CUF kuitwa chama cha wananchi

woyowoyo

Senior Member
Joined
Jul 24, 2011
Messages
173
Points
0

woyowoyo

Senior Member
Joined Jul 24, 2011
173 0
Nimefuatilia vyama vyote nchini CCM, CDM, SAU, TLP, NCCR, UMD, DP, UPDP, DEMOKRASIA MAKINI, NLD, TADEA, APPT MAENDELEO, n.k nimeviangalia majina yao lakini hayakunipendeza lakini hiki CHAMA CHA WANAINCHI -CUF nimechunguza nikataka kujua hivi chama hichi kuitwa CHAMA CHA WANAINCHI hivi kila mwanainchi ni chama chake?.
 
Joined
Jun 14, 2011
Messages
58
Points
0
Joined Jun 14, 2011
58 0
hiki chama sio kabisa kwani nimekiona kipo kwa maslai ya viongozi, ni lini kiliwahi kusimamia maslai ya umma kwa dhati. CUF ni wanandoa na CCM na lengo lao ni kuhakikisha upinzani unaondolewa tanzania nido maana wakakubali kuungana na CCM kwa makubaliano ya kugawana madaraka.
 
mdau wetu

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2011
Messages
548
Points
0

mdau wetu

JF-Expert Member
Joined Apr 20, 2011
548 0
we vipi we acha uchochezi, kwani CHADEMA kuitwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo kinaakisi ukweli halisi wa hayo, mbona ndani ya CHADEMA hAKUNA HIYO DEMOKRASIA WALA MAENDELEO bali ni utumbo mtupu, akijitokeza mwanachama wa CHADEMA au mbunge akapinga kitu fulani kwa mtazamo wake na kutoa hoja zake anaonekana adui.h
 
mdau wetu

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2011
Messages
548
Points
0

mdau wetu

JF-Expert Member
Joined Apr 20, 2011
548 0
hata mimi naona CHADEMA sio chama cha Demokrasia wala Maendeleo bali ni Chama cha Maslahi na Manufaa na kupigana vita, walumandama zito na wengine kisa walitaka kugombea nafasi za juu chamani ambazo ni za MBOWE na mwezake Slaa, acheni unazi na ukitimba wa mawazo hizi ni zama za ukweli na uwazi, msitumie jukwaa la JF kupiga vita chama cha CUF, siku hizi watu wameamka njama zenu mbonu na chafu zimefichuka na hakuna wa kumdanganya,
 
mdau wetu

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2011
Messages
548
Points
0

mdau wetu

JF-Expert Member
Joined Apr 20, 2011
548 0
Wabunge na heshima zao waliachaguliwa na wananchi na kisha kwenda Bungeni wakisema "TUFUNGE MILANGO TUPIGANE" walikuwa kutoka chama gani, na hii ni demokrasia au uhuni? mbona hayo ya maana hamyasemi mmeng'ang'ania anuani za majina na utumbo mwingine usio na kichwa wala miguu?
 
Kinyungu

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2008
Messages
8,141
Points
2,000

Kinyungu

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2008
8,141 2,000
we vipi we acha uchochezi, kwani CHADEMA kuitwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo kinaakisi ukweli halisi wa hayo, mbona ndani ya CHADEMA hAKUNA HIYO DEMOKRASIA WALA MAENDELEO bali ni utumbo mtupu, akijitokeza mwanachama wa CHADEMA au mbunge akapinga kitu fulani kwa mtazamo wake na kutoa hoja zake anaonekana adui.h

Si bora huko CHADEMA wapo wanaojitokeza kupinga viongozi. CUF huwa wanachama hawajitokezi kabisa kutokana na ukweli kuwa hicho chama ni cha Maalim Seif na Lipumba ni mwenyekiti wa maisha kama Kamuzu Banda!
 
bi mkora

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2011
Messages
262
Points
0

bi mkora

JF-Expert Member
Joined Jun 1, 2011
262 0
Nimefuatilia vyama vyote nchini CCM, CDM, SAU, TLP, NCCR, UMD, DP, UPDP, DEMOKRASIA MAKINI, NLD, TADEA, APPT MAENDELEO, n.k nimeviangalia majina yao lakini hayakunipendeza lakini hiki CHAMA CHA WANAINCHI -CUF nimechunguza nikataka kujua hivi chama hichi kuitwa CHAMA CHA WANAINCHI hivi kila mwanainchi ni chama chake?.
Inamaana zanzibar haijajumuishwa kwa sababu zanzibar sio nchi, na hakuna wananchi bali ni wakaazi wa zanzibar.
 
