Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 54,264
- 43,417
Mkuu hiyo si A/C No: ya Mbowe! Kwa hiyo zinapitia kwake halafu ndio zinaenda kwenye chama? Kweli hii ni kampuni ya WachaggaMbona walishatoa akaunti namba ya kuchangia? ni hii. CTV;A/C 026588845871 DCB ltd.