Uchaguzi 2015 CUF kushiriki Uchaguzi wa Marudio Zanzibar si hiyari, Ni lazima! Vinginevyo, huo ndio mwisho wake

mwengeso

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2014
Messages
5,986
Points
2,000

mwengeso

JF-Expert Member
Joined Nov 27, 2014
5,986 2,000
Nakumbushia tuu kuna neno nilisema humu kuhusu CUF kushiiki kwa lazima itake isitake, nilipuuzwa, lakini jana Jecha kayasema haya haya, sijui na yeye atapuuzwa?!. Najua CUF kama kawaida yao, watakuja na matamko. Matamko hayasaidii kitu, ama wachukue hatua au wakae kimya na kushiiki uchaguzi huu!.

Pasco
Bila wasiwasi naamini wanachama wa vyama vyote vya siasa Zanzibar watashiriki uchaguzi wa marudio pamoja na shinikizo la viongozi wao waliotaka ushindi wa mezani.
 
Muyobhyo

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2014
Messages
8,161
Points
2,000

Muyobhyo

JF-Expert Member
Joined Oct 9, 2014
8,161 2,000
huu ubabe wa kijani huu utatufikisha pabaya, ina maana wana siasa kubwabwaja kwenye vyombo vya habari kuwa wameandika barua ya kujitoa ni walikuwa wanadanganya wananchi, sasa leo tutasikia vyama vya upinzani navyo vikimcrush jecha kwa vifungu, na nani anayempa jecha jeuri manake nimemuona akitangaza kwa jeuri na sura yake ile, mie naona haina haja ya kura wajitangaze tu maisha yaende,
 
Muyobhyo

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2014
Messages
8,161
Points
2,000

Muyobhyo

JF-Expert Member
Joined Oct 9, 2014
8,161 2,000
Bila wasiwasi naamini wanachama wa vyama vyote vya siasa Zanzibar watashiriki uchaguzi wa marudio pamoja na shinikizo la viongozi wao waliotaka ushindi wa mezani.
tusiposhiriki ni nini kitatokea, watafuta chama au, mambo ya kibabe yashapitwa na wakati ndugu, kumbuka unaowafanyia ubabe ni binadamu sio mbuzi nao wana akili vile vile, washasema hawataki we unawalazimisha, matokeo tayari mnayo kuwa ccm lazima iwe mshindi, piga ua galagaza, sasa uende kufanya nini si kupotezeana muda tu kama mara ya mwanzo tumepigwa na jua kisha anakuja tu anaamua bila kufata vipengele ati kafuta matokeo, hii zec ni ya mtu 1 tu na sio wote, na ukitoka hapo unaenda kabisa msikitini kusali sidhani ka Mungu atakusamehe dhambi unayofanya
 
mwengeso

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2014
Messages
5,986
Points
2,000

mwengeso

JF-Expert Member
Joined Nov 27, 2014
5,986 2,000
tusiposhiriki ni nini kitatokea, watafuta chama au, mambo ya kibabe yashapitwa na wakati ndugu, kumbuka unaowafanyia ubabe ni binadamu sio mbuzi nao wana akili vile vile, washasema hawataki we unawalazimisha, matokeo tayari mnayo kuwa ccm lazima iwe mshindi, piga ua galagaza, sasa uende kufanya nini si kupotezeana muda tu kama mara ya mwanzo tumepigwa na jua kisha anakuja tu anaamua bila kufata vipengele ati kafuta matokeo, hii zec ni ya mtu 1 tu na sio wote, na ukitoka hapo unaenda kabisa msikitini kusali sidhani ka Mungu atakusamehe dhambi unayofanya
Hakuna atakaye au mwenye uwezo wa kumlazimisha/kumahawishi mpiga kura kufanya hivyo. Ila mpiga kura atafanya hivyo kwa hiari yake kutimiza wajibu wake kikatiba na pia kumchagua kiongozi anayeamini anafaa.
Viongozi waliosusia wana lao jambo na lisingine ni uoga kwani wanajua fika matokeo ni kushindwa. La, kama wanaamini walishinda uchaguzi wa awali, wathubutu kurudiwa uchaguzi.
 
Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Messages
31,742
Points
2,000

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined Sep 22, 2008
31,742 2,000
Nii katika kukumbushana tuu kuwa CUF itashiriki kikamilifu katika uchaguzi wa marudio!. Karatasi za kura zipo, picha zao na majina yao yapo, wagombea wapo, na wapiga kura pia wapo,

Uchaguzi utakuwa huru na wa haki, watu wajitokeze kwenda kupiga kura!.

