CV ya Dr Slaa From Certificate to PhD

CV ya Dr Slaa From Certificate to PhD

Status
Not open for further replies.
mtoa maada anaonesha alivyo kilaza! ushaelekezwamala nyingii jinsi unavyoweza kupata phd huelewi, angalia cv ya prof mwandosya kama alisoma hiyo masters yako! ukiona hali kamahiyo ujue alikuwa extra geneous!
 
Asante kwa ufafanuzi.

Tatizo si PhD lkn kaipataj? unaposema wakiso Rome wanaunganisha kweli inawezekana ljn kila anapo maliza kozi ambayo ni equivalent na bachelor ni lazina azawadiwe cheti kinachothibitisha hilo,pia kozi zenye hadhi ya masters pia hutolewa chati kinacho tambulisha kozi hiyo na akipata PhD pia hupewa certificate. hata huku kwetu kuna mtu anaanza chekechea ktk shule fulani hadi chuo kikuu lkn hutunikiwa cheti kila anapomaliza hatua fulani ya mafunzo.mfano yupo dogo kasoma chekechea chuo cha Ekenfird Tanga na sasa anasoma digrii lkn anavyeti vyote anavyo kwanini wasingempa cheti kimoja tu. Iweke huru akili yako.
 
MBONA KASOMA CERTIFICATE MIAKA MITATU NA KAMALIZA FORM SIX ??? Hilo hamjaliona ??
 
Swala la elimu yako umesema ni ya kidini mimi sina la kusema,kwasababu unajibu naomba hutujibu haya,kwanini ukuzaa wakati upo PADRE??? pia unasalisa alafu unaenda kuvunja AMRI YA SITA na mwanakwaya wako na mupata watoto 2 ??? na sasa umemchukua mke wa mtu alikuwa PS wako umemzalisa,ni matusi kusema umepata malezi mazuri,kwa mtu kama wewe uliosomea mambo ya kiroho na kupewa kazi za kinamibii,pia unaonenakana huna subira na una jazba,naanza kuamini wewe ni DIKTETA.
 
Dr.W.Slaa Ndahani,
Ni haki Yao kujadili. Msiwapuuze wala kuwakatisha tamaa kujadili. Inawezekana kweli wapo ambao kwa nia njema hawajui mfumo wa Elimu wa Kanisa Katoliki ambao tok a Seminary Ndogo ( Form 1-V1) nimepitia Dungunyi Seminary and Itaga Seminary of which am very proud na ninatoa shukrani za dhati kabisa kwa waalimu wangu wote si tu kwa kunipa elimu bora, Bali pia kwa kunipa misingi imara ya malezi( formation) kwani elimu bora ni zaidi ya vyeti.

Dr Slaa,

Shukran kwa post yako. Shukran pia kwa ku improve tremendously katika uandishi wako japo bado kuna kasoro nyingi za speling na usanifu wa kiswahili, nevertheless walau sasa nakusoma kwa rahisi kuliko kabla ya hapo.

Back to the topic, umeandika mengi sana, na blah blah nyingi za kuwa unajua lugha nyingi kujaribu ku justify elimu yako tata. Mimi swali langu lipo hapo juu kwenye bolded red, hii so called "msingi imara wa malezi" ni pamoja na kuzaa nje ya ndoa ukiwa Padri, kupora mke wa mtu (kesi ipo mahakamani) kutelekeza malezi ya watoto na "mkeo" wa awali Rose Kamili (kesi ipo mahakamani).

Naomba ufafanuzi wa haya tafadhali
 
Baadaye utupatie ILE ya mzee wa KAYA bila kusahau DEGREE CATEGORY yake ya UDSM please MLIBERALI.....!
 
Mungi,Kwani Dr Slaa, BA, MA, kasoma University gani?
usiwe unaleta mada bila utafiti wewe kichwa panzi, kwanza nakudokeza tu moja nyingine ufuatilie mtu ukisoma falsafa ni equivalent na advanced Diploma na ukisoma theology ni sawa na bachelor degree!!usionyesha ujinga wako onyesha busara!hiyo ni kwa mfumo wa elimu wa kanisa katoliki!
 
Last edited by a moderator:
Dr Slaa,

Shukran kwa post yako. Shukran pia kwa ku improve tremendously katika uandishi wako japo bado kuna kasoro nyingi za speling na usanifu wa kiswahili, nevertheless walau sasa nakusoma kwa rahisi kuliko kabla ya hapo.

Back to the topic, umeandika mengi sana, na blah blah nyingi za kuwa unajua lugha nyingi kujaribu ku justify elimu yako tata. Mimi swali langu lipo hapo juu kwenye bolded red, hii so called "msingi imara wa malezi" ni pamoja na kuzaa nje ya ndoa ukiwa Padri, kupora mke wa mtu (kesi ipo mahakamani) kutelekeza malezi ya watoto na "mkeo" wa awali Rose Kamili (kesi ipo mahakamani).