mdau wetu

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2011
Messages
548
Points
0

mdau wetu

JF-Expert Member
Joined Apr 20, 2011
548 0
teh teh waliojitokeza walikandamizwa na mkono wa chuma huko CHADEMA. Na nani anakwambia kwamba, CUF hawajitokezi wanachama kugombea? au unaropoka tu. na hata kama hawajitokezi, tatizo ni la chama au wanachama?
 
mdau wetu

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2011
Messages
548
Points
0

mdau wetu

JF-Expert Member
Joined Apr 20, 2011
548 0
Si bora huko CHADEMA wapo wanaojitokeza kupinga viongozi. CUF huwa wanachama hawajitokezi kabisa kutokana na ukweli kuwa hicho chama ni cha Maalim Seif na Lipumba ni mwenyekiti wa maisha kama Kamuzu Banda!

teh teh waliojitokeza walikandamizwa na mkono wa chuma huko CHADEMA. Na nani anakwambia kwamba, CUF hawajitokezi wanachama kugombea? au unaropoka tu. na hata kama hawajitokezi, tatizo ni la chama au wanachama? Kama hoja ni mwenyekiti kuongoza muda mrefu basi MBOWE pia ni mwenyekiti wa maisha na hata Slaa pia,
 
Ringo Edmund

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2010
Messages
4,888
Points
0

Ringo Edmund

JF-Expert Member
Joined May 10, 2010
4,888 0
haki sawa kwa wote-kwa sharia za kiislam inawezekana ila kwa demokrasia na kiutu hakuna kitu kama hicho,kila mtu anastahili haki yake.
asiyefanya kazi na asile,anayejibidiisha anastahili mapato yanayolingana na bdii yake.
kwa hiyo mashabiki na wanachama wa cuf mnafahamika na ndio maana hata misaada ya chama chenu tunajua makundi yanayowafadhili na malengo yao.
ila kwa sababu mmeshapata mume(ccm)kwisha habari yenu na hao wafadhili wenu kule kwao njaa imeshawaadabisha na yule kinara wao wa ufadhili ameshazingiewa na waasi kazi yenu kwishney.
labda mrudi pemba kwani karafuu imepanda kwenye soko la dunia.ila kwa jinsi mnavyopenda vya bure hata hiyo karafuu yenu hamtakubali kuendeshea chama kwani mmezoea vya bure sana.
sitegemei matusi bali nategemea mtajifunza kitu hapo aidha kwenda kwa baba wa kambo(ccm)au kurudi kwa bibi(pemba) au kwa kaka9CHADEMA) AKA CHAMA LA UKWELI.
 
Ringo Edmund

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2010
Messages
4,888
Points
0

Ringo Edmund

JF-Expert Member
Joined May 10, 2010
4,888 0
teh teh waliojitokeza walikandamizwa na mkono wa chuma huko CHADEMA. Na nani anakwambia kwamba, CUF hawajitokezi wanachama kugombea? au unaropoka tu. na hata kama hawajitokezi, tatizo ni la chama au wanachama?
sheikh abdala safari aliyetaka kugombea uenyekiti yaliyompata unayajua?
na sasa unajua huyu mtetezi wa waislam tanzania yuko wapi?acha kuongea ushuzi dogo.
 