Pasco
 
Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Messages
31,742
Points
2,000

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined Sep 22, 2008
31,742 2,000
Ukweli wa uzi huu, utatimia kesho!, wengi mtakishuhudia hiki ninachokisema, nimesema kuwa CUF kushiriki uchaguzi huu sio hiyari ni lazima!, kesho itafika na mtashuhudia CUF kama chama kikishiriki kwa lazima, kitake kisitake!, majina ya wagombea wao tayari yapo kwenye karatasi za kura!, na kesho watu watajitokeza, watawapigia kura, tofauti na uchaguzi wa October, matokeo ya uchaguzi wa kesho, CUF watashindwa vibaya sana, infact watapigwa chini rasmi!.

Tusubiri tushuhudie hiyo kesho.

Pasco
 
Baba jay'rose

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2015
Messages
1,043
Points
2,000

Baba jay'rose

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2015
1,043 2,000
Habari,

Naona niweke hili wazi kutokana na mwenendo wa siasa ya zanzibar inavyoendelea.

Inaonekana Chama kikuu cha upinzani Cuf wamelewa sifa kutokana na nafasi waliyopewa mwanzo na kufikia hatua yakutaka kushika msukani kwa nguvu ya umma, wakasahau fadhila.

Baada ya upigwa wa kura siku ya kesho na ccm kujichukulia ushindi mnono, hapo ndipo mtakapo ona chama kipya kilichopata ushindi wa zaidi ya 30% nao kula bata walilokula wakila CUF.

Kufa kufaana, poleni saana wana CUF na wapinzani wenye nia ya dhati wote Tanzania.
 
Kifoi

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2007
Messages
998
Points
500

Kifoi

JF-Expert Member
Joined May 12, 2007
998 500
Ukweli wa uzi huu, utatimia kesho!, wengi mtakishuhudia hiki ninachokisema, nimesema kuwa CUF kushiriki uchaguzi huu sio hiyari ni lazima!, kesho itafika na mtashuhudia CUF kama chama kikishiriki kwa lazima, kitake kisitake!, majina ya wagombea wao tayari yapo kwenye karatasi za kura!, na kesho watu watajitokeza, watawapigia kura, tofauti na uchaguzi wa October, matokeo ya uchaguzi wa kesho, CUF watashindwa vibaya sana, infact watapigwa chini rasmi!.

Tusubiri tushuhudie hiyo kesho.

Pasco
aaa hivyo ndio mulivyopanga huko kwenye usalama wa taifa si hesabu mushazipanga sasa hamad rashid mumempa pasenteji ngapi 10 au
 
Kifoi

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2007
Messages
998
Points
500

Kifoi

JF-Expert Member
Joined May 12, 2007
998 500
Nii katika kukumbushana tuu kuwa CUF itashiriki kikamilifu katika uchaguzi wa marudio!. Karatasi za kura zipo, picha zao na majina yao yapo, wagombea wapo, na wapiga kura pia wapo,

Uchaguzi utakuwa huru na wa haki, watu wajitokeze kwenda kupiga kura!.

Pasco
wapiga kura si usalama wa taifa au
 
dangadunguri

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2015
Messages
1,281
Points
2,000

dangadunguri

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2015
1,281 2,000
Kila siku najiuliza hili swali
watu wanaosema 'tutaulinda muungano wetu' kwa gharama yoyote

exactly wanamaanisha nini?
why huu muungano ulindwe kwa nguvu?
mbona lipo wazi sana na watu wengi wameshaliongolea kwa nini tanganyika inaikalia kimabavu znz tena hasa pemba, na mwisho LUKUVI akapigilia msumari wa moto kuwa wakiachwa waendelee wenyewe UISLAMU UTATAMALLAKI na hilo ni KOSA kubwa sana kuwahi kutokea katika historia ya vujukuu vya NYERERE.
Hushangazwi na maneno kuwa znz nikama mkoa 1 wa bara, lakini mashuzi na makamasi yanawatoka watawala wetu kwa mkoa mmoja tuuuu, sasa ingekuwa mikoa 10 hali ingekuwaje??. huu ni wosia wa mabeberu na warithi wao kuwa znz isiachwe itakuwa kituo muhimu cha UISLAMU (wenyewe wanazusha kuwa itakuwa kituo cha UGAIDI). Kinachoogopwa hapo ni UISLAMU, Hilo moja.

