CTV - CHADEMA TV: Karibuni hewani

Jamani kwa nini wasiiweke hewani hii CHADEMA TV..(CTV)..??? Mimi niko Tayari Kuichangia na nadhani kuna wadau wengi wataunga mkono . Tumechoka na uchakachuaji wa TBCCM. Wadau wa CTV tupeni mikakati yenu jamani.

chadema aiwezi kufa.
 
<br />
<br />
binafsi nakukubali mkuu ila watizame wakikuzingua hapa ni nyumbani kwako mkuu.

kvp, kwa kuwa kataja jina lake kamili? Huyu ni jasiri, anataka ahukumiwe kwa kile anachokiamini.

Kama unamaanisha hili, mie nampa hogera kwani sio mwoga kama wengi tulivo humu ndani
 
Viongozi wetu wasiwe na shaka, sisi tupo tayari kuchangia kwani siku zote chama makini ni kile kinacho jengwa na wanachama na sio kikundi cha watu
 
Yes ni Muhimu sana wakati huu tunapoelekea 2015, tena na radio pia inahitajika halafu iunganishwe kabisa kwenye satelite tuwe tunaipata mtandaoni
 
Mimi tachangia Dola 30,000 lakini kwanza lazima nione kituo kwanza, na sijui mtakuwa mnarushia wapi matangazo yenu? Moshi au Kilimanjaro
<br />
<br />
we kweli jiografia ulifeli na nina mashaka na elimu yako cyo ya kuchakachua kweli? Moshi ni wapi na kilimanjaro ni wapi? We hujanunua cheti kweli...dola elf 30 utoe wapi labda kama we ni magamba.
 
we kweli jiografia ulifeli na nina mashaka na elimu ya
ko cyo ya kuchakachua kweli? Moshi ni wapi na kilimanjaro ni wapi? We hujanunua cheti kweli...dola elf 30 utoe wapi labda kama we ni magamba.
Haya wewe niambie Ndesamburo ni Mbunge wa wa wapi?
 
Back
Top Bottom