CUF wasema Bai Bai UKAWA wajiunga na CCM

Kweli kabisa hawa wanasiasa kampeni zao ni maigizo tupu, kama yule mwingine anayekusanya watu pale Jangwani na

kuwaambia atamtoa jela babu Seya, Atatoa elimu bure. Hawa wanasiasa wanatuchezea akili zetu kweli.
Upumbavu umekujaa! Huna lolote! Mjinga sana wewe! Nakuachia laana mpaka kizazi chako cha tatu!
[video]https://youtu.be/OLyzuF250io[/video]
 
Hizo kadi ukiziangalia karibu zote zinaonekana ni kadi mpya. Swali je zimekatwa siku ya karibuni kwa ajili ya kuzirudisha au hawa ndugu walikata siku nyingi lakini wanautunzaji wa kadi unaofanana. Hapa hawa wamepewa leo ili waonekane kama ndio wanazirudisha kwaiyo hizo ni kadi feki.

Kwani ndio mchezo wenu mnavyofanyaga?
 
Mbna kama vijana wa vijiweni hawa.na wengine adi wameficha sura zao wasigundulike!!?maajabu.
 
Kweli kabisa hawa wanasiasa kampeni zao ni maigizo tupu, kama yule mwingine anayekusanya watu pale Jangwani na

kuwaambia atamtoa jela babu Seya, Atatoa elimu bure. Hawa wanasiasa wanatuchezea akili zetu kweli.
Maisha yangu yote sijawahi kuona mpumbavu kama wewe! Vipi yule anayesema kuna Mafisadi wakati serikali ya CCM imewahifadhi kwa miaka yote hiyo? Naomba usirudie tena kuniquote unaweza kunisababishia matatizo, Ningekujua lazima ningekufanya mbaya tu! wewe ni bure kabisa!!!!
 
Mbowe tunakusubiri kitaani kwetu na utapeli wako ili tukuoneshe ujanja wa mjini ukoje, unaujua huu sie tunaujua ule
 
Upumbavu umekujaa! Huna lolote! Mjinga sana wewe! Nakuachia laana mpaka kizazi chako cha tatu!
[video]https://youtu.be/OLyzuF250io[/video]

Duh aisee vipi tena? Mbona ghafla mitusi mizito mizito inakutoka, tena umeniquote, kuna kosa lolote?
 
Maisha yangu yote sijawahi kuona mpumbavu kama wewe! Vipi yule anayesema kuna Mafisadi wakati serikali ya CCM imewahifadhi kwa miaka yote hiyo? Naomba usirudie tena kuniquote unaweza kunisababishia matatizo, Ningekujua lazima ningekufanya mbaya tu! wewe ni bure kabisa!!!!

Mheshimiwa mbona matusi na vitisho hivi? Kunani tena, manake hata Lowassa mwenyewe hawezi kupanic hivi na kutoa

matusi makubwa kwa mtazamo wa mtu. Hii ni dunia free siyo muda wa kutishiana maisha huu.
 
Hii ya kadi jamani ni fashion ya kizamani embu tugeuke tufukuzane na upepo. Wengine wameshapanda baiskeli wanaelekea kupanda basi sisi bado tumelala. Kaaazi kweli kweli
 
Mheshimiwa mbona matusi na vitisho hivi? Kunani tena, manake hata Lowassa mwenyewe hawezi kupanic hivi na kutoa

matusi makubwa kwa mtazamo wa mtu. Hii ni dunia free siyo muda wa kutishiana maisha huu.
Nionyeshe tusi hapa! watu kama nyie ndio mnafanya tutembee na silaha!
 
Naona hao tayari wamesha jiuza utu wao sio mbaya maisha yanaendelea na tuhela walitochukua nazani. saizi tumeisha na shida bado ziko pale pale
 
yan hao vijana kwa kweli nna mashaka nao wanaonekana kama ni wahuni tu.....choka mbaya....kweli siasa ni mchezo mchafu
 
[h=2]Mji Wa Mpanda wazizima, Lowassa asimamisha shuguli za mji wote[/h]
Huyu jamaa sasa amekuwa tatizo.. Hakuna namna nyingine acha aende ikulu tu
attachment.php

attachment.php

attachment.php

Mgombea Urais CCM Dk.John Magufuli akipokea kadi za wanachama wa CUF baada ya kujiunga na CCM Tunduru

Back
Top Bottom