Current THREADS za Mh. Regia Mtema... A Guide Thread

Thanks Love for this useful thread...definately I am in the bandwagon of those wishing to have everthing in one place. Good that you can apply your orgazational skills not only at home but also here.

RIP Regia
 
Kifo ni kifo, sikubaliani nae na pia sikubaliani na itikadi za kisiasa za chadema, lakini kama binaadam mwenzangu namkubali. Malumbano yetu ya kisiasa yasifikie kunyimana hata Juisi.
FF katika post zako zote nilizowahi kuzisoma, ni mbili tu zina akili, hii ni mojawapo na ni ya pili.
 
AshaDii,

Kazi nzuri sana uliyofanya unastahiki pongezi.

Hii mbona hujaiweka? https://www.jamiiforums.com/mahusia...mwanamme-ndoa-yangu-ingalikuwa-mashakani.html



Faiza thanks for the acknowledgements.... Niliiona hio thread, Nikaona kama vile sababu imemugusia mtu mmoja tu in relation na Marehem kama vile niiache tu, kama nilizo acha nyingi za kufanana na hizo. Hata hivo nashukuru umeiweka katika hii post for tayari iko accessible kwa atae pita. Take note hata zile ambazo ziko recommended na Kibunango, sikuweka zoote I selected a few.
 
Sasa ashadii, niliona karibu wachangiaji wote ma-premium na mimi nikatamani kuwa premium na kujiondokea zangu. Lakini pia nilitaka kukutabasamisha maana naona msiba umekutia simanzi sana.


Nimefarijika saana Crucifix.... Kumbe ulinisoma na ndio ililkua nia yako? Thanks....

(Ukitaka U-Premium membership na u are serious PM me); Pamoja Saana.
 
Thanks Love for this useful thread...definately I am in the bandwagon of those wishing to have everthing in one place. Good that you can apply your orgazational skills not only at home but also here.

RIP Regia


I am always proud when you acknowledge what you consider the positive side of me.... Thanks Sweetie...
 
Tunashukuru kwa kuturahisishia! Mwenyezi Mungu na azipokee sala zetu kwa mpendwa wetu.......R.I.P dada Regia!
 


Hakika nakuambia na kukuhakikishia wewe ni mwanamke wa pekee kua na uwezo kua na fikra kali za namna hii. Kutujali na kutufikiria watu ambao hutufahamu namna hii dada Ashadii unastahili pongezi, nakupenda bure! tena bure kabisa. pole na msiba huu. R.I.P. mh. mbunge Regia.
 
asante mkuu kwa hilo leo ndo narudia lt yangu tangu niache kuzama hapa jf tarehe 12/1 saa sita mchana baada ya kuona tu thread ya ''regina is no more'' na sijaisoma na sijawasha laptop mpaka leo sikuwa na ujasiri kuamini kilichotokea dada yangu mpendwa reg pumzika kwa amani tunahakikisha tunashinda 2015 kama zawadi kwako piiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiipleeezzzz poooooooooooooower
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…