CV ya Dr. Francis

CV ya Dr. Francis

Ni kweli Mkuu anaitwa Kasavubu,sikuwa najua kwa nini alikuwa hatumii hili jina,leo umenifungua akili aisee.

si anaogopa kwa vile sio Mtanzania ndo mana alikuwa anawapendezeshaje bungeni kajizalilisha sana na taaluma yake
 
mwakyembe ameaibisha sana
Si vema kuendelea kumlaumu Dr Mwakyembe, ni vema sasa kumwombea, maana yeye ni mgonjwa.Dawa alizowekewa bungeni Dodoma na Chenge, ajali mbaya kabisa aliyoipata Ihemi-Iringa iliyoandaliwa na wadau wa RICHMOND,sumu aliyowekewa ofisini mpaka akaenda kutibiwa India na uchawi aliofanyiwa kule NAMTUMBO,vimeharibu kabisa kichwa chake,huyu sio Dr Mwakyembe yule aliyewasilisha riport ya bunge ya RICHMOND,huyu ubongo wake umeharibiwa,haifai kumlaumu,kinachotakiwa ni kumwombea.Lakini huyu Dr Francis lazima ana tatizo,anashindwa kutofautisha kati ya shirikisho na mkataba? lazima kuna kitu,ama kapokea rushwa,au naye alipata ajali iliyoharibu kabisa ubongo wake au Elimu yake ni ya kugushi,maana nasikia siku hizi kuna thesis za kununua,milioni kumi unapata PHD.Hakika anakidharirisha chuo bora kabisa Afrika mashariki na kati.
 
Huyu Dr.wa pombe pale UDASA hana jipya ....ametoa aibu sana leo , ni aibu kubwa kwa tabaka la wanazuoni......wanafunzi wake yafaa wakakataa kusikiliza lecture zake .....arejeshwe kwao Congo huyu KASAVUBU.......
 
Nicholas Mtake radhi mzee wangu huyu, kanifundisha UDSM Mwaka wa Kwanza na Alikuwa Vizuri kwelikweli.
Sasa uzuri umeishia wapi?wewe ulikuwa naive..kuchaguliwa chuo..chuo ulichokuwa ukikisia ktk vyombo vya habari km tulivyokuwa tukiwasikia simba na yanga ktk RTD enzi zile..na majina ya wachezaji kukuzwa sana..ukiwakuta hao wachezaji unaweza ogopa kabisa ila ukiwaangalia ktk mechi ndio utajiuliza mengi.sasa hivi hajabadilika ila ni wewe akili imepanuka kiasi cha kuona mambo tofauti kwa akili yako.Utawaona wazuri kwa story za nje ya mada..na misamiati kidogo wanayoweza kupatia na kaumbe kadogo ka conspiracy theory moja hivi..lazima uende ukijisia umekutana na kichwa....ktk shule yangu ...nimekuwa nikisikia story za wakubwa zangu kwa vitu ambavyo ni nouma..na jinsi walivyo vichwa..ila nilipovifikia sikuamini km wale jamaa walikuwa serious..na hata mimi wadogo zangu waliniona mimi ni nouma ingawa sikuwatisha..ila baadae walifanya zaidi yangu....
 
Last edited by a moderator:
Ni zaidi ya hatari,wakati aliwaambia hajawai kushika namba mbili darasani.

Labda kama alikuwa anasoma na vilaza wenzake watupu maana haiwezekani mtu ambaye alikuwa hashiki namba mbili akawa na elimu ya kuungaunga kama yake,bila shaka kichwa chake ni kizito sana.
 
Mwalimu, sababu ya kuandika yote haya ni ipi hasa?.... Hivi ulitegemea mawazo/michango ya wajumbe wote (walio wengi na wachache) ingelingana?.... Katika Dunia hii tunayoiita ya Demokrasia si vibaya tukaheshimu mawazo ya wale wanaotofautiana nasi.... Ina maana Dk. Francis angeunga mkono maoni ya 'walio wachache' mapungufu haya ungeyaweka???.....
Ungejua kuwa kutofautiana mawazo hakulindi "irresponsibility"..mawazo yasiyo na kuwajibika ni destructive na si huru ....Uhuru na wajibu ni kitu kimoja kisichotenganishwa....bila wajibu haupo huru...uispowajibika uhuru unakuwa na mipaka.This fool is neither responsible nor free.....hayupo responsible ndio maana hana uhuru..anatumika...kwa vile hajui wajibu wala kuwajibika.
 
