Shinto
JF-Expert Member
- Dec 6, 2010
- 1,781
- 96
Wewe acha kujifanya hamnazo, Tanzanis Daima ni UHURU la CDM na sasa limechoka mbaya! Yaani limechuja kupita maelezo!Aliyekuambia Tanzania Daima ni la CDM kakudangany. Kama unajua kupima habari angalia habari inazoandika Tanzania Daima zinazohusu CDM, na habari inazoandika Uhuru zinazohusu CCM, kama huko kishabiki utaona tofauti kubwa. Hakuna siku Uhuru inaweza andika habari za CCM zenye mtazamo hasi, lakini Tanzania Daima linaandika habari za CDM hata zikiwa hazitakiwi na Wana CDM.