zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,193
- 39,665
Mkuu shida ya hizi takwimu zinaangalia documents tu sio uhalisia mfano kagame akikuona tishio na akakuundia kesi maadam ulifikishwa mahakamani na ukahumukumiwa kwa kesi ya kubumba wao wanahesabu ni uhuru wa mahakama. Ila akikufunga bila mashitaka ndio watapiga keleleMbona tunoana ripoti za Transparency Int. kuwa Rwanda ni nchi ambayo inaongoza kwa kutokuwa na matumizi mbaya ya madaraka (corruption) ikiwa imezizidi nchi zote za Afrika Mashariki na Kati hadi baadhi ya nchi za Ulaya?
Hii inamaanisha nini? Inawezekana kiongozi mkuu akawa corrupt (ana abuse power) halafu huko kwingine kukawa vizuri?
Diane rwigara, kizito mihigo, kakere na nyamwasa ni wahutu?? Btw hii video ni ya mtutsi pia ssa kivp ombi lako ni wahutu wanyooshwe ila PK ananyoosha watutsi??Niliona documentary moja kule AP ya Interahamwe baada ya kuua ikachukua mifupa ya mmoja ya waliouwawa na ikawa inatumia kupikia chakula yaani mifupa inatumika kama kuni,baada ya hapo nikasema Kagame nyoosha hao mbwa piga mbaya kabisa maana mbwa akikuzoea atakufuata mpaka msikitini.
Diane rwigara, kizito mihigo, kakere na nyamwasa ni wahutu?? Btw hii video ni ya mtutsi pia ssa kivp ombi lako ni wahutu wanyooshwe ila PK ananyoosha watutsi??
Tusaidie hapo
Hahahahha propaganda zenu zishafeli, yaani mpaka watutsi wenzenu mnaita interehamwe!!Ingabire hanyooshwi?Ni mtusi?
Rwigara,kizito,Nyamwasa,Karegeya kama wanajifanya kutoa kolabo kwa interahamwe unadhani jamaa afanye nini sasa?
Anyooshe sana hao Kenge wote.
Tatizo hawana umoja Kama jadi ya waafrikaWanyarwanda wanajitahidi sana kupigania destiny yao: yako makubwa yamayofanywa na makundi, unafikiri Nyamwasa et al wamelala?, unajua kilichomtoa roho col. Karegeya?, tusiwabeze
Hapa umenena ukweli, watutsi walimtengenezea Kagame misingi ya kutawala nchi kwa kuchinja kila aliyetofauti naye nao aliwachinja, waliosalia wamejua na wanajutia makosa yao sasa wamekubali kuungana na wahutu: huenda watafanikiwaHahahahha propaganda zenu zishafeli, yaani mpaka watutsi wenzenu mnaita interehamwe!!
Tambua kwamba wapinzani wakuu kisiasa kwa kagame ni watutsi wenzie na sio wahutu so ukiona hivyo ujue hta wenzake wamemchoka ila ni suala la muda tu haohao watutsi watasema SASA INATOSHA!!
Hahahahha propaganda zenu zishafeli, yaani mpaka watutsi wenzenu mnaita interehamwe!!
Tambua kwamba wapinzani wakuu kisiasa kwa kagame ni watutsi wenzie na sio wahutu so ukiona hivyo ujue hta wenzake wamemchoka ila ni suala la muda tu haohao watutsi watasema SASA INATOSHA!!
Hapa umenena ukweli, watutsi walimtengenezea Kagame misingi ya kutawala nchi kwa kuchinja kila aliyetofauti naye nao aliwachinja, waliosalia wamejua na wanajutia makosa yao sasa wamekubali kuungana na wahutu: huenda watafanikiwa
Wanyarwanda wanajitahidi sana kupigania destiny yao: yako makubwa yamayofanywa na makundi, unafikiri Nyamwasa et al wamelala?, unajua kilichomtoa roho col. Karegeya?, tusiwabeze
Wewe ni Mtutsi mwooooooooooopooongo. Kwa ulichoandika hapo juu huyu jamaa yuko sahihi mna roho mbaya sana nyie watu.Niliona documentary moja kule AP ya Interahamwe baada ya kuua ikachukua mifupa ya mmoja ya waliouwawa na ikawa inatumia kupikia chakula yaani mifupa inatumika kama kuni,baada ya hapo nikasema Kagame nyoosha hao mbwa piga mbaya kabisa maana mbwa akikuzoea atakufuata mpaka msikitini.
Halafu tukifika kule tuhamishe wanawake tu wote tuwalete huku Bongoland. Wakirudi baada ya miaka miwili ukabila kwisha.Tumuombe jiwe apeleke vikosi Rwanda tukamfundishe adabu kagame
Hii ndio superb familyWhat is the future of Rwanda when Kagame expires
Jr[emoji769]
Hahahahaaa.....Halafu tukifika kule tuhamishe wanawake tu wote tuwalete huku Bongoland. Wakirudi baada ya miaka miwili ukabila kwisha.