CUF wasema Bai Bai UKAWA wajiunga na CCM

CUF wasema Bai Bai UKAWA wajiunga na CCM

Karbuni kwenye ukombozi


KWA KUWASAIDIA,, HAKUNA BINDAMU /MPIGA KURA ANAYEJITAMBUA KATIKA KUFANYA MAAMUZI & KUSIMAMIA AKILI YAKE ANAEWEZA KUYUMBISHWA NA KUWA KAMA BENDERA FUATA UPEPO KWA SABABU YA MANENO YA MWANASIASA YEYOTE DUNIUANI.......Zaidi ya hapo ni commedy
 
Mbona chadema ndiyo wanzilishi wa hayo!!hata sumaye alirudisha kaadi chaajabu hapo nikitu gani? Wawe vipi lakini wamerudisha kama mlikuwa 1000.sasa ni900,chezeya siya nyie mnatukana na kejeri kila saa ,lakini kura ndiyo mpango woote
 
Kuna mmoja kajifunika kitambaa usoni, kwanini! halafu vijana wa kihuni tu! Lol hii no!


Aliyejifunika uso Mwigulu Nchemba anaogopa kamere isimubani! Full maigizo hapo.
 
kweli kuku amepulizwa na upepo nyeti zake zimeonekana!!
ccm imekufa kifo cha aibu sana yani wanazidi kujifunuwa!
 
msishangae ccm kufanya hayo maigizo hata kwenye chaguz zao kura maoni walipeana kadi feki hvyo msiwashangae.
 
hahahahhahaha unajua ccm unaeza ukaichukia adi ukawa unacheka yani..wana vituko hawa watawala ss hicho nn hapo ahhahahha wengine kuziba nyuso watu wenyewe wanaonekana wamekurupushwa nyuso zao zinaongea kila kitu ze comedy show

Nimeishia kucheka tu! Haya maigizo huyo muandaaji hafai hata kidogo!
 
Sioni cha ajabu hapo Kwa sababu watu wenyewe walio hama ni wakawaida sana hawana nguvu au ushawishi wowote ndani ya cuf na ukawa sisi tuliwapiga bado Kwa sababu tumepokea viongozi wakubwa tena vigogo wenye ushawishi mkubwa ndani na nje ya chama Kwa mfano alivyo toka lowassa alikuja na wanachama wengi sana tena wengi wao ni watu wazito Kwa hili ccm ilipata pigo kubwa mpaka hii Leo sasa hao mnaowapokea Leo kiufupi sioni umuhimu wao na hawana ushawishi wowote zaidi ya bendela fata upepo huwenda hata kula wasipige hao. Poleni sana ccm mnatafuta njia zakutokea lakini hamtafanikiwa afe beki afe kipa ukawa tunachukua nchi na lowassa ndiye raisi wetu.
 
Endelea kufuata mkumbo na kujiliwaza. Watu wanaingia CCM kila sekunde.



Hebu tizama vizuri hao watu sura zao au kwa kizungu wanasema body languge
halafu muangalie alievaa nguo njano pembeni ya alieficha uso ..huyo anaonekana ni mtoto hata kadi ya kura hana
 
Hebu tizama vizuri hao watu sura zao au kwa kizungu wanasema body languge
halafu muangalie alievaa nguo njano pembeni ya alieficha uso ..huyo anaonekana ni mtoto hata kadi ya kura hana
Jifunze kuamini na kikubali
Usije kataa matokeo na hata kfoo.
 
Hahahahaha hao ni wanachama wa cuf hahahaha vijana ambao hata mlo inaonekana shda wana kadi?UONGO MWISHO MWAKA HUU
 
Yaani mnajipa matumaini tu.

mnaigiza kuchukua kadi za CUF na kuwapa vijana eti wazirudishe.

Mmeishiwa sera mwaka huu. WATU WOTE MAMBO UKAWA NDIO SALAMU YA TANZANIA.

TUNATAKA MABADILIKO.


MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Hapo hakuna mwenye kura hata mmoja. Sijui kwanini ivo. Picha ya kwanza ni vijana wa kihuni tu na nina hofu kama ni kadi za ukweli hizo

Upo sahihi, ni vijana wa kihuni kama wale wa kwenu wanaojaza uwanja. what goes around comes around, usipasuke mishipa kwa ajili ya siasa.
 
Back
Top Bottom