linakuja hivi usome theology law hata ya phd level halafu uwe expert wa economy au siasa ni kitandawili..
 
]Last Name:[/B][/TD]
[TD]Slaa[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 20%"]Member Type:[/TD]
[TD="width: 38%"]Constituency Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Constituent:[/TD]
[TD]Karatu[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Political Party:[/TD]
[TD]CHADEMA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Location:[/TD]
[TD]P.O. Box 119, Karatu - Arusha[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Phone: [/TD]
[TD]+255 784 666995[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ext.: [/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Fax: [/TD]
[TD]+255 22 2668866[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office E-mail: [/TD]
[TD]wslaa@parliament.go.tz[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Member Status: [/TD]
[TD]Current Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Date of Birth [/TD]
[TD]29 October 1948[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
School Name/Location Course/Degree/Award
St. Thomas Aquinas University

[TH="colspan: 5, align: left"] EDUCATION [/TH]

[TH="width: 15%, align: center"] Start Date [/TH]
[TH="width: 13%, align: center"] End Date [/TH]
[TH="width: 10%, align: center"] Level [/TH]

[TD="align: center"]Advanced Diploma in Rural Development[/TD]
[TD="align: center"]1980[/TD]
[TD="align: center"]1]
[TD="align: center"]1985[/TD]
Nachoweza kuamini kwa huyo mzee ni elimu ya upadri tu tena nayo hakuifanya vizuri ndio maana alifukuzwa hiyo phd kaunga unga kujipatia heshima kisiasa na kijamii
 
Tatizo si PhD lkn kaipataj? unaposema wakiso Rome wanaunganisha kweli inawezekana ljn kila anapo maliza kozi ambayo ni equivalent na bachelor ni lazina azawadiwe cheti kinachothibitisha hilo,pia kozi zenye hadhi ya masters pia hutolewa chati kinacho tambulisha kozi hiyo na akipata PhD pia hupewa certificate. hata huku kwetu kuna mtu anaanza chekechea ktk shule fulani hadi chuo kikuu lkn hutunikiwa cheti kila anapomaliza hatua fulani ya mafunzo.mfano yupo dogo kasoma chekechea chuo cha Ekenfird Tanga na sasa anasoma digrii lkn anavyeti vyote anavyo kwanini wasingempa cheti kimoja tu. Iweke huru akili yako.

Ulimuomba vyeti akakuambia hana....?
 
Acheni kuzunguka Dr Slaa PhD yake ni ya magumashi na katika secular education ya tz haijulikani kabisa. Duu huyu Dr wa kuungaunga na angekuwa toka CCM duu ungesikia mengi sana humu JF lakini sababu ni kwasababu ni kipenzi cha Chamdomo basi misifa kibao. Jifunzeni kuwa wakweli maneno mengi ya kuungaunga lakini ati equivalent, what is equivalent? Haya amesoma adv ati equivalent, katika elimu hakuna kitu km hicho dunia mzima inajua Hilo? Umesoma certificate utabakia kuwa na certificate na sio dipl, degree na masters pia. Yeye ni msomi wa Advanced Diploma tu na sio vinginevyo. PhD Hana na sote tumejua Hilo. Duu mkuki kwa CCM tu kwa Chamdomo mchungu
 
akili yako ukisoma philosophy hutoamini tena kukuta bikira mbinguni wanakusubiri ili uchakachue!

Alimkana Yehova na kanisa lake kisa warembo....duu Babu noma sana. Angalia Picha katika CV yk na umwangalie sasa duu kachoka sana na anaumia sana akimwona JK maana sasa kwa sura yk atakuwa na miaka 78 hivi km sijapunguza. Babu kachoka sana sasa nilimwona Dom du mawazo ya kuwa Rais yanamuumiza sana na hivi haiwezi basi shida kweli.
 
Duu umeuungaunga sana elimu yk Babu. Pole sana Kimberly una adv dipl
 
Acheni kuzunguka Dr Slaa PhD yake ni ya magumashi na katika secular education ya tz haijulikani kabisa. Duu huyu Dr wa kuungaunga na angekuwa toka CCM duu ungesikia mengi sana humu JF lakini sababu ni kwasababu ni kipenzi cha Chamdomo basi misifa kibao. Jifunzeni kuwa wakweli maneno mengi ya kuungaunga lakini ati equivalent, what is equivalent? Haya amesoma adv ati equivalent, katika elimu hakuna kitu km hicho dunia mzima inajua Hilo? Umesoma certificate utabakia kuwa na certificate na sio dipl, degree na masters pia. Yeye ni msomi wa Advanced Diploma tu na sio vinginevyo. PhD Hana na sote tumejua Hilo. Duu mkuki kwa CCM tu kwa Chamdomo mchungu

Mwigulu Chemba bana! Kwa hiyo kanisa katoliki ni magumashi? Unakosoa mfumo wa kanisa! By the way you are just an imbecile to this country
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom