Wazenji wana Tabia za Uchoyo sana yaani chao ni chao Ardhi ya Wazenji ni ya wazenji tu lakini Ardhi ya watanganyika ni Ardhi ya wote Tambueni Kuwa wapemba wengi sana wanamiliki Ardhi huku Tanganyika na hawapati Vikwazo wakati wa kununua viwanja mashamba nk Lakini Mtu wa Bara akitaka kumiliki Ardhi Zenji inakuwa issue ! Watu wa Bara wanabaguliwa Zenji eti wamewabatiza majina wanawaita Vichogo au Chogo yaani Utazani wao wamesahau Kuwa pale walipelekwa Enzi ya Utumwa asili Yao ni huku huku Bara kwa kweli Wazenji wana Vituko sana Siku muungano Ukiwa marehemu watawakumbuka sana watanganyika Maana Mkoloni Mwarabu wanayetaka kumrejesha hataki vuvuzela atawanyoosha hadi wanyooke
Kimsingi ndugu zetu Watanganyika hapo hamupaswi kuwalaumu Wazanzibar, hili ni zao la msingi wa Muungano wetu, Zanzibar ipo, katiba take ipo na Wazanzibar wana hakki ya kuilinda na kuitetea popote walipo! Lakin pia Ardhi sio suala la Muungno kiuhalisia, ndio maana bado Zanzibar katiba yao huwapa fursa Wazanzibar kumiliki ardhi na katiba hiyo husimamiwa na SMZ, hovyi hapo Wazanzibar bado wapo kweny mstari sawiya!
Kwa upande wa Tanganyika kwa vile wamejivisha vazi la Muungano, ardhi ni mali ya Watanzania wote kwa vile katiba inamtambua raia kama Mtanzania, hivyo ndugu zetu musilalame wala musiwe na gere Al muhimu itafuteni Tanganyika yenu ije iwasimamie ardhi yenu sio kuleta maneno ya chuki na fitina kwa Wazanzibar walio Tanganyika, lolote mufanyalo kwao sio suluhisho la kudumu!
Kisiwa kidogo wabunge mawaziri utitiri yaani ni wengi sana huku wengine wakipata posho huku na huku Dodoma wapo na zenji wapo pesa ya kubembeleza muungano ni nyingi inatumika pasipo kero kumalizika Wabunge wa bara hawanusi baraza la wakilishi lakini wabunge wa zenji Dodoma kama kawa Watu million 1.5 wanawapelejesha watu million 45 kama nyumbu kwa kweli huu Muungano Tanganyika amechunwa sana hadi ngozi inakaribia Nyama ya utumbo
Bara hakuna cuf wala chadema wote wamekula maji ya kijani.....
hapo mimi naona gaidi au mmwagia watu tindikali, au mwana uamsho.Bimani mwenyewe aliyetoa press conference huyo hapo kwenye picha. Mwangalie kwa makini halafu tuambie umegundua nini. Kazi kwako.
View attachment 143741
Hakuna anayewaonea Gere kwani 98% ya pato la Taifa lote linapatikana Tanganyika Ndio Maana hata wapemba wengi wamehamia bara kuisaka shilingi wabara wanataka Ardhi Zenji ili waje waamushe Mzunguko wa pesa wawape changamoto za maendeleo muache ulalamishi na kuchapa kazi
basi inakuwaje mara kadhaa tumeona wabunge wa cuf wakiwakejeli cdm na wakati mwingine kujiunga na wa ccm? nao wanakuwa wamekula maji ya kijani? Utakuwa umekubali kuwa cuf ni cha wazanzibari kwa observation yako?
Bimani mwenyewe aliyetoa press conference huyo hapo kwenye picha. Mwangalie kwa makini halafu tuambie umegundua nini. Kazi kwako.
View attachment 143741
Kama ilivyo chadema kwa wachaga daimaCuf ni chama cha wapemba daima.
CUF ni sawa na jamvi la wageni, si chama tena bali ni genge la wahuni wachache waliolewa kahawa.
Lazima Tuwe wakweli. Hivi wakija Watu millioni 2 tu kutoka Bara wakataka ardhi kweli tunayo ardhi hiyo. WaZanzibari wapo 1.2 million kuna matatizo ya kugombea ardhi
Kiboko na kidume cha wanafiki wote vibaraka wa kuuza nchi yao.. Zanzibar kwanza muungano baadae
Kweli hii imesema mengi. Bila shaka ni mmoja wa wanaotaka Sultani arudi Zanzibar. Hajali maslahi ta wapemba wenye ardhi na vitega uchumi/biashara Tanganyika
Kwani kila anayetaka ardhi anapewa?? Si kuna taratibu?!, sisi tunataka kama mtanzania ambaye ni mtanganyika ameamua kuishi visiwani basi awe na uwezo wa kujenga kama vile mzanzibari anayeishi tanganyika anaweza kujenga na kuishi bila tabu. Au kama kwenye ardhi Zanzibar inajiona ni ndogo basi ifike mahali na kwenye mambo mengine ikubali udogo wake.Lazima Tuwe wakweli. Hivi wakija Watu millioni 2 tu kutoka Bara wakataka ardhi kweli tunayo ardhi hiyo. WaZanzibari wapo 1.2 million kuna matatizo ya kugombea ardhi
Suala sio matatizo suala ni kujenga umoja, ili watanganyika waone huu muungano kweli ni wa dhati basi wapewe haki ya kikatiba kumiliki ardhi zanzibar. Kumbuka hata ikitolewa hiyo haki, usidhani watanganyika ndiyo watakimbilia huko Zanzibar. Suala ni haki na usawa.Hivi watanganyika mna matatizo ya ardhi mpaka mupewe na ardhi ya zanzibar?sie wenyewe haitutoshi kaeni huko kwenu tanganyika mulime,zanzbr kwanza.