Wenye akili walisha mwelewa Fisadi na hawana shida na fedha za kifisadi. Mtaisoma Namba
Unstoppable pain from CCM.Hapo hakuna mwenye kura hata mmoja. Sijui kwanini ivo. Picha ya kwanza ni vijana wa kihuni tu na nina hofu kama ni kadi za ukweli hizo
mbona wote wana kadi mpya
Dr. Slaa is no longer a member of Chadema, in contrast, those guys a showing the world that CCM is number one.Dr Slaa hajarudisha kadi, wao wamerudisha kwa maana wanauchungu kuliko dr Slaa.
Ask your Fisadi, why is he scared of CCM? There is a Hollywood comedy behind the seen.Duh! hiz comedy za ccm mwaka huu niacheni nicheke2, hahahaaaa!
No, you are once again wrong, consequently, you don't even know why you are a blind follower of Lowassa.hahahahhahaha unajua ccm unaeza ukaichukia adi ukawa unacheka yani..wana vituko hawa watawala ss hicho nn hapo ahhahahha wengine kuziba nyuso watu wenyewe wanaonekana wamekurupushwa nyuso zao zinaongea kila kitu ze comedy show
Mgombea Urais CCM Dk.John Magufuli akipokea kadi za wanachama wa CUF baada ya kujiunga na CCM Tunduru
[h=3]Mgombea Urais CCM Dk.John Magufuli akipokea kadi za wanachama wa CUF baada ya kujiunga na CCM Tunduru[/h]
Karbuni kwenye ukombozi
If that is true, then Fisadi would have not run from CCM.kura ni siri ya mpga kura.njaaa pia inawasumbua vijana
Sign of frustrations.UKAWA huwa hawazipokei!wanawaambia watupe kwenye dustbin