Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,494
- 113,590
- Thread starter
- #181
Yes turudi kwenye chama kimoja kwenya urais tuu, ila kwenye ubunge tuendelee kuwa na vyama vingi. Hili la urais tuliweke kabisa kwenye katiba kuwa chama chenye hati miliki ya urais wa JMT na Zanzibar ni CCM!. Hii ni kutokana na long eksipirience ya uzoefu wa muda mrefu!.Mkuu pasco..
Shkamoo bro... Mapinduziiiii....
Ama baada ya salam kaka... umenikumbusha article moja aliwahi kuandika Joseph Mihangwa about Jumbe... kuna sehem anasema kosa la jumbe lilikua ni "kutaka kukanyaga sehem ambayo hata malaika haruhusiwi kukanyaga"...
Back to the point mkuu... kuhusu experience and oool na mwenye haki ya kushika reigns za uongozi wa nchi yetu hii adhim... should we just get back to a one party state and get away with ool the theatrics of multypartism?
Pascal