CTV - CHADEMA TV: Karibuni hewani

Sheria zinaruhusu lakini waungwana?? Magamba wasije kuchakachua na kukandia.!

Aise najaribu kuifikiria hivi hiyo tv itapewa kibari manake ikipewe itahatarisha usalama wa serikali ya zzm, naona hapo patachimbika.

Gazeti lenu la TZ Daima limeshindwa kuwa gazeti lenye mvuto, hebu angalia hata jf post from newspapers uone ngapi ni za hilo gazeti pamoja na jf kuwa na pro-CDM wengi.

Kwenye website yao habari zinabadilishwa after 3days

I tell u kama mtataka TV yenu ifanikiwe punguzeni propaganda za ki-CDM, la itabakia TV jina tu.

Zitto mwenyewe ile habari yake ya meli znz hakutuma TZ daima, wala JF, jiulize kwa nini?

<br
Tuna maadui watatu UJINGA,MARADHI,UMASKINI na CCM bila shaka aliyeandika hapa ameathirika na Adui wa kwanza na wa mwisho.

Jamani haya mambo mageni kwangu..Naweza jua Chanzo cha uhakika wa TV...? nipo nyuma kidooogo..

Gazeti lenu la TZ Daima limeshindwa kuwa gazeti lenye mvuto, hebu angalia hata jf post from newspapers uone ngapi ni za hilo gazeti pamoja na jf kuwa na pro-CDM wengi.
Kwenye website yao habari zinabadilishwa after 3days
I tell u kama mtataka TV yenu ifanikiwe punguzeni propaganda za ki-CDM, la itabakia TV jina tu.
Zitto mwenyewe ile habari yake ya meli znz hakutuma TZ daima, wala JF, jiulize kwa nini?

Basically;people like you hua hamkosekani....Vp Nape mzima?[/B] Na vp kwenye orodha ya JK ya wakuu wa wilaya upo?

itakuwa tv ya ngumi,fujo, maandamano,tindikali,uchochezi na nyimbo za sugu zitakuwa mapambio baada ya mahubiri ya bwana padre
slaa

itakuwa tv ya ngumi,fujo, maandamano,tindikali,uchochezi na nyimbo za sugu zitakuwa mapambio baada ya mahubiri ya bwana padre
slaa

itakuwa tv ya ngumi,fujo,maandamano,tindikali,uchochezi na nyimbo za sugu zitakuwa mapambio baada ya mahubiri ya padre slaa

Ndugu Donyongijape, hiyo Television station ipo njiani kuja unachotakiwa kufanya ni kutunza hiyo pesa ili tukiihitaji iwe karibu mimi ni mdau namba moja hivyo hauna haja ya kuona imechelewa.

Big up, chadema, wazo langu ni kuwa hiyo logo inaweza kuboreshwa zaidi, msifanyw mambo peke yenu fungueni uwanja ili wadau wengi zaidi watoe michango yao kwenye ubunifu. Logo ya sasa ni kama ya CNN, tangazeni mashindano ya logo design tuchanhamshe bongo tutoke na kitu cha ukweli, tunaweza.

Back
Top Bottom