Crush wako Jukwaani: Si Lazima wa Kimapenzi! 👀

Nataka kuli-tag limtu limoja sema akili yake ni hovyo sana litaanza kuhisi mambo ya ajabu wakati mimi nalipendea ujinga wake tu, ngoja nifikirie vizuri kwanza!
Kasheshe kweli kweli 😅😅
 
  • Kicheko
Reactions: ---
Ni nani unaye crush naye hapa jukwaani? 😄

Hapa jukwaani pamekuwa sehemu ya enjoyment kwa baadhi ya watu, darasa kwa wengine, na sehemu ya kujifunza, kubadilishana mawazo na kufahamiana.

Sasa tuambie ni nani unaye crush naye hapa jukwaani?

Sisemi lazima iwe crush ya kimapenzi No

Inaweza kuwa ni kwa sababu unapenda namna anavyoandika, madini anayotoa, ucheshi wake, namna anavyojenga hoja, au hata comments zake zinavyokuvutia.

Mimi nina crushes wangu wengi tu hapa jukwaani 😄

Na wewe je, taja wako ni nani, na ni kitu gani hasa kinakufanya umpende au um-appreciate?

ShesRise_1 🤚
Husninyo

Back
Top Bottom