Naomba ufafanuzi wa haya tafadhali

Dr msamehe tuu hawa ni vijana wanaotegemea malipo kutoka Lumumba kuchafua watu, kama sio kuheshimu sheria za J/F kutajana majina ningemuweka wazi hapa na uchafu wake wote,..unavojichanganya alizaa nje ya ndoa akiwa padre? sasa kama alikuwa padre alizaa nje ya ndoa ipi au alikuwa padre na huku akiwa na ndoa? halafu unasema ametelekeza familia na kesi ipo mahakamani sasa mahakama ime rule out kwamba ana kosa? au wewe ndio hakimu wa hiyo kesi??Dr aliwahi kueleza taratibu za kuacha upadre zilivo na kibali kinatoka Roma mahakama juzi ili rule out kuwa Josephine(first lady in wait) sio mke wa mtu alikuwa ameshapewa talaka kabla ya kuolewa sasa unamuita je mke wa mtu? hivi vipesa mnapewa vitumie vizuri sana maana 2015 haipo mbali mtalia na kusaga meno!!
 
Hakuna haja ya kutokwa na povu hii thread ni mpya JF kuna members wapya wanaitaji mijadala kama wewe ulijadili siku nyingi kaa pembeni waachie members wapya hii ndio maana ya forums...halafu nikukumbushe acha kulia lia JF sio mali ya Chadema.

tuwekee na CV ya kilaza wako(BABA RIZ)

FROM................................TO GENTLEMAN.
 
Nilikuwa sitaki kuamini kwamba kuna watu wanalipwa Jf lakini kwa hili Ritz umenifumbua macho,thread imekaa kimipasho sana hii mkuu,yaani baada ya watu kufumua cv ya Vicky isiyokuwa na kichwa wala miguu kwa akili yako ndogo umeileta hii while this has been extensively discussed in here,you should feel shame of yourself ritz.fedha kweli mwanaharamu

Ni akili kudiscuss ya Vicky lakini si akili kudiscuss ya silaha, ona mapenzi jinsi yanavyokupofusha
 
Dr msamehe tuu hawa ni vijana wanaotegemea malipo kutoka Lumumba kuchafua watu, kama sio kuheshimu sheria za J/F kutajana majina ningemuweka wazi hapa na uchafu wake wote,..unavojichanganya alizaa nje ya ndoa akiwa padre? sasa kama alikuwa padre alizaa nje ya ndoa ipi au alikuwa padre na huku akiwa na ndoa? halafu unasema ametelekeza familia na kesi ipo mahakamani sasa mahakama ime rule out kwamba ana kosa? au wewe ndio hakimu wa hiyo kesi??Dr aliwahi kueleza taratibu za kuacha upadre zilivo na kibali kinatoka Roma mahakama juzi ili rule out kuwa Josephine(first lady in wait) sio mke wa mtu alikuwa ameshapewa talaka kabla ya kuolewa sasa unamuita je mke wa mtu? hivi vipesa mnapewa vitumie vizuri sana maana 2015 haipo mbali mtalia na kusaga meno!!

Mkuu mbona povu jingi? muache Dr ajibu hoja. Kwa kuwa ww unalipwa unadhani kila mtu ana bei?
 
Hakuna haja ya kutokwa na povu hii thread ni mpya JF kuna members wapya wanaitaji mijadala kama wewe ulijadili siku nyingi kaa pembeni waachie members wapya hii ndio maana ya forums...halafu nikukumbushe acha kulia lia JF sio mali ya Chadema.

Watu wanasema akili kumkichwa asa ww Ritzmoko akili uliiacha huko Lugoba wewe ukaja dar?cv yenyewe imepitwa na wakati kichizi ni kweli dr Slaa ni MP?Hebu ukija na thread tafuta wenye kushughulisha wakusaidie kuipitia kwanza kama inakidhi vgezo vya kupandishwa JF!!

/
 
Ni akili kudiscuss ya Vicky lakini si akili kudiscuss ya silaha, ona mapenzi jinsi yanavyokupofusha

Duh kweli akili za matope zimewajaa hawa jamaa.asa hapa ndo unataka kutuambia nini kuna tija gani kujadili cv ya mtu hasa ikizingatiwa ni mojawapo ya Cv zilotulia?kwanini tusijadili ya mashoga zenu huko CCM walioiba taaluma ,majina na elimu za watu?shame upon your face.Unatumia masaburi kufikiri serukamba.Anza kujadili ya dr feki Nchimbi,Miguu machemba,kiguuangala,injinia feki siitela matomato na pia utajiri wa kijambazi wa familia ya kifalme ya RIZIMOKO na BABAYE ingawaje sina hakika kama ni mwanae/babae kweli
 
Hakuna haja ya kutokwa na povu hii thread ni mpya JF kuna members wapya wanaitaji mijadala kama wewe ulijadili siku nyingi kaa pembeni waachie members wapya hii ndio maana ya forums...halafu nikukumbushe acha kulia lia JF sio mali ya Chadema.

Watu wanasema akili kumkichwa asa ww Ritzmoko akili uliiacha huko Lugoba wewe ukaja dar?cv yenyewe imepitwa na wakati kichizi ni kweli dr Slaa ni MP?Hebu ukija na thread tafuta wenye kushughulisha wakusaidie kuipitia kwanza kama inakidhi vgezo vya kupandishwa JF!!

/
 
Wakulima mbona mnakuwa wakali anapojadiliwa Slaa, mnaacha mada mnakwenda kwenye emotions, hapa inawekwa wazi kuhusu ukilza wa Slaa mwenye decoration ya Dr. sasa pimeni maneno yake ya ovyo na uwezo wake kifalsafa, siku mukimpa umbele kuongoza nchi yenu itakayofufuliwa leo (Tanganyika) basi mjiandae na gharaka (nguvu za mother nature) maana uwezo wa kufikiri wa huyu jamaa sawa kichwa cha mwenda wazimu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom