Wanzanzibar acheni unafiki, Acheni ubinafsi na mtawafanya wanzanzibar walioko Bara wavamiwe na kunyanganywa mali zao. Kwanza mnatutesa sana ondokeni mtuachie nchi yetu. Na mkiingia Bara mnaingia na passport. Tumewalea sana. Mara tuwasomeshe bure, mara tuwaleteee maharagwe bure. kilakitu bure.:target:
Watanganyika tuache utoto na kujadili issues za msingi kwa jazba na mihemko! Zanzibar kuna ardhi gani ya kuwagawia hata wasiokua Wazanzibari?? Hizi ni deal za kitoto za watawala wanaohangaika kuhakikisha tunabakizs mfumo wa serikali mbili. Watanganyika tunadanganywa kwamba sasa tutaweza miliki ardhi Zanzibar!!
Nawaunga mkono CUF kwa kustukia na kuukataa huo utapeli wa siasa za CCM! Kwamba Watanganyika wenzangu hata kama huo utapeli utaingizwa ktk Katiba ni lazima Baraza la Wawakilishi Zanzibar walidhie sheria hiyo kutumika Zanzibar. Mzanzibari gani ataruhusu ujinga kama huo? Wanataka kusababisha vita ya ardhi huko Zanzibar?