Nimefuatilia vyama vyote nchini CCM, CDM, SAU, TLP, NCCR, UMD, DP, UPDP, DEMOKRASIA MAKINI, NLD, TADEA, APPT MAENDELEO, n.k nimeviangalia majina yao lakini hayakunipendeza lakini hiki CHAMA CHA WANAINCHI -CUF nimechunguza nikataka kujua hivi chama hichi kuitwa CHAMA CHA WANAINCHI hivi kila mwanainchi ni chama chake?.