CV ya Dr Slaa From Certificate to PhD

CV ya Dr Slaa From Certificate to PhD

Status
Not open for further replies.
Duh kweli akili za matope zimewajaa hawa jamaa.asa hapa ndo unataka kutuambia nini kuna tija gani kujadili cv ya mtu hasa ikizingatiwa ni mojawapo ya Cv zilotulia?kwanini tusijadili ya mashoga zenu huko CCM walioiba taaluma ,majina na elimu za watu?shame upon your face.Unatumia masaburi kufikiri serukamba.Anza kujadili ya dr feki Nchimbi,Miguu machemba,kiguuangala,injinia feki siitela matomato na pia utajiri wa kijambazi wa familia ya kifalme ya RIZIMOKO na BABAYE ingawaje sina hakika kama ni mwanae/babae kweli

wewe itakua mwizi wa simu
 
wewe itakua mwizi wa simu

Kuna ubaya gani mi kuwa na fani hiyo ilhali kwenu na lichama lenu ndo dili?Kwani sifa kubwa ya chama chenu kinachoongozwa na familia ya kifalme sifa kuu NI WIZI.UBINAFSI UASHERATI,UJANGILI?
 
Mkuu mbona povu jingi? muache Dr ajibu hoja. Kwa kuwa ww unalipwa unadhani kila mtu ana bei?

ungetaka Dr pekee ajibu ungempigia simu au mwandikie mail ukiliweka hapa ni barazani maana yake ni open discussion!!
 
Hapo umenena.Naamini hakuna vilaza kwenye MASDRASA NA VIPEDO AFRIKA YOTE ILA UARABUNI TUU!

Nani kakwambia? Afrika yote vilaza tuu, bora hata Uarabuni nao Vilaza lkn wametuacha mbali sana, angalau wana cha kuuonyesha Ulimwengu, sisi tuna nini? Au kuandika na kuongea kiingereza labda, kitu ambacho sio ishu kila mtu anaweza kama akiamua kujifunza!
 
Kanisa katoliki kwenye seminari huwa hakuna kilaza!

Hilo wanalijua na wanapaswa kilijua na watalijua.
kinachowaponza hao jamaa kushindwa kufikiri ni ukauzu toka elimu madrasat(madrasa).
si kosa lao ni mafundisho toka kwa shehe ubwabwa a.k.a ilonga/ponda.

Hapo hakuna shule bali ni ugaidi tu usitegemee fikra wala upeo mpana wa kudadavua mambo bali ni ubwege na ubaguzi ndo misingi mikubwa wanayorithishana vizazi kwa vizazi.

mnaotumia muda wenu kuelimisha hao jamaa bongo lala mnayo kazi ya kufanya.
They are all imbecile.
 
Hakuna haja ya kutokwa na povu hii thread ni mpya JF kuna members wapya wanaitaji mijadala kama wewe ulijadili siku nyingi kaa pembeni waachie members wapya hii ndio maana ya forums...halafu nikukumbushe acha kulia lia JF sio mali ya Chadema.

Najaribu kufanya reasoning kidogo tuu. Huyu tunajua alikuwa padre wa kanisa catholic na ni moja kati ya makinasa yenye shule nzuri sana na reputaion kumbwa kwa kuwa na viongozi wa kanisa walioenda shule. Padre ana degree ya kwanza. Na huyu mbwana ulisoma katika mfumo huo huo mpaka akapata pHD. Sasa utuambie hicho chuo hakipo na hiyo phd waliyotoa haitambuliki. CV si cheti cha mtuu ni muhstasari wa shule, vyeti, mafunzo na uzoefu alionao mtu. So si ajabu kama CV ikiwa na habari pungufu.
 
ungetaka Dr pekee ajibu ungempigia simu au mwandikie mail ukiliweka hapa ni barazani maana yake ni open discussion!!

Kwa kujua hilo ndio maana nikam quote yeye, nina mashaka na elimu yako Bavicha wewe
 
Kwa kujua hilo ndio maana nikam quote yeye, nina mashaka na elimu yako Bavicha wewe

mimi ni professor wa matatizo ya ubongo ndio maana nimekubaini una matatizo ya ubongo,.hujui nini maana ya jamii forrums, ukishaweka mada hapa ni public kila mtu anaweza kuchangia kama issue ni private tafuta private means za kuwasiliana na mhusika!
 
Hapa Dr Slaa alivyokuwa mbunge hana BA wala MA lakini ana PhD

Member of Parliament CV

SalutationHonourable
First Name: Dr. Wilbrod
Middle Name:Peter
Last Name:Slaa
Constituent:Karatu
Political Party:CHADEMA
Office Location:P.O. Box 119, Karatu - Arusha
Office Phone: +255 784 666995
Ext.:
Office Fax: +255 22 2668866
Office E-mail: wslaa@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth 29 October 1948

[TH="colspan: 3, align: left"] GENERAL [/TH]

[TD="align: center"] Member picture
1253.jpg
[/TD]

[TD="width: 20%"] Member Type: [/TD]
[TD="width: 38%"]Constituency Member[/TD]
School Name/Location
St. Thomas Aquinas University
TransWorld Tutorial College, London
Kwermusl Primary School(Mbulu)
Daudi Primary School
Karatu Primary School
Dung'unyi Seminary School
Itaga Seminary School
Kibosho Seminary School
St. Urban University, Rome
Kipalapala Seminary
International Eye H. Centre

[TH="colspan: 5, align: left"] EDUCATION [/TH]

[TH="width: 27%"] Course/Degree/Award [/TH]
[TH="width: 15%, align: center"] Start Date [/TH]
[TH="width: 13%, align: center"] End Date [/TH]
[TH="width: 10%, align: center"] Level [/TH]

[TD="align: center"]Advanced Diploma in Rural Development[/TD]
[TD="align: center"]1980[/TD]
[TD="align: center"]1981[/TD]
[TD="align: center"]ADV DIPLOMA[/TD]

[TD="align: center"]Certificate in Management[/TD]
[TD="align: center"]1985[/TD]
[TD="align: center"]1985[/TD]
[TD="align: center"]CERTIFICATE[/TD]

[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]1958[/TD]
[TD="align: center"]1960[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]

[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]1961[/TD]
[TD="align: center"]1961[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]

[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]1962[/TD]
[TD="align: center"]1965[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]

[TD="align: center"]O-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1966[/TD]
[TD="align: center"]1969[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY[/TD]

[TD="align: center"]A-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1970[/TD]
[TD="align: center"]1971[/TD]
[TD="align: center"]HIGH SCHOOL[/TD]

[TD="align: center"]Certificate in Philosophy[/TD]
[TD="align: center"]1972[/TD]
[TD="align: center"]1973[/TD]
[TD="align: center"]CERTIFICATE[/TD]

[TD="align: center"]PhD (JCD) Law[/TD]
[TD="align: center"]1977[/TD]
[TD="align: center"]1981[/TD]
[TD="align: center"] PHD [/TD]

[TD="align: center"]Certificate in Theology[/TD]
[TD="align: center"]1974[/TD]
[TD="align: center"]1977[/TD]
[TD="align: center"]CERTIFICATE[/TD]

[TD="align: center"]Certificate in Eye Health[/TD]
[TD="align: center"]1993[/TD]
[TD="align: center"]1993[/TD]
[TD="align: center"]CERTIFICATE[/TD]
EMPLOYMENT HISTORY

JF Daima...😛eace:
huyu jamaa anaye itwa dr slaa kweli nikilaza yaani ana rudia mara nne shule ya msingi.yaani anafeli mwaka unaofuata anarudia shule.pila roman kumsomesha baasi hadi leo angelikua muuza mkaa yaani aliindia kwenye upandre ili aweze kusomeshwa.romani wakijua wamepata mtawa akawaacha njia panda sasa leo ndio hivyo tena kila mke wa mtu yeye ni wakwake poleni CMD
 
PhD ya Dr Slaa anaweza kufanya kazi wizara ya fedha au mpaka mambo ya Kanisa tu.
 
Dah.kumbe hajawahi kusoma ktk vyuo vya kisekula? kama ni kweli hatufai ktk jamii,nadhani kuna mahali panamfaa zaid.c serikarini.
 
Akili yako ndogo sana. Tupatie hizo zenu za kina Nchimbi, Kamala na JK....... huna adabu
 
kutoka wikipedia:

Doctor of Philosophy, abbreviated as Ph.D., PhD, D.Phil., is in many countries a postgraduate academic degree awarded by universities. The academic level known as a Doctorate of philosophy varies considerably according to the country, institution, and time period, from entry-level research degrees to higher doctorates. A person who attains a doctorate of philosophy may often be referred to as a doctor.

The detailed requirements for award of a Ph.D. degree vary throughout the world and even from school to school. It is usually required for the student to hold an Honours degree or a Master's Degree with high academic standing, in order to be considered for a PhD programme. In some schools in the US, Canada and Denmark, for example, many universities require coursework in addition to research for Ph.D. degrees. In other countries (such as the UK) there is generally no such condition. Some individual universities or departments specify additional requirements for students not already in possession of abachelor's degree or equivalent or higher.
A candidate must submit a project or thesis or dissertation often consisting of a body of original academic research, which is in principle worthy of publication in a peer-reviewed context.[SUP][11][/SUP] In many countries a candidate must defend this work before a panel of expert examiners appointed by the university; in other countries, the dissertation is examined by a panel of expert examiners who stipulate whether the dissertation is in principle passable and the issues that need to be addressed before the dissertation can be passed.

kwa mantinki hiyo requirements za kupata PHD zinavary from school to school, institutution to institution, college to college, country to country.hivyo msishangae kutoka certificates mbili katika philosophy na theology mpaka phd. requirements za kuchukua phd zinavary from country to country and from college to college.

after all PHD sio big deal its just an award.
what matters ni namna unavyotumia maarifa na elimu uliyoipata chuoni kuleta mabadiliko na maendeleo katika jamii.
No wonder matajiri na mabilionea wengi hawakucomplete ata degree zao,the likes of bill gates, steve jobs, mark zuckerburg
watanzania tubadilike tuache ushabiki..
elimu si sifa.
dhumuni la elimu ni kuondoa ujinga na kuongeza maarifa

 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom