Critical Thinking: Hali ngumu ya maisha, Je nini chanzo?

Hakuna ubishi kuwa hali ya maisha imekua ngumu hapa nchini kwetu. Bila kuingiza siasa, hebu kama great thinkers tujaribu kuangalia kwa mapana kuhusu matatizo tunayokabiliana nayo kwa sasa, ambayo ndo hasa yanachangia ugumu wa maisha.

1. Mfumuko wa bei
2. Ukosefu wa ajira

Nini kifanyike?

Ctitical thinking! Nimemkumbuka Dr. Lwaitama in critical thinking
 
WHAT??
:frusty:

:fencing:

Hakuna ubishi kuwa hali ya maisha imekua ngumu hapa nchini kwetu. Bila kuingiza siasa, hebu kama great thinkers tujaribu kuangalia kwa mapana kuhusu matatizo tunayokabiliana nayo kwa sasa, ambayo ndo hasa yanachangia ugumu wa maisha.

1. Mfumuko wa bei
2. Ukosefu wa ajira

Nini kifanyike?

Nasema hakuna tatizo la ajira kabisa, tatizo lililopo hivi sasa linakuzwa kwa ukosefu wa wataalam na viongozi thabiti katika kutawala nguvu kazi iliopo.
Maeneo yenye uwezo wa kubeba wafanyakazi wengi yameachwa na kudharauliwa na wananchni pamoja na viongozi wetu. Lazima kila mtu ajue na kufahamu kuwa hatuwezi kutegemea ajira za ukarani na utumishi sisi sote. watu wote wanaosema hawana ajira wanaweza kumezwa na kazi za mashambani katika ardhi yetu mpaka wasitoshe kukidhi mahitaji, kama tukiwa na viongozi wanaojuwa majukumu yao na wananchni wanaochukia umaskini na kujuwa nini maana ya ajira.
Hatuwezi kuwaondoa vijana mashambani na kuwaleta mijini kucheza pool table eti kuwa hakuna ajira! huu ni mzaha. Ebu angalia Tunapoteza fedha nyingi sana kutengeneza wasomi feki bila sababu ili kuleta sura ya uhaba wa ajira badala ya kuwaandaa kuwa wakulima wazuri na wazalishaji wazuri.
 
PLEASE GIVE ME SOME SPACE TO BREATH

NOANA HUNA NIA NJEMA
:shut-mouth: :shut-mouth:
 
Kamanda, Post aka Mada yako ni Nzuri, ila kwangu mimi naona Ugumu wa Maisha ya hapa Nchini Tanzania yanatokana na yanasababishwa na Sisi Watanzania aka Wananchi. Ikumbukwe Tanzania itajengwa na Watanzania wenyewe.
Watanzania mpaka tutakapojua Haki na Wajibu wetu kama Mtanzania ndio tutaweza kupambana na haya unayoyaona kama ni ugumu wa Maisha, maana kuna Watu aka Wananchi wengine humu Tanzania ukiwaambia kuwa kuna Ugumu wa maisha watakucheka na kukushangaaa aka hawaelewi.

Hakuna ubishi kuwa hali ya maisha imekua ngumu hapa nchini kwetu. Bila kuingiza siasa, hebu kama great thinkers tujaribu kuangalia kwa mapana kuhusu matatizo tunayokabiliana nayo kwa sasa, ambayo ndo hasa yanachangia ugumu wa maisha.

1. Mfumuko wa bei
2. Ukosefu wa ajira

Nini kifanyike?
 
Tatizo lenu watz mnapenda kutafuniwa mmeze tu kila kitu mnatk serikali ifanye ni wavivu hata ktk kufikiri chakarikeni sio kujikalia mnalialia km watoto wanaotaka kunyonya jiulize tangu asubuhi umefanya nini?angalia wewe hapo hata mia hujaingiza unategemea maisha yatakuwa bora!!!
 
Duh! Mkuu unataka kutuambia siasa haihusiki na ugumu wa maisha ya watanzania! Hii kweli ni great thinking!
Porojo zikiachwa na watu wakiwa na uadilifu nchi itafika mbali. Siasa ina nafasi ndogo sana la msingi uadilifu wako na tuchape kazi. Usianze kumuangalia mwanasiasa jiangalie wewe unawajibika kny nafasi yako? Au porojo tu!
 
Hapa ndipo tunapotofautiana kimtazamo.

Kauli yako mkuu inafanana sana na hizi

1. Nitaowa wanawake kadri niwezavyo maana kila mmoja anakuja na ridhiki yake sinafedha lakini mungu atatujaalia!!!!!

2. Nitazaa watoto wengi kadri niwezavyo kwani kila mmoja anakuja na bahati yake na ridhiki yake suala la kuwandaa sina pesa lakini watajiendeleza wenyewe

hayo ni mawazo ya mtu anayejipa matumaini baada ya kushindwa kuhudumia familia au kukidhi tamaa ya kuwa na wake wengi bila kuzingatia uchumi unanafasi gani.

Sera nzuri za kiuchumi ambazo chama cha siansa kitazichaguwa kuzifuata na kuzisimamia ndiyo msingi wa maendeleo ya wananchi na Taifa lolote Duniani.

Wenzetu nchi za ulaya eg England chama kikishindwa kukidhi viwango vya kupanua ajira, kudhibiti mfumo wa bei na kushuka kwa thamani ya sarafu yao hupigwa chini fasta.

Sera za chama kinachoongoza zinamchango mkubwa sana katika kuendeleza taifa na wananchi wake, kusema wananchi wajihangaikie bila kuwajengea uwezo na

mazigira
bora ni sawa na kauli ya kila mtoto anakuja na bahati yake, matokeo yake ni bange, unga, ujambazi nk maana hakupatiwa malezi bora/Hakuandaliwa vema

Lazima siasa ijenge mazingira bora kwa wananchi wake ili waweze kujiletea maendelo yao na taifa lao.
 
CCM iondolewe madarakani kabla ya 2015 kwa nguvu ya umma.

Mkuu mi naona ishu sio kuiondoa ccm madarakani ila mfumo mzima Taifa letu ni mbovu kwa mfano, upande wa ajira sio siri watu wengi tunavyotoka vyuoni tumejenga mawazo ya kuajiliwa maofisini tu lakini kama tungeweka mfumo wa watu kujiajiri kwenye hata kwenye mashamba kuwe na utaratibu wa kutoa mikopo kwa wanaotaka kujiajiri huko ingesaidia kwa namma fulani.Mfano leo Asubuhi nilikuwa nazungumza na rafiki yangu mmoja ametoka Izrael wao wapo Iringa wamepata eneo huku na wamewekeza kwenye kilimo wanalima vitu hivihivi ambavyo na sisi tunavyo mfano nyanya,vitunguu nk. Ikabidi nimuulize inakuwaje inakuwaje wanatoka izrael wanakuja kulima nyanya hapa kwetu? jamaa aliniambia unajua hata wao kwao pia kuna tatizo la ajira ila wao kuna Bank maalumu ipo ambayo wewe kazi yako ni kuandika Proposal yako na kuwapelekea thn wanakupa mtaji wa fedha nyingi tu unafanya hiyo kitu yako na kuwaonesha lakini tofuti ni kwamba sisi bank zetu unaweza ukakopa alafu labda baada ya mwezi inabidi uanze kurudisha deni sasa kama ndo unataka ujiweke kwenye kilimo ukopeshwe fedha kwa hapa kwetu naona ni ngumu sababu ya mfumo wa bank zetu inaweza ikawa ngumu kwa hiyo mkuu hata kama tutahitaji kuiondoa ccm madarakani thn wakaingia watu wengine kama na wao hawatokuwa na maono ya mbali au wasipokuwa na nia ya kweli kutusaidia itakuwa kazi bure tu!
 
Tatizo liko kwa watanzania wenyewe! Dhiki wanaitaka kwa ridhaa yao wenyewe! Umaskini wa fikra na ushabiki wa kisiasa usio na tija ni laana inayowatafuna! Wakati wa uchaguzi unakubali kutongozwa kwa kanga, chumvi na vikofia vya kijani! Baada ya uchaguzi unaanza kujiuliza ni kwa nini uko maskini.. Du!!! Bado safari ni ndefu
 
1. mfumuko wa bei; viongozi wetu hawajui wafanye nini? juu ya khali hiyo. pia upendo hakuna wivu na ubinafsi vimetawala, mf; mama ASHAROSE MIGIRO nafasi aliyoipata kule UN, ilipaswa inufaishe watu wengi saana hapa nchini kwetu, wasomi wajuu, kati na wasio na elimu kabisa, nasema hivii nafasi ile kama angepata mtu wa WEST AFRICA kule UN wangejaa wao,hivi sasa kuna askari wetu wa jeshi la polisi kule Sudan jimbo la DARFUR wanlinda amani wanalipwa na UN, jiulize je? kama taifa lina mkamkati wa kuhakikisha nafasi hizi zinapiganiwa kwa upendo , kuhakikisha walioko kule kule hawarudi na kuzidi kutafuta nafasi zaidi kwa wengine, maana hawa na wengine wanachangia kuleta fedha nchini na kuzalisha ajira ndogondogo nyingi na mzunguko wa fedha kwa kada zote unakuwepo.hivyo kusaidia kupunguza makali ya maisha na kusababisha jamii ione kama vile hakuna mfumuko wa bei maana mfumuko wa bei ni janga la dunia hivi sasa,2, ukosefu wa ajira. bado matatizo makubwa yanasababishwa na viongozi wetu, hawana vision au tuseme wavivu au wachoyo kwa kizazi kijacho hivyo hawajifikirishi kwa manufaa ya kizazi kingine, hivyo hawasisitizi na kusimamia uwanzishwaji wa vyuo vya VETA ili vijana waweze kujiajiri wao wenyewe, kilimo kufanywa ni shughuli ya asiyesoma au aliye kijijini hivyo viongozi huongelea kama porojo bila mikakati ya dhati. UONGO,UONGO UONGO ; maneno haya nimeyarudia rudia ili kuweka msisitizo kuna viongozi wengi,wengi wengi serikalini hawataki neno kustaafu, hivyo wakati wao wa kustaafu ukifika, hudanganya kwa viongozi wa juu kuwa bila wao ofisi haiendi ,hivyo huongezewa muda jiulize hivi kuna mtu muhimu kama rais ? mbona wakati wake ukifika anastaafu na kupisha wengine .jiulize hakuna kustaafu utatoa ajira mpya? sasa wastaafu ni wengi mno na wanakaa kwa uongo tu.
 
Kabla hatujalalamikia serikali, Je sisi tunatimiza wajibu wetu? Kwa mfano kulipa kodi stahili, kufanya kazi kwa bidii n.k? Hata nakubaliana na Fpam kuwa Wa TZ wamezidi kulalamika haka kwa vitu visivyo vya msingi.

Mfano, Juzi tu hapa katika sherehe za uzinduzi wa Jiji la Arusha, watu wamelalamikia matumizi ya Tsh 140m kwa ajili ya sherehe hizo. Je kama harusi ya kawaida tu kwa sasa ina cost hadi Tsh 30m itakuwa, shughuli ya kiserikali?

Pia ni kwa njia kama hizi ndo fedha huweza kurudishwa kwa watu na kupunguza ugumu wa maisha; kwa mfano hapo kuna mpambaji amepata kidogo, walinzi (Mgambo), printers kuchapa Tshirts etc. Hawa nao wataenda kununua mchele kwa mangi, kulipa tuition ya watoto, kujenga banda etc.
Hata kama waliopata hizo tenda, wamepata kwa kujuana, lakini ni watanzania....mwisho wa siku inaongeza mzunguko wa fedha.

Mara nyingi vitu kama hivi vinaonaonekana kama matumizi mabaya ya fedha lakini kwa mawazo yangu nafikiri vinachangia kurudisha pesa mtaani.

mdau inaonyesha ulazimisha kuonyesha upofu wako wa uelewa masuala ya uchumi katika jamii.Kimsitakabari si vyema kukurupukia kueleza kitu kama una mashaka ya uelewa usije kupotosha JF inasomwa na wasomi wengi na si watoto wa sekondari pekee.Kivipi T.shs 140 mil inaweza kurekebisha mzunguko .Ni kiasi kidogo mno katika jamii kuurekebisha mzunguko wa pesa.Pia mzunguko wa pesa uadhibitiwa na factor ya kuingiza fedha kiasi hicho hakuna factors zingine?kazi kwelikweli.Tuache kupotosha .tatizo la maisha magumu serikali haiwezi kukwepa uwajibikaji huo.Mfano mfumko wa bei ni chanzo cha uzembe wa serikali kutojali factors ambazo zinachochea mfumko huo kutodhibitiwa kama upungufu wa chakula, kuongezeka kwa gharama za uzalishaji wa umeme na upungufu wa umeme wenye mgao , kuongezeka kwa bei ya mafuta wakati bei inapungua kwa wazalishaji wakubwa wa mafuta sisi haipungui na ikipungua shs 20.Sasa hayo kwa matanzania wa kawaida anao uwezo wa kuyadhibiti?pia umesema watanzania hawafanyi kazi kwa kujituma, je unahabari ya wakulima wa zao la pamba wa kanda ya ziwa, je kwa masikabari wa tatizo la bei ya pamba , je una taka wawe na ari ipi sasa kuzalisha kwa kiwango kikubwa?pia je tatizo la korosho , je haya huyaoni?sasa hapa mwananchi wa kawaida , ni vipi anaweza kuyadhibiti bila mkono wa serikali?je uuzwaji wa viwanda na mahusiano ya kuongeza ajira haya pia huyaoni kuwa serikali inapashwa kuwajibika ?je kudumaa kwa sra ya sido na kuua ushirika wa viwanda huoni tunakuwa watanzania machinga bila kuwa wazalishaji?kwa hili mtanzania wa kawaida alaumiwe kivipi?Mdau kama hufahamu siasa za uchumi na mwlekeo wa siasa za nchi ytu acha kupotosha .wahurumie watanzaniawanaoongozwa na serikali mbovu.t.shs. 140 mil ni nyingi sana kama zingetumika ipasavyo kama kuongeza vitabu kwenye mashule, kujenga mabweni kuongeza marupurupu ya madaktari wasigome, kuliko hayo ya sherehe ndugu yangu.watanzania wanashida nyingi, kutumia fedha kiasi hicho kwa sherehe ni matumizi mabovu ya fedha.
 
Hapa ndipo tunapotofautiana kimtazamo.

Kauli yako mkuu inafanana sana na hizi

1. Nitaowa wanawake kadri niwezavyo maana kila mmoja anakuja na ridhiki yake sinafedha lakini mungu atatujaalia!!!!!

2. Nitazaa watoto wengi kadri niwezavyo kwani kila mmoja anakuja na bahati yake na ridhiki yake suala la kuwandaa sina pesa lakini watajiendeleza wenyewe

hayo ni mawazo ya mtu anayejipa matumaini baada ya kushindwa kuhudumia familia au kukidhi tamaa ya kuwa na wake wengi bila kuzingatia uchumi unanafasi gani.

Sera nzuri za kiuchumi ambazo chama cha siansa kitazichaguwa kuzifuata na kuzisimamia ndiyo msingi wa maendeleo ya wananchi na Taifa lolote Duniani.

Wenzetu nchi za ulaya eg England chama kikishindwa kukidhi viwango vya kupanua ajira, kudhibiti mfumo wa bei na kushuka kwa thamani ya sarafu yao hupigwa chini fasta.

Sera za chama kinachoongoza zinamchango mkubwa sana katika kuendeleza taifa na wananchi wake, kusema wananchi wajihangaikie bila kuwajengea uwezo na

mazigira
bora ni sawa na kauli ya kila mtoto anakuja na bahati yake, matokeo yake ni bange, unga, ujambazi nk maana hakupatiwa malezi bora/Hakuandaliwa vema

Lazima siasa ijenge mazingira bora kwa wananchi wake ili waweze kujiletea maendelo yao na taifa lao.

Well said!
Siasa ina impact kubwa kwny tatizo la ajira!
 
Porojo zikiachwa na watu wakiwa na uadilifu nchi itafika mbali. Siasa ina nafasi ndogo sana la msingi uadilifu wako na tuchape kazi. Usianze kumuangalia mwanasiasa jiangalie wewe unawajibika kny nafasi yako? Au porojo tu!

Siasa inahucka tena kwa aslimia kubwa sna,...mfano mdogo,wafanyakazi wanalipa kodi na serikali ndo inakusanya kodi ili zitumike kuleta maendeleo!
Swali,kodi zinazokusanywa zinaishia wapi?km sio kwa wana siasa wachache badala ya kutumika kunakostahili?tunarudi pale2(ufisadi)..so sisa inahucka sana
Wafanya biashara wakubwa ni vigogo(walewale)je wanalipa kodi inayostahiki?na nan wa kuwanyooshea kidole?badala yake huyu mnyonge mwenye mshahara kiduchu ndo anaendelea kukandamizwa!
so,mfumo ni tatizo...tuna viongozi ambao hawana vision,hawawazi kesho,ilimradi familia za zipo vzr bac
Serikali bado ina wajibu wa kuboresha mazingira na kudhibiti mfumko wa bei!angalia wakulima wa korosho na pamba,wanafaidikaje?serikali inashindwa kusimamia!
 
mdau inaonyesha ulazimisha kuonyesha upofu wako wa uelewa masuala ya uchumi katika jamii.Kimsitakabari si vyema kukurupukia kueleza kitu kama una mashaka ya uelewa usije kupotosha JF inasomwa na wasomi wengi na si watoto wa sekondari pekee.Kivipi T.shs 140 mil inaweza kurekebisha mzunguko .Ni kiasi kidogo mno katika jamii kuurekebisha mzunguko wa pesa.Pia mzunguko wa pesa uadhibitiwa na factor ya kuingiza fedha kiasi hicho hakuna factors zingine?kazi kwelikweli.Tuache kupotosha .tatizo la maisha magumu serikali haiwezi kukwepa uwajibikaji huo.Mfano mfumko wa bei ni chanzo cha uzembe wa serikali kutojali factors ambazo zinachochea mfumko huo kutodhibitiwa kama upungufu wa chakula, kuongezeka kwa gharama za uzalishaji wa umeme na upungufu wa umeme wenye mgao , kuongezeka kwa bei ya mafuta wakati bei inapungua kwa wazalishaji wakubwa wa mafuta sisi haipungui na ikipungua shs 20.Sasa hayo kwa matanzania wa kawaida anao uwezo wa kuyadhibiti?pia umesema watanzania hawafanyi kazi kwa kujituma, je unahabari ya wakulima wa zao la pamba wa kanda ya ziwa, je kwa masikabari wa tatizo la bei ya pamba , je una taka wawe na ari ipi sasa kuzalisha kwa kiwango kikubwa?pia je tatizo la korosho , je haya huyaoni?sasa hapa mwananchi wa kawaida , ni vipi anaweza kuyadhibiti bila mkono wa serikali?je uuzwaji wa viwanda na mahusiano ya kuongeza ajira haya pia huyaoni kuwa serikali inapashwa kuwajibika ?je kudumaa kwa sra ya sido na kuua ushirika wa viwanda huoni tunakuwa watanzania machinga bila kuwa wazalishaji?kwa hili mtanzania wa kawaida alaumiwe kivipi?Mdau kama hufahamu siasa za uchumi na mwlekeo wa siasa za nchi ytu acha kupotosha .wahurumie watanzaniawanaoongozwa na serikali mbovu.t.shs. 140 mil ni nyingi sana kama zingetumika ipasavyo kama kuongeza vitabu kwenye mashule, kujenga mabweni kuongeza marupurupu ya madaktari wasigome, kuliko hayo ya sherehe ndugu yangu.watanzania wanashida nyingi, kutumia fedha kiasi hicho kwa sherehe ni matumizi mabovu ya fedha.

Critical analysis,naunga mkono hoja 100%
 
Back
Top Bottom