Pili, znz rate yao ya ufisadi ni ndogo sana, hivyo wao kile kidogo kitakacho patikana ni rahisi kukifanyia kazi na wakapiga maendeleo ya haraka sana, huoni kuwa sisi watanganyika tutwaonea wivu na huo utakuwa mtihani mkubwa sana kwa viongozi wa ccm?? manake mfano utakuwa karibu sana kuwa mbona znz wakombali sana sisi tumeshindwa nini??
KUVUNJIKA MUUNGANO NI KISINGIZIO CHA KUIKALIA ZNZ
 
Kifoi

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2007
Messages
998
Points
500

Kifoi

JF-Expert Member
Joined May 12, 2007
998 500
Raisi Shein Kashapigiwa Kura na usalama wa taifa na wamempa kura100%
Habari,

Naona niweke hili wazi kutokana na mwenendo wa siasa ya zanzibar inavyoendelea.

Inaonekana Chama kikuu cha upinzani Cuf wamelewa sifa kutokana na nafasi waliyopewa mwanzo na kufikia hatua yakutaka kushika msukani kwa nguvu ya umma, wakasahau fadhila.

Baada ya upigwa wa kura siku ya kesho na ccm kujichukulia ushindi mnono, hapo ndipo mtakapo ona chama kipya kilichopata ushindi wa zaidi ya 30% nao kula bata walilokula wakila CUF.

Kufa kufaana, poleni saana wana CUF na wapinzani wenye nia ya dhati wote Tanzania.
aaah kumbe Hamad Rashid mumempa 30% na wawakilishi wangapi
 
dangadunguri

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2015
Messages
1,281
Points
2,000

dangadunguri

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2015
1,281 2,000
Tutaulinda muungano kwa gharama yoyote!.

Pasco

Hata kama unatoa ushauri sidhani kama unahaki ya kumalizia kama ulivomalizia eti "Tutaulinda muungano kwa gharama yoyote!." Huu ni upunguani wa fikra. Zanzibar ilikua dola yenye silka na tamaduni zake kujidai kuropokwa maneno eti CUF walimtia vidole machoni JK kwa kuwachia kufanya mabadiliko ya katiba mwaka 2010 inatupa imani na kututhibitishia CHUKI ULIZONAZO DHIDI YA ZANZIBAR na watu wake. Kamwe Zanzibar haitakua Kilimanjaro au Mwanza! ilikua nchi, bado ni nchi na itaendelea kuwa nchi, japo watu kam wewe unojiita pasco unaonesha CHUKI NA NYOYO ZA FITNA KWA ZANZIBAR, INSHAAALAH ipo siku historia itajirudia. Kumbukeni hata Mwingereza ametawala Dunia kwa karne na karne lakini yako wapi! YAGUJU, CHUKI ZENU WATANGANYIKA JUU YA ZANZIBAR IPO SIKU SITAKWISHA HATA KAMA NI BAADA YA KARNE, ZANZIBAR IPO SIKU ITAKWAMUKA TU.
HAKUNA KAFIRI HATA MMOJA ANAYEITAKIA MEMA ZNZ AU UISLAMU, huo ndio ukweli hata wakipinga watu wa dunia nzima. uzuri ni kwamba wengine hupata haya na soni na kuona hata kama hatuwapendi lakini hiiiiii sasa sifaaaaaaa, basi wakifika hapo husema ukweli japo kwa wenzao mchungu. PASCO yumonkatika kundi hilo hata kama atakuwa mchambuzi mzuri wa kuweza kuudondoa mchanga tembe kwa tembe na kuuwelezea uumbaji wake, hatoki katika kapu hilo, chuki, fitna na dharau kuona kwamba haiwezekani kuwaachia watu wengine waongoze, ndipo tutakapo waua na kulinda maslahi yetu kwa hali yoyote ile (Tutaulinda muungano kwa gharama yoyote).

Sasa hebu jiulize huo muungano uko wapi?? wanachi wamegawanywa na wanachukiana sana na kwa hali ilivyo chuki ndio inazidi kwa watu wa upande mmoja kujiona wanayohaki ya kuwakalia wengine watake wasitake alafu useme tuna muungano?? Haupo. huku kuulinda kwa gharama yoyote ni kule kutaka kutawala milele na atakae jaribu kuwaondosha madarakani ndio gharama yoyote itachukuwa nafasi kwa kuwazika kwenye makaburi yz pamoja wakiwa wazima.
 
Forum statistics

Threads 1,354,892
Members 518,561
Posts 33,096,822
Top