Acha masihara chifu! Unataka kusema PhD ya UDSM na UCLA utazilinganisha kwa vigezo ulivyovisema?!?
haha..niliishiwa nguvu....alichoandika...ukitaka jua watanzania ni wajinga..sikiliza midahalo yao inavyobadilika kila mara definition fulani inapopata umaarufu..pale mpuuzi mmoja asiyejua ila mwenye ushawishi au aliyewahiskia wapuuzi akilazimisha na kuwatisha wengine kunyamaza..Siku inayofuata ndio inakuwa definition yao ktk kujidai wanajua mambo.PHP ni kazi binafsi ..ndio ila inapimwaje kuwa kufikia viwango....?
 
Si vema kuendelea kumlaumu Dr Mwakyembe, ni vema sasa kumwombea, maana yeye ni mgonjwa.Dawa alizowekewa bungeni Dodoma na Chenge, ajali mbaya kabisa aliyoipata Ihemi-Iringa iliyoandaliwa na wadau wa RICHMOND,sumu aliyowekewa ofisini mpaka akaenda kutibiwa India na uchawi aliofanyiwa kule NAMTUMBO,vimeharibu kabisa kichwa chake,huyu sio Dr Mwakyembe yule aliyewasilisha riport ya bunge ya RICHMOND,huyu ubongo wake umeharibiwa,haifai kumlaumu,kinachotakiwa ni kumwombea.Lakini huyu Dr Francis lazima ana tatizo,anashindwa kutofautisha kati ya shirikisho na mkataba? lazima kuna kitu,ama kapokea rushwa,au naye alipata ajali iliyoharibu kabisa ubongo wake au Elimu yake ni ya kugushi,maana nasikia siku hizi kuna thesis za kununua,milioni kumi unapata PHD.Hakika anakidharirisha chuo bora kabisa Afrika mashariki na kati.

Mwakyembe nilikuwa namuona ni mtu anayejitambua lakin SASA NIMEMDHARAU,huwezi ruka mawazo yako namna ile kama huna kiwango kikubwa cha unafiki,shame on you Mwakyembe.
 
Hawa academician wa vyuo vya bongo hawafai popote..wakienda mahakamani wanachemsha sheria, wakienda viwandani hawawezi buni kitu km wahandisi, wakienda kufanya auditing ni bure kabisa..wenzao wa MIT ,Havard ktk bishara ni mabilionea, ktk tehcnologia ni wagunduzi, ktk uchumi ndio wanaodefeine uchumi wa dunia..hawa wapuuzi wanuanga unga notice ..za kiuchumi za kijamaa,kibepari etc mradi tuu wameandika paper general yenye harufu nzuri ila haitekelezeki.....ktk mdini si umemsikia mwingine..sasa wanaface reality..si walikuwa waki dic watu..sasa nao ktk maisha watu halisi watu wana wakamata.....kima hawa
 
Zito atawasilisha lini ya kwake,naona kaandaa ya kibinafi na kubandika fb
Hizi ice cream ni za watu wazima..si umemsikia Kigwangala..sijui chuki binafsi,sijui nawakilisha kisomi, sijui nini na nini...sita kamchezea km doly..kila akimpa option kijana anatama kuapiga majungu tuu, kijana anatamani kulalamika tuu as if ktk report ahkuweka andika majungu yake ili asome haraka
 
Mkuu Chonde Chonde usimweke Horoub Othman kwenye hili kundi tafadhali sana Haroub alikuwa anajitambua sana sio kama hawa mapimbi
Haha..hukubahatika mjua huyu jamaa vyema ukiwa na akili ya uchambuzi.....nilimfuatilia siku nyingi sana enzi na enzi.......na miaka km 15 baadae nikapata muda wa kuongea naye mara nyingi bila yeye kujua kuwa nahakikisha tafsiri yangu kwakwe..na hata mwaka aliofariki nilikuwa nimeongea naye...alikuwa mbabaishaji km wengine tuu..na mshabiki mkubwa wa conspiracy theories.Kila kitu kwakwe ni conspiracy theorem...Political Science ni fani rahisi na iliyokuwa genralized sana ,na biased ktk conclusions
 
Jamani bila unafiki hatuishi ni kweli? Dr. Harrison Mwakyembe nae kupingana na thesis yake au alidesa nini?
 
Haha..hukubahatika mjua huyu jamaa vyema ukiwa na akili ya uchambuzi.....nilimfuatilia siku nyingi sana enzi na enzi.......na miaka km 15 baadae nikapata muda wa kuongea naye mara nyingi bila yeye kujua kuwa nahakikisha tafsiri yangu kwakwe..na hata mwaka aliofariki nilikuwa nimeongea naye...alikuwa mbabaishaji km wengine tuu..na mshabiki mkubwa wa conspiracy theories.Kila kitu kwakwe ni conspiracy theorem...Political Science ni fani rahisi na iliyokuwa genralized sana ,na biased ktk conclusions
Haroub Othman (Mungu amrehemu), Harrison Mwakyembe - SHERIA. Francis Michael - ELIMU NA BIASHARA. Siyo Political Science
 
Back
Top Bottom