CUF wasema Bai Bai UKAWA wajiunga na CCM

CUF wasema Bai Bai UKAWA wajiunga na CCM

Mizengwe na komedi za ccm, wanajipa moyo sana. Mateke ya mwisho ya ng'ombe anao chinjwa. Nikawaida sana. UKAWA TUPO IMARA
 
Yaani mnajipa matumaini tu.

mnaigiza kuchukua kadi za CUF na kuwapa vijana eti wazirudishe.

Mmeishiwa sera mwaka huu. WATU WOTE MAMBO UKAWA NDIO SALAMU YA TANZANIA.

TUNATAKA MABADILIKO.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
Mnajitekenya na kucheka wenyewe.

ni kweli wanafanya maigizo ya ya vijana kurudisha kadi za KAFU kama mlivyofanya maigizo arusha ya kuwaweka vijana na kuwapa kadi feki za sisiemu na kuwafanya kuwa wanarudisha na kuchukua za chadamu.

Maradhi pelekeni muhimbili, ikulu anaingia mwenye afya zake.
 
Kazi yake kupokea Kadi feki, mwambieni atangaze sera hali mbaya......
 
ama kweli usanii hauishi hivi kweli hao nao ni wanachama mnaojivunia kabisa mi naona ni vibaka tu.
 
Mnajitekenya na kucheka wenyewe.

ni kweli wanafanya maigizo ya ya vijana kurudisha kadi za KAFU kama mlivyofanya maigizo arusha ya kuwaweka vijana na kuwapa kadi feki za sisiemu na kuwafanya kuwa wanarudisha na kuchukua za chadamu.

Maradhi pelekeni muhimbili, ikulu anaingia mwenye afya zake.

CCM wanapenda kampeni za maigizo.
Hapo akimaliza kupokea hizi kadi feki anapanda shilole kukata viuno. Akimaliza magufuli anaimba alimselema na kufunga mkutano.

Kweli kabisa hawa wanasiasa kampeni zao ni maigizo tupu, kama yule mwingine anayekusanya watu pale Jangwani na

kuwaambia atamtoa jela babu Seya, Atatoa elimu bure. Hawa wanasiasa wanatuchezea akili zetu kweli.
 
maigizo...hao vijana wamekiri si wanachama wa CUF...walilipwa na kupewa hizo kadi ili waigize kama kawaida ya CCM. Mimi namjua mmoja wa hao vijana vizuri.
 
Mbona hizi kadi zote ni mpya kabisa inamaana walikuwa ni wanachama wapya wa CUF au kuna kamchezo hapa?
 
Yaleyale ya maigizo ya Masaburi ya jana! Magufuli, wakati wa Kampeni siyo wakati wa kutafuta wanachama wapya wa Chama chako, ni wakati wa kutafuta kura za Watanzania wote wapiga kura, wenye vyama na wasio na vyama.
 
Hizo kadi ukiziangalia karibu zote zinaonekana ni kadi mpya. Swali je zimekatwa siku ya karibuni kwa ajili ya kuzirudisha au hawa ndugu walikata siku nyingi lakini wanautunzaji wa kadi unaofanana. Hapa hawa wamepewa leo ili waonekane kama ndio wanazirudisha kwaiyo hizo ni kadi feki.
 
Endelea kujipa moyo huku CCM ikipakua makada wenu kwa malundo
 
Siasa nyepesi sana hizo kwani hata walivyo tu wanaelekea ni wanachama wapya
 
CCM wanapenda kampeni za maigizo.
Hapo akimaliza kupokea hizi kadi feki anapanda shilole kukata viuno. Akimaliza magufuli anaimba alimselema na kufunga mkutano.

Hahahahaha!!!! Umekombolewa
 
Back
Top Bottom