CUF wasema Bai Bai UKAWA wajiunga na CCM

CUF wasema Bai Bai UKAWA wajiunga na CCM

Kwanza ni wachache..na inaonekana ni ccm..ila wanafanya maigizo..njaa nayo inasumbua...pia wanaweza wakawa ni wajanja kula ccm kura ukawa..maana walio wengi hiyo ndo habari ya mujini!
 
Magufuli jamaa wanakuchomekea,hao vijana umetengenezewa sijui ni kwa nia gani,wachunguye vizuri waongo wanataka uwasifu.
 
kama unafikiri kwa njia ya picha. hao watu inaonekana hata hizo kadi hawana uhusiano nazo. waangalie macho, wanaona aibu
 
Hivi nani kagombea Urais kwa tiketi Ya CCM na mgombea mwenza anaitwa nani? Maana mitandaoni ni Lowasa na Babu Duni
 
Kwa kweli hii inasikitisha sana.Pole sana Magufuli.yaani unathubutu kupiga piga picha ya surname la wanachama wa cuf wanaoingia ccm.Magufuli ungelijua hata husingekubali kugombea nashangaa hukusoma nyakati kabisaaa.pole sana.
 
Kama wa Dar mliwapa buku 5 hawa sidhani kama mmewapa zaidi ya buku 2...
 
11218624_875441515902799_469992946370659694_n.jpg
 
Upo sawa kwa namna fulani na ulivoelewa- Utamaduni, Hiyo picha ya hao vijana unaona kabisa siyo. Kofia zao na hata walivyotoka tuisipokuwa ni sawa usemavyo kuwa kama wale watokao kwenda ukawa na wanaoshangilia kwa wingi huko ndiyo hao. Ila kwa CCM hawa nadhani ni incidence rare sana. May be ndo walioko huko ukawa hawezi kuhama kijana mwerevu kama waliopo ni wa kihuni.
 
Hapa kazi tu ..ni ileile ni ileile, tumejipanga, mwaka huu wataisomaa ..unasemaje*2? tumejipanga ..Dodoma ni ile ile,
 
Nimefungua thread hii nikidhani kuna la maana kumbe ni mwendelezo wa kutapatapa kwa maccm.
 
duh mbona wachache sana ukilinganisha na waloingia ukawa

Ukiacha hilo kingine ni kwamba vijana wenyewe hata hawajitambui.
Wanaonekana kama wamepewa mlungula ili wauze sura hapo.
Enewei, hizi pia ni siasa maji mferejini
 
Ccm kwa commedy hamjambo hao vijana wakuchonga eti wamerudisha kadi,wamechukua mshiko wenu na hao jamaa vichinjio wnavyo na wataipigia ukawa tu.
 
Back
Top Bottom