CV ya Dr. Francis

CV ya Dr. Francis

Dip (Ed) Marangu
BA (Ed) udsm
PGD (Law) udsm
MBA (Umea-sweden)
Phd (udsm)

Huyu jamaa alichokifanya jana ni kama mtoto mdogo kabisa, anafurahia ujinga, ni bogus kabisa na hafai. Binafsi nilimdharau sana toka hiyo jana, kwa style hii TZ tuna safari ndefu sana...!!
 
Amekidhalilisha chuo chake mana ssasa nna mashaka na degree za udsm ! Kama lectuar mwenyewe huyo ?
 
Siasa za vyuo vikuu vinatawala bunge la katiba, reference za lisu alikuwa anamtolea nani, katiba ni mchakato wa kisiasa atoe hoja ambazo wananchi watazielewa. Unatoa reference za kufa mtu wanaokuelewa ni humu jf tu. Mwisho wa siku unapotea kabisa kwenye siasa kwa vile wananchi wanakuwaga hawa kuelewi. Katiba sio ya ma dk maprofesa hiyo ni ya kina maganga, kina mbwiga kina chunda. Wananchi wanaposikiliza mijadala now wanafikiri labda katiba inayojadiliwa ni ya nchi nyingine.

Wasomi msituchanganye, nyie ni mahodari wa kutoa dosari tu hamuwezi ku deliver chochote. Waacheni kina Kificho watufanyie kazi.
 
Dip (Ed) Marangu
BA (Ed) udsm
PGD (Law) udsm
MBA (Umea-sweden)
Phd (udsm)

kabla sijamwaga mtama naomba mniambie kaongea nini. Nilipitwa sikumsikia, japo kwa kuwamegea huyu jamaa sina imani naye.
 
Ungejua kuwa kutofautiana mawazo hakulindi "irresponsibility"..mawazo yasiyo na kuwajibika ni destructive na si huru ....Uhuru na wajibu ni kitu kimoja kisichotenganishwa....bila wajibu haupo huru...uispowajibika uhuru unakuwa na mipaka.This fool is neither responsible nor free.....hayupo responsible ndio maana hana uhuru..anatumika...kwa vile hajui wajibu wala kuwajibika.

Nicholas wewe ni balaa, unatoa hoja zinazotakiwa. Nafurahi sana majibu yako.
 
This fool is neither responsible nor free.....hayupo responsible ndio maana hana uhuru..anatumika...kwa vile hajui wajibu wala kuwajibika.....by Nicholas
 
Huyu jamaa ni mkongo, jina lake ni Kasavubu. Kuna wanafunzi wengi sana amefanya nao ngono ili waweze kufaulu. Mkihitaji uthibitisho tutaubandika hapa hapa jukwaani

Ulete tu mkuu tuna hasira nae
 
Dip (Ed) Marangu
BA (Ed) udsm
PGD (Law) udsm
MBA (Umea-sweden)
Phd (udsm)
Tupe Deliverables zake hapa si mi-vyeti kibao! sisi si wa BK kule gulioni Katerero ... hizo knowledge n skills zimeisaidia vipi taifa hili?...
 
Heshima yake inajulikana duniani kote! Ni upotoshaji mkubwa na unafanywa na magamba.
 
This fool is neither responsible nor free.....hayupo responsible ndio maana hana uhuru..anatumika...kwa vile hajui wajibu wala kuwajibika.....by Nicholas

- wHO IS A FOOL HERE MKUU MAANA NAONA KAMAM KUNA MTU ANAJISEMA MWENYEWE KUWA NI A FOOL, SIAMINI dR. fRANSIC NA cv LOTE HILO ANAWEZA KUWA A FOOL UNLAESS MTU ANAKUWA A FOOL KWA KUSEMA ANATAKA sERIKALI 2, ANGALIENI MSIPIGE WATU BUNGENI HUKO KAMA MLIVYOMFANYA MWENYEKITI WA CHDEMA ARUSHA, MKAPIGA MBELE YA MKE NA WATOTO WAKE KISA ETI ANAULIZA MAHESABU YA CHAMA, CHONDE CHONDE MSITULETEE HAYO HUKO BUNGENI!!

lE mUTUZ sYSTEM
 
Heshima yake inajulikana duniani kote! Ni upotoshaji mkubwa na unafanywa na magamba.

- Chadema nzima na UKAWA hakuna msomi kama Dr. Fransic, I mean hivi kweli Lipumba anaweza kusimama mbele ya wasomi akasema yeye ni msomi kwa kumshauri uchumi Rais Mwinyi? Dr. Slaa ana PhD ya nini eti? Sasa kuacha hao nani msomi huko Chadema/Ukawa? Wote wamekimbia umande leo mna hata ubavu wa kuuliza CV ya Dr. Fransic? Please!! Eti huko UKAWa nani ni msomi?

- Hebu wekeni CV yaKE HAPA TU9ONE!!

lE mUTUZ sYSTEM
 
Back
Top Bottom