Laiti kama Mwalimu Nyerere angejua ni watu wa aina gani anatuunganisha nao, angewaacha wakae huko kwao wabaguane wenyewe kwa wenyewe.
Mpemba mbishi laiti ugejua jinsi Watanganyika wameuchoka muungano na watu wa huko kwenu (Wapemba), usingekaa kuropoka maneno yako ya kuonesha kwamba mmeuchoka huu muungano. Namshukuru Mungu hata huko Mtwara(ambao ndio walikua bado wanawatambua) wameanza kukishtukia hiki chama chenu cha Wabaguzi na wanarudi kundini.
Kifo cha Cough Tanzania ni dalili nzuri za kuonesha kwamba Watanganyika tumewachoka. Nazidi kumuomba Mungu muondoke kwa amani mkatengane huko huko msije mkatufundisha ubaguzi.
RIP COUGH
JMT UR NEXT!
Sasa siku Prof Lipumba anapotua uwanja wa pale Dar je wananchi tukampokee kwa bendera za KAFU Orijino, KAFU-Maalim Seif au KAFU-ADC ile mpya ya kwenye bahasha?
Katika hali isiyokuwa ya kawaida tawi la wawi babarani muda huu viongozi wa wilaya ya chake chake wametolewa katika kikao hicho kwa matusi na kuambiwa sasa ni kambi ya ADC
Tatizo lako wala hujijui kuwe wewe ni MPEMBANamshkuru Mungu sana kunijaalia kua MZANZIBARI!
Suali hili hakuna haja ya kulijibu Mtatiro, hata mimi naweza kukupatia majibu: Maalim Seif anatambulika Pemba yote na ni Mkombozi wa Wazanzibari (hata Raisi wako Kikwete na Padri wako Slaa wanalijua hilo) bali Hamad Rashid ni mtoto ambaye kwa Zanzibar hakuna sehemu nyengine ambayo anajuilikana ukiwatoa wanafamilia yake hapa Wawi. Sasa atawezaje kukivuruga Chama sehemu ambayo hakubaliki; watu wameamua 'kumpotezea' na ndio maana tangu siku alipofukuzwa kutoka katika CUF hujasikia Kiongozi yeyote wa Chama akimzungumza. Zaidi hua anajiuliza maswali na kujipatia majibu mwenyewe sambamba na kupiga picha za 'kujiuzisha sura' na kina Mtalii Kikwete na Mr. Pinda; wapenda sifa wenzake! Nadhani tayari uchizi unaanza kumnyemelea!! Chezea Wapemba weweeeee! Kama hamumjui Maalim muulizeni Salmini Amour, Masauni Yussuf Masauni, George Kizuguto na wengineo (wote wamekua wafu hai) lakini Simba wa nyika ndio kwanza anadunda huku akiisubiria kuiona kwa macho yake JAMHURI YA WATU WA ZANZIBAR iliyo HURU ambayo itazaliwa hivi karibuni Mungu akipenda.
Mimi nimeshakujua wewe kijana wala hunipi tabu tena!! Kuendelea kubishana na wewe ni kupoteza muda bure! Vipi utandelea kubaki CCM au utajiunga na chama kipya cha ADC? Mganga njaa.
Suali hili hakuna haja ya kulijibu Mtatiro, hata mimi naweza kukupatia majibu: Maalim Seif anatambulika Pemba yote na ni Mkombozi wa Wazanzibari (hata Raisi wako Kikwete na Padri wako Slaa wanalijua hilo) bali Hamad Rashid ni mtoto ambaye kwa Zanzibar hakuna sehemu nyengine ambayo anajuilikana ukiwatoa wanafamilia yake hapa Wawi. Sasa atawezaje kukivuruga Chama sehemu ambayo hakubaliki; watu wameamua 'kumpotezea' na ndio maana tangu siku alipofukuzwa kutoka katika CUF hujasikia Kiongozi yeyote wa Chama akimzungumza. Zaidi hua anajiuliza maswali na kujipatia majibu mwenyewe sambamba na kupiga picha za 'kujiuzisha sura' na kina Mtalii Kikwete na Mr. Pinda; wapenda sifa wenzake! Nadhani tayari uchizi unaanza kumnyemelea!! Chezea Wapemba weweeeee! Kama hamumjui Maalim muulizeni Salmini Amour, Masauni Yussuf Masauni, George Kizuguto na wengineo (wote wamekua wafu hai) lakini Simba wa nyika ndio kwanza anadunda huku akiisubiria kuiona kwa macho yake JAMHURI YA WATU WA ZANZIBAR iliyo HURU ambayo itazaliwa hivi karibuni Mungu akipenda.
Kumbe tawi la Wawi tuuuuuu, ambapo hata ingekua kweli tawi hilo moja haliwashi wala halizimi!!!! Hata hivyo habari hizi sio za kweli mimi nipo hapa Wawi na ndio nyumbani hakuna kabisa habari hizii. Wapemba wanajielewa sio watu wa kuyumbishwa na kupelekeshwa! Na ndio maana hamujawahi kusikia hata siku moja katika historia ipo siku wamegawanyika; iwe kwa majimbo, wilaya, mikoa ama sababu nyengine zozote hamutowasikia daima Wapemba wakigawanyika kwa uwezo wa Mungu. Namshkuru Mungu sana kunijaalia kua MZANZIBARI!