Duh kwa picha mnamuona huyo anajificha na kitambaa chekundu asionekane? Wengine nao wameshusha kofia zao aisee ..enyi Ccm ni nani aliowaloga? Mnashupaza shingo namna hiyo itavunjia muda si mrefu
Ni wachache ila wamehama na sasa akili zao ni Timamu na idadi ya ukawa ina punguwa kila kukicha. Yaani mwaka huu mnawapa ccm nguvu zaidi na ushindi watakao pata ccm uta washangaza na ndio utakuwa mwisho wa ukawa wenu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.