mdau wetu

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2011
Messages
548
Points
0

mdau wetu

JF-Expert Member
Joined Apr 20, 2011
548 0
haki sawa kwa wote-kwa sharia za kiislam inawezekana ila kwa demokrasia na kiutu hakuna kitu kama hicho,kila mtu anastahili haki yake.
asiyefanya kazi na asile,anayejibidiisha anastahili mapato yanayolingana na bdii yake.
kwa hiyo mashabiki na wanachama wa cuf mnafahamika na ndio maana hata misaada ya chama chenu tunajua makundi yanayowafadhili na malengo yao.
ila kwa sababu mmeshapata mume(ccm)kwisha habari yenu na hao wafadhili wenu kule kwao njaa imeshawaadabisha na yule kinara wao wa ufadhili ameshazingiewa na waasi kazi yenu kwishney.
labda mrudi pemba kwani karafuu imepanda kwenye soko la dunia.ila kwa jinsi mnavyopenda vya bure hata hiyo karafuu yenu hamtakubali kuendeshea chama kwani mmezoea vya bure sana.
sitegemei matusi bali nategemea mtajifunza kitu hapo aidha kwenda kwa baba wa kambo(ccm)au kurudi kwa bibi(pemba) au kwa kaka9CHADEMA) AKA CHAMA LA UKWELI.
Hata CHADEMA ni chama cha maaskofu na viongozi wake ni maaskofu na wanataka kuanzisha serikali ya amri kumi za Mungu Tanzania huku hizo amri kumi wao wenyewe hawazitekelezi kwani viongozi wao wangali wana mahawara mpaka leo.
 
Ringo Edmund

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2010
Messages
4,888
Points
0

Ringo Edmund

JF-Expert Member
Joined May 10, 2010
4,888 0
Wabunge na heshima zao waliachaguliwa na wananchi na kisha kwenda Bungeni wakisema "TUFUNGE MILANGO TUPIGANE" walikuwa kutoka chama gani, na hii ni demokrasia au uhuni? mbona hayo ya maana hamyasemi mmeng'ang'ania anuani za majina na utumbo mwingine usio na kichwa wala miguu?
we **** aliyesema tufunge milango tupigane ni livingstone lusinde wa ccm mbunge wa mtera ccm.
acha kuropoka wewe fuatilia hansard za bunge.
halafu mbona vilaza na wafikiri kwa masaburi wote humu wana majina ya bandia?
 
Ringo Edmund

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2010
Messages
4,888
Points
0

Ringo Edmund

JF-Expert Member
Joined May 10, 2010
4,888 0
Hata CHADEMA ni chama cha maaskofu na viongozi wake ni maaskofu na wanataka kuanzisha serikali ya amri kumi za Mungu Tanzania huku hizo amri kumi wao wenyewe hawazitekelezi kwani viongozi wao wangali wana mahawara mpaka leo.
naona umekimbilia kwenye jokes umeona hapa maji marefu.
zito askofu wa kigoma,said arfi askofu mpanda,halima mdee askofu wa kawe,abdala safari askofu wa .......,
masaburi yako.
 
mdau wetu

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2011
Messages
548
Points
0

mdau wetu

JF-Expert Member
Joined Apr 20, 2011
548 0
sheikh abdala safari aliyetaka kugombea uenyekiti yaliyompata unayajua?
na sasa unajua huyu mtetezi wa waislam tanzania yuko wapi?acha kuongea ushuzi dogo.
ushuzi unaongea wewe. Kwanza ni Profesa Abdallah Safari na sio Sheikh Safari, ni utumbo kumpa jina la sheikh mtu kama Profesa Safari. Na isitoshe ushuzi wako zaidi ni kwamba, hufahamu unayoyasema, hakuna mwanachama wa CUF anayezuia kuchukua fomu na kugombea wadhifa wowote ule kuanzia wa Uwenyekiti mpaka wa ngazi za chini. Ni propaganda na ushuzi kama ulivyouita wewe kudai kwamba, kuna mwanachama anayenyimwa haki CUF si kweli hata kidogo, kusema hivyo ndio USHUZI sasa huo, hiloooo kawaida wenye midomo michafu wakikosa hoja hukimbilia matusi kama USHUZI DOGO. Ushuzi mwenyewe DOGO, kula la deki. ndio nyinyi mkikosa hoja bungeni mnasema "TUFUNGE MILANGO TUPIGANE".
 
Ringo Edmund

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2010
Messages
4,888
Points
0

Ringo Edmund

JF-Expert Member
Joined May 10, 2010
4,888 0
kawaida yenu mkishindwa hoja huwa hamkawii kukimbilia matusi
akili huna na unastahili lolote hata matusi nimekupendelea.hujui ni kwa nini abdala safari aliondoka cuf,hujui nani aliysema tufunge mlango tupigane,hujui cuf ilianzishwa kwa malengo gani.
matusi unayahua wewe?ungekuwa hapa karibu ni vibao mpaka akili akukae sawa.
ni pm ili nikutafute nikuweke akili sawa.
 
Forum statistics

Threads 1,380,870
Members 525,903
Posts 33,782,